Nimegonga Priton na Panadol ya Tz nimepata nafuu .maana hali ilikuwa tete kwelikweliWanajamvi
Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania
Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata
Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni
Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
OmicronKirusi kipya ???? ni kirusi gani tena mmekigundua ?
Macho sijapata, ila nyingine zote zipoKwangu ni hizi
Kichwa kuuma, Homa kali, Mafua, Kiuno, mkwaruzo kwenye koo na Macho pia
Hakuna Omicron Tanzania jamaniOmicron
Inaweza kuwa ni kile virobotoš¤.Kirusi kipya ???? ni kirusi gani tena mmekigundua ?
Usisikilize wanasiasaHakuna Omicron Tanzania jamaniView attachment 2047217
Huyu si ndio alituambia Magufuli yupo ofisini anachapakazi wakati kumbe yupo monchwari kwenye freezer.Hakuna Omicron Tanzania jamaniView attachment 2047217
Kuna wimbi la mafuwa makali, siyo lazima kila mtu auguwe, ila ni jambo lisilo na kificho.Acheni uoga me sijapata dalili zozote na bado na dunda tu
Huyu si ndio alituambia Magufuli yupo ofisini anachapakazi wakati kumbe yupo monchwari kwenye freezer.
Inahitaji akili za kichaa kumuamini mtu kama huyu.
Nawashangaa sana watu wanaomuamini mtu magumashi kama huyu.