Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kweli jambo hili linataka subira sanaNimeficha jina kwa makusudi maana hajanipa ruhusa nimtaje (na siamini kuwa watoto,wajukuu au ndugu zake) wangependa nimtaje. Ila nina uhusiano nae kiukoo.
Huyo anaedaiwa kuchana juzuu nae yaweza kuwa ni mgonjwa anaestahili kusaidiwa (ili arejee kutimiza majukumu yake ya kifamilia, kijamii na kiserikali). Inawezekana kabisa kuwa jamaa ni mfanyakazi mzuri tu na kawa distressed tu hadi kuchana juzuu.