Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Hawa mbao wanataka sifa sasa, hawajui serengeti boys wanataka pesa! Mtamwingiziaje kiubao kimoja wa kimataifa ili hali tunamsubiri aje tucheze mduara. Ayaaa weee mpira umeisha pole Nifan, Monicca na woote wa bonde la jangwani
 
Kanda mbili chaliiiiiiiiii kifo ca mende. Mbende-mbende[emoji12] [emoji20] [emoji12]
 
Ikiwa bado ina kumbukumbu ya nini kilitokea katika mechi yao ya watani ya mwisho ya ligi kuu,Timu ya Yanga imeonyesha hofu kuu baada ya kuwakwepa watani wao tmu ya Simba kwa kukubali kipigo toka kwa Mbao FC,
Hakukuwa na namna ingine Mnyama anatisha.Hongera watani kufanikisha hilo...
 
Dume limejitia mimba Leo yakhe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ SIO MBAYA
 
Ni dhambi kubwa kutokushinda leo,mbao atabeba FA msimu mwingine kwa jitihada zake wenyewe.
Unadhani Matopeni hata wakipanda ndege mwakani watafika mbali basi?

Naam [emoji135]
Ni Mbao, Mbao 2017 hahahahaaa Msimbazi Raha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…