GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bado ni 0-0 mkuu
Tayari ' mmeshaingiziwa ' Kijimbao Kimoja mnamo dakika ya 26 tu ya mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni 0-0 mkuu
Hunishindi mm,nimefurahi balaa. Waongezwe la pili.Ni kweli mbao wanaongoza?Maana wengine hatupumziki hata iwe holiday/Weekends hata muda wa kucheki mpira ni tatizo.Kama amefungwa basi ni raha kweli kweli kwangu.
Hapana wacha nifurahi tu najua Yanga hawatoki hapo.Ni kama ulivyosoma mkuu,furahi while it last.
Hahahaaaaaa mkuu umeshatia timu? Usikimbie tu.Leo maumivu kwako wacha niongeze jibapa
Afadhali aise.Natamani wangeingiziwa japo vijimbao vitatu hivi.Tayari ' mmeshaingiziwa ' Kijimbao Kimoja mnamo dakika ya 26 tu ya mchezo.
Acha basi zako hizo bhana...alaaaaah.Tayari ' mmeshaingiziwa ' Kijimbao Kimoja mnamo dakika ya 26 tu ya mchezo.
Sawa shost naamini hawatoki leoRelax mama,mpira bado sana.
Hawa wetu kabisa.
Mpira bado umepooza,hakuna amsha amsha za maana.
Dakika ya 11 bado mabao ni 0-0.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hunishindi mm,nimefurahi balaa. Waongezwe la pili.
Hawa mbao tutawatandika hutoamini,tuliza roho yako mama.Sawa shost naamini hawatoki leo
Acha basi zako hizo bhana...alaaaaah.
Natulia mama ila kuwa jibu wajinga sitaachaHawa mbao tutawatandika hutoamini,tuliza roho yako mama.
Naam mkuu...Nifah
Huo ujinga wa kudefend utawaghalim mbao.Haruna Niyonzima anatandaza kandanda safi hapa.
Mbao wamepaki basi tayari hahaha
Wanawasoma tu ili watupie counter attack.Haruna Niyonzima anatandaza kandanda safi hapa.
Mbao wamepaki basi tayari hahaha