Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Yanga wanafanya mabadiliko hapa. Anatoka Makapu anaingia Godfrey Mashuiya.
 
Dada huo mpira ulikuwa unaangalia peke yako au? Naona umechanganyikiwa na wala Andrew Vincent Dante hakujifunga bali Goli limefungwa na ' Striker Force ' wa ' Kutukuka ' aitwae Bernard. Punguza ' uwongo ' tafadhali. Kweli ' Ubao ' mmoja umeshakulevya Dada.
Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......
 
Bakuli fc wamechoka sijui hata kama leo wamekula teh teh kibubu kimejaa magwala
 
Inaonekana kuna Mpira mwingine unaangalia ukiachana huu wa Yanga na Mbao.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante idawa.
 
Hii sub ya Godfrey Mashuiya inaelekea kuzaa matunda.
Kijana yuko vizuri,mashambulizi makali yanaelekezwa golini mwa mbao hapa.
 
Nikuambie tu Genta,nafahamiana na Niyonzima tokea mwaka 2011,ni rafiki yangu mbona?
Yani kama ambavyo tunavyopiga stori hapa JF mimi nawe ndivyo nilivyokuwa nikipiga story na Haruna.
Ila kwa sasa tumepotezana takribani mwaka mzima.

Yani niishi Magomeni tena nikiwa shabiki wa kutupwa wa Yanga halafu nikose kumjua Haruna?
Acha masikhara bwana.

Vipi hakukutembezea ' Ubao ' wake? Shemela wangu wa ukweli The bold usiwe na wasiwasi nataniana tu na Dada yangu wa ukweli humu JF Nifah hivyo usije ukaona ni kweli halafu ukamuacha bure Mtoto wa Kipare huyo.
 
Goli tumejifunga katika harakati za kuokoa Dante.

Hebu punguzeni basi ' Urongo ' wenu humu wana Yanga FC. au ' Ubao ' mmoja huo umeshawalevya na sasa mmechanganyikiwa hadi hamjui nani kawafungeni hiko Kimoko? Goli kafunga Mshambuliaji ' machachari ' kabisa aitwae Bernard period.
 
Back
Top Bottom