Source pliz isije kuwa matango poriPoleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishie elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa! . . . makazini itakuaje?
Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?
Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini itakuaje?
Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?
kuwa rational japo kidogo, UDOM wana graduate ambao kwa upimaji wa kitaaluma hutakiwa waajiri kutuma ripoti ya utendaji kazi wa graduates kwa chuo. Katika ripoti hiyo then ndipo unapoweza kujenga hoja ya uvilaza kwa graduates. Hizo story za NGO'S zilikuwepo kabla hata mwaka jana haujaisha, je ulisha wauliza sababu ya wao kufanya hivyo unavyotaka tuamini? Wewe unautofauti gani na vilaza ambaye ume/ulisoma chuo kikuu "bora" kuliko UDOM? Jaribu kutumia japo elimu ndogo tu ya mwaka wa kwanza kabla ya kubwabwaja kwa maneno ya vjiweni.Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini itakuaje? Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?