The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
Ingekua feki ubalozi wa Marekani ungesha kanusha.Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
😂😂😂😂 eti ehee 😂😂😂Ingekua feki ubalozi wa Marekani ungesha kanusha.
Tangu ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania useme unafatilia ni muda mrefu umepita na hawajarudi Tena.
Utakuwa umepuuzwa unafikiri ubalozi wa marekani una watu wa aina ya msigwa na mwigulu kujibujibu upuuzi?Ingekua feki ubalozi wa Marekani ungesha kanusha.
Tangu ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania useme unafatilia ni muda mrefu umepita na hawajarudi Tena.
Show ile ya comedy imeishia pale Madenge alipoleta press akatoa ushahidi hapo hapo na utetezi hapo hapo kwamba yule mjeshi alikua ameingia na mabomu yake kujihami na vurugu na hapo hapo Madenge akafunga kesi kwamba yule jamaa hana kesi ya kujibu na hajafikishwa mahakamani jaji kashaamua kesi kabla hata haijafika kwenye viunga vya mahakama toka lini polisi na huyo Madenge wakawa majaji na wanasheria.. wanatuona sisi viazi kutuchezea akiliKichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi u
Trial to fool people's mindKichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
Ni mwendo tu wa kuweweseka na kujikanyaga kanyaga.
Mwenyewe umesema 'feki'. Ngonjera hiyo iliibuliwa ili kupoteza lengo kutoka kwenye mjadala mgumu kuhusu njiapanda iliyofikiwa na nchi.Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
Ku puuzwa hakufanyi mtuhumiwa asishtakiwe na kuhukumiwa kwa Sheria zetu.Utakuwa umepuuzwa unafikiri ubalozi wa marekani una watu wa aina ya msigwa na mwigulu kujibujibu upuuzi?
Ndo ashatkiwe sasa si kakutwa na vithibitiKu puuzwa hakufanyi mtuhumiwa asishtakiwe na kuhukumiwa kwa Sheria zetu.
Ikitokea amehukumiwa na Mahakama ya ki Jeshi na ikathibitika ana makosa basi ubalozi utapelekewa mwili tu.
Ilikuwa ni manyaunyau episode 1. Baada ya kubuma wameingia mitini.Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?