Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Daaaaaamn! Mbao wamepata goal hapa.
Dakika ya 26 Mbao 1-0 Yanga.
Dante kajifunga.
Ni kweli mbao wanaongoza?Maana wengine hatupumziki hata iwe holiday/Weekends hata muda wa kucheki mpira ni tatizo.Kama amefungwa basi ni raha kweli kweli kwangu.
 
Ni kama ulivyosoma mkuu,furahi while it last.
 
Back
Top Bottom