Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeralax mkuu,bado sana mbona?[emoji23] [emoji23] ok, naona ushatota jasho kwa midadi hapo ulipo[emoji23] [emoji23]
Kuni za mpingoHivi hii ni Mbao au Kuni?
Imenibidi nikae pembeni mkuu maana si kwa ukali huu.Anyway mtashinda hii mechi mkuu.Ndio,mimi ni Yanga damu.
Unione wa maana au sina maana it's non of my business mkuu.
Sasa ulitegemea nikujibu nini? Siwezi kumuona mtu hana maana kisa hashabikii timu ninayoishabikia mimi,ni zaidi ya uwendawazimu.Imenibidi nikae pembeni mkuu maana si kwa ukali huu.Anyway mtashinda hii mechi mkuu.
Tuendelee kutia ubani mkuu.Mbao FC bhana.
Hivi finali inakuwa Simba na Mbao kweli!!
Mbao acheni utoto huo bhana.
Anyways, it's not yet over until it's over.
Upogo Mama anguTuendelee kutia ubani mkuu.
Swadataaa kwa mwendo wa 4GMakombe yote anabeba yanga
Nipo mkuu,daaaah umepotea sana.Upogo Mama angu
Usinikimbie leoHahahaaaaaa mkuu umeshatia timu? Usikimbie tu.
Sasa ulitegemea nikujibu nini? Siwezi kumuona mtu hana maana kisa hashabikii timu ninayoishabikia mimi,ni zaidi ya uwendawazimu.