moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Makombe yote anabeba yangaNatamani sana mbao ashinde leo na achukue kombe na huku achukue yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makombe yote anabeba yangaNatamani sana mbao ashinde leo na achukue kombe na huku achukue yanga
hahahaha tuliza pressure....kunywa majiDakika 45 tayari,bado tunasubiri kipyenga cha muamuzi.
Bado magoli ni 1-0,mbao wakiongoza.
Mhhhh...wagonjwa wanafarijiana.Matokeo yatabaki hivyo hivyo ama mtaongezwa kimoja tena.Usiondoke subiri hapo hapo kama hiyo burudani yako itadumu
Haruna Niyonzima anatandaza kandanda safi hapa.
Mbao wamepaki basi tayari hahaha
Mkuu huwa nakuona wa maana mno kumbe unashabikia hao kandambili?Dakika 45 tayari,bado tunasubiri kipyenga cha muamuzi.
Bado magoli ni 1-0,mbao wakiongoza.
Chama la kijanja lingekaa gizani miaka saba?Natamani fainali tukutane na hawa watembeza bakuli na hivi wana stress za kukosa mkwanja watapigwa 4G! Simba chama la kijanja!!
Dada kuna Channel nyingine unayoiangalia tofauti na tunayoiangalia sisi huku? Manake siyo kwa ' Uwongo ' huu Dada.
Kosakosa nyingine tena...this time ni Haruna Niyonzima.
Kwani nawe si uandike kivyako? Mimi niache niandike kwa maoni yangu.Dada huo mpira ulikuwa unaangalia peke yako au? Naona umechanganyikiwa na wala Andrew Vincent Dante hakujifunga bali Goli limefungwa na ' Striker Force ' wa ' Kutukuka ' aitwae Bernard. Punguza ' uwongo ' tafadhali. Kweli ' Ubao ' mmoja umeshakulevya Dada.
Dada kuna Channel nyingine unayoiangalia tofauti na tunayoiangalia sisi huku? Manake siyo kwa ' Uwongo ' huu Dada.
Ndio,mimi ni Yanga damu.Mkuu huwa nakuona wa maana mno kumbe unashabikia hao kandambili?
HahahaaaaaaChama la kijanja lingekaa gizani miaka saba?
Bora umekuja idawa,tuambie bao kafunga nani?Siku zote mtoto halali na hela, hawa Mbao tutawaranda tu
Hivi yale mashimo mawili mliyafukiaje vile? Maana watoto waliwatoboa bila huruma
Yaani anajisahaulisha kwamba ameshasahaulika kimataifa anabaki kutoa povuHahahaaaaaa
Nikuambie tu Genta,nafahamiana na Niyonzima tokea mwaka 2011,ni rafiki yangu mbona?The bold kuwa ' makini ' sana na Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima a.k.a Fabregas kwani kwa haya ' mahaba ' ya wazi ya Nifah dhidi yake naogopa kuna siku utakuja humu humu JF kulalamika au kutuomba ' ushauri ' wa ' kusalitiwa '. Na ninavyomjua Niyonzima kupitia wale Mademu zake wa zile pande za Magomeni anapoishi na kule maskani kwake Tandika na Kinondoni ' akimgusa ' Shem na ' Ubao ' wake basi na Wewe ndiyo itakuwa bye bye kwani Wanyarwanda hasa ' Watutsi ' katika hayo mambo ' wametukuka ' hasa. Kazi Kwako!
Natamani sana mbao ashinde leo na achukue kombe na huku achukue yanga
Goli tumejifunga katika harakati za kuokoa Dante.Bora umekuja idawa,tuambie bao kafunga nani?