#COVID19 Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

#COVID19 Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

Back to starting point and the fact is this will go on and on and on........ They better focus on Oral Dosage Forms now.
 
Hii ndio hasa point, vingine vyote ni kudanganyana,
Kila kitu ni biashara ata chakula na dawa za hospitali na kienyeji ni biashara.

Unafikiri hawatumii gharama kutengeneza?

Tengeneza za kwako tuone kama utagawa bure
 
Lema na Lisu nawachukia kutoka ndani ya moyo wangu
Teh teh teh... Kamongo alitaka kumwua Lissu akafa yeye ..

Pole sana kama mlifurahia ujane wa wenzenu furahia na wako sasa!!
 
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri toka mataifa ya kusini mwa Afrika.
Hebu cheki wenyewe taarifa hii:
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain
26 Nov, 2021 10:22 / Updated 1 minute ago
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain

Follow RT on
RT
'Super mutant' Covid variant has sparked a ban around the world on non-essential travel to South Africa and neighboring states, with Denmark, Morocco, the Philippines and Spain becoming the latest nations to impose restrictions.
Germany has declared South Africa a “virus variant area,” the country’s health minister Jens Spahn wrote on Twitter. It means “airlines will only be allowed to transport Germans" from the country.

All arrivals would be required to quarantine for 14 days, even if they are fully vaccinated against Covid-19 or have recovered, Spahn added.

The Dutch authorities made a similar move, announcing a ban on flights from South Africa to the Netherlands from midnight.

READ MORE
New B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK saysNew B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK says
This follows a call by the European Union on member states to consider “stopping air travel” from the southern African region over the new strain of the virus. Italy and Czech Republic were also quick to follow the advice from Brussels.

Rome has banned entry to all arrivals from South Africa, Lesotho, Botswana, Zimbabwe, Mozambique, Namibia and Eswatini. Prague has also said that non-nationals who recently visited South Africa won’t be allowed into Czechia.

Later in the day, France said that it was suspending flights from southern Africa for at least 48 hours, with Health Minister Olivier Veran announcing that all those who recently arrived from the region are going to be tested and monitored closely.

Meanwhile, French PM Jean Castex revealed that talks among EU leaders on how to respond to the new strain, which so far hasn’t been diagnosed on the continent, are going to take place “over the next hours”.

The World Health Organization (WHO) says the large number of mutations in the newly-discovered variant raises serious concerns over how it will impact diagnostics, therapeutics and vaccinations.

The UK also restricted air travel to and from South Africa and its neighbors, with the country’s Health Security Agency saying that “this is the worst variant we have seen so far.”

Countries beyond Europe have also been worried about the new variant, with Malaysia, Japan, Singapore and Bahrain imposing restrictions on travelers from the southern Africa region.

Israel also placed a ban on arrivals from southern Africa but then expanded that “red zone” to almost the whole continent, only excluding some north-African nations.

Kwa hali ilivyo, wakati mataifa ya afrika hayajaweza kuchanja hata asilimia 10 ya chanjo ya kwanza ambayo pia haisaidii chochote ameingia super variant!! Itabidi watu wakubali tu kumtanguliza Mungu ili kubaki salama.
Seriously you believe this shit,kweli mmeamini huu ujinga.Huu ni utapeli,mtadanganywa mpaka lini?
 
Mzigo mpya sio[emoji16][emoji16].
Mchina hajawahi kushindwa
 
sijaelewa hii bado..... kwahiyo watu waache kila kitu wamrudie Mungu... kama ni hivyo basi vyote tunavyofanya tuache tumrudie Mungu, kila challenge mwanadamu akipata asifanye chochote amrudie Mungu...tulikuwa na malaria tusingetafuta dawa wala suluhu tungemrudia Mungu...hapana siamini kama mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi anayetaka tufanye kazi tupate kipato tuishi na kumuabudu anataka hivyo....

sidhani kama hiyo ndio maana ya maisha ya hapa duniani, sidhani kama mwenyezi Mungu alituleta hapa duniani tuje tuishi hivyo....
Nafikiri pia kuna mambo kadhaa yanayoendelea chini ya kapeti kuhusu covid yanayosababisha tumaini pekee katika hili libaki kuwa Mungu.

1. Kwanza kabisa ukweli halisi hausemwi kuhusu uwezo wa kinga zinazopigiwa debe kupambana na corona. Na majamaa yalivyojipanga kuzipigia debe hizo chanjo wameamua hadi kuugawa ulimwengu katika kambi mbili: vaccinated and the unvaccinated, na kauli maalumu waliyoamua kuihubiri no matter what facts are ni vaccination, vaccination, vaccination.

2. Kama vaccinations zingekuwa zinafanya kazi tunavyoaminishwa Ulaya isingekuwa katika hali ngumu hivi. Wale jamaa wameshachanja sana kwa nini mambo hayabadiliki?

3. Kama kinga hizi ndiyo ungekuwa mwarobaini wa corona hali ya corona ingekuwa mbaya sana katika nchi za Afrika hususani Tanzania. Hapa kwetu waliochanja hwajafika hata asilimia moja ya raia.

4. Nafasi ya Mungu inakuja katika muktadha wa namna nchi zinazojijua ni maskini zinavyopaswa kuapproach issues ngumu kama hizi za corona. Kwa jinsi corona ilivyo hatari, na kama solution halisi ya corona ingekuwa ni kinga za akina Pfizer na Moderna na wenzao wengineo, basi hapa Tanzania tungekufa sana. Lakini Mungu yupo na tulibahatika toka mwanzo wa hii pandemic kuwa na kiongozi aliyetuongoza kulitazama hili jambo kwa macho ya kiroho zaidi. Tulimwomba Mungu na Mungu ametusaidia hadi sasa.
 
Nu (uppercase Ν lowercase ν) is the 13th letter of the Greek alphabet. And it has the value of 50 in the Greek number system. The letter came from the Phoenician language nun (or nūn), which was used to mean serpent. The uppercase Nu (N) is exactly like the Latin N. Kirusi NYOKA (shetani) . Basi dunia kwisheni ndo mwisho wake.
 
Chanjo ya covid ni biashara endelevu Kama ilivyo ARV kwenye ukimwi
 
we shall fight until we got strong one which will success in erasing Golo. Golo body are so resistant to this virus,there dna is ranges up to 9 digits,insteady of 6 digit that we have,golo have 3 more super resistance including melanin.
 
Back
Top Bottom