Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makombe yote anabeba yanga
Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......Dada huo mpira ulikuwa unaangalia peke yako au? Naona umechanganyikiwa na wala Andrew Vincent Dante hakujifunga bali Goli limefungwa na ' Striker Force ' wa ' Kutukuka ' aitwae Bernard. Punguza ' uwongo ' tafadhali. Kweli ' Ubao ' mmoja umeshakulevya Dada.
Mkuu huwa nakuona wa maana mno kumbe unashabikia hao kandambili?
Kuna wapuuzi wanataka kunitoa ktk mood hapa.Goli tumejifunga katika harakati za kuokoa Dante.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante idawa.Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......
Bora umekuja idawa,tuambie bao kafunga nani?
Hahahaaaaaa haya basi sawa,tufuatilie mpira sasa.Bao / Goli kafunga Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima a.k.a Fabregas a.k.a Niyo.
Unaniita?Kwani nawe si uandike kivyako? Mimi niache niandike kwa maoni yangu.
Hakuna anayenilipa hapa.
Nikuambie tu Genta,nafahamiana na Niyonzima tokea mwaka 2011,ni rafiki yangu mbona?
Yani kama ambavyo tunavyopiga stori hapa JF mimi nawe ndivyo nilivyokuwa nikipiga story na Haruna.
Ila kwa sasa tumepotezana takribani mwaka mzima.
Yani niishi Magomeni tena nikiwa shabiki wa kutupwa wa Yanga halafu nikose kumjua Haruna?
Acha masikhara bwana.
Kijana ana mashuti makali sana. Sijui kwanini kocha hakumuanzisha kipindi cha kwanza,makapu katucost sana.Mwashuya kaja na nguv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu.Unaniita?
Goli tumejifunga katika harakati za kuokoa Dante.
Yanga wanafanya mabadiliko hapa. Anatoka Makapu anaingia Godfrey Mashuiya.
[emoji23] [emoji23] ok, naona ushatota jasho kwa midadi hapo ulipo[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu.
Mmmhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!Hii sub ya Godfrey Mashuiya inaelekea kuzaa matunda.
Kijana yuko vizuri,mashambulizi makali yanaelekezwa golini mwa mbao hapa.