Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

Kwangu ni hizi
Kichwa kuuma, Homa kali, Mafua, Kiuno, mkwaruzo kwenye koo na Macho pia
Hii Hali imenianza Leo asubuh macho,kiuno,kichwa vyote vinauma mafua Koo kuwasha naskia baridi joto la mwili limenipanda Sana..
 
Tajeni na mikoa mliopo ili tujue wapi hali ni tete zaidi...
 
Back
Top Bottom