Kirusi cha SIASA za SISIEM kinavyoitafuna UDOM

Kirusi cha SIASA za SISIEM kinavyoitafuna UDOM

Zechie

Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
25
Reaction score
4
Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini itakuaje?

Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?
 
Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishie elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa! . . . makazini itakuaje?
Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?
Source pliz isije kuwa matango pori
 
Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini itakuaje?

Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?

usipende kukurupuka mkuu kwani kwenye hayo mashirika wapo wahitimu wa udom na wanafanya kazi.usipende kuropoka bila kuwa na data.
 
Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini itakuaje? Kuna makampuni na NGO'S ambazo zimetangaza hazitaki kufanya kazi na graduates wa UDOM kwa ni VILAZA na hawajui kazi: e.g. World vission, WFP, Water Aid, Afnet International, Care, RLDC etc . . . kama hao hawawataki na field mnanyimwa UDOM mtakimbilia wapi?
kuwa rational japo kidogo, UDOM wana graduate ambao kwa upimaji wa kitaaluma hutakiwa waajiri kutuma ripoti ya utendaji kazi wa graduates kwa chuo. Katika ripoti hiyo then ndipo unapoweza kujenga hoja ya uvilaza kwa graduates. Hizo story za NGO'S zilikuwepo kabla hata mwaka jana haujaisha, je ulisha wauliza sababu ya wao kufanya hivyo unavyotaka tuamini? Wewe unautofauti gani na vilaza ambaye ume/ulisoma chuo kikuu "bora" kuliko UDOM? Jaribu kutumia japo elimu ndogo tu ya mwaka wa kwanza kabla ya kubwabwaja kwa maneno ya vjiweni.
 
Gilliard Telly amemaliza UDOM mwaka jana alisoma Political Science and Public Administration yupo RLDC nafasi ya Public Relation Officer! Kumbe hapa JF tuna danganyana sana! Lakini haya yote ya kudanganyana ni kwa maslahi ya nani? Au ndio Propaganda za Vyama hapa JF?
 
chamsingi ni kupambana na masomo mpaka dakika ya mwisho,msikatishwe tamaa na ugumu wa upatikanaji wa ajira.ukiwa na elimu ni rahisi kupata kazi kuliko kusubiri nafasi za ajira zipatikane ndipo uende kutafuta elimu.muanzisha mada hakua amejipanga vyakutosha,mpotezeeni huyo .umasikini wa watanzania usiwe mtaji wa sisiemu pambaneni mpaka kieleweke,pinda ni kilaza hana analoweza kuwasaidia kwani nae pia hajui kwanini watanzania ni maskini.
 
Back
Top Bottom