Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,786
- 19,797
Kweli jambo hili linataka subira sanaNimeficha jina kwa makusudi maana hajanipa ruhusa nimtaje (na siamini kuwa watoto,wajukuu au ndugu zake) wangependa nimtaje. Ila nina uhusiano nae kiukoo.
Huyo anaedaiwa kuchana juzuu nae yaweza kuwa ni mgonjwa anaestahili kusaidiwa (ili arejee kutimiza majukumu yake ya kifamilia, kijamii na kiserikali). Inawezekana kabisa kuwa jamaa ni mfanyakazi mzuri tu na kawa distressed tu hadi kuchana juzuu.
Saudi Arabia angepigwa jambia.Hivi unawajua waislam weye? Eti achane kitabu cha Allah halafu useme alikuwa na tatizo la kiakili anahitaji kusaidiwa.
My brother stay out of this.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika kwa mihemko utswaweza weweKuchana Quran na Biblia ilitakiwa kuwa sehemu ya free speech.
Nchi zilizoendelea kama Marekani unaruhusiwa kuchana Biblia, Quran.
Unaruhusiwa hata kuchoma moto bendera ya Marekani.
Ila ununue yako uichome yako mwenyewe.
Ni free expression.
Ni huko tunakofuta ujinga bado ndiyo mnajiletea matatizo ambayo hayapo.
Na labda ni sawa.
Kwa sababu mnafuta ujinga bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saudi Arabia angepigwa jambia.
Unaua mtu kwa sababu kachana karatasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃Kitaalamu tunasema jamaa alikuwa insane at the material time (wakati anachana hizo juzuu).
Lakini kwa kuwa wamelihandle kisiasa as usual basi ndio kwisha habari yake.
Ewe muafrika ukipata nafasi ya kupotea hili bara fanya hivyo hima maana hili bara linasemwa ni la giza na kweli bado kuna giza jingi sana.
Unforgetable
Nilishawahi kumfuga huyo mnyama nyumbani kuna siku sikumpa chakula akatema moto nyumba ikaungua na yeye akateketea,moto wake mkali kuliko hata ule wa tanker lililodondoka msamvu,moroUmenikumbusha Agip na ile nembo yao ya mnyama mwenye miguu 6 anayetema moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kumfuga huyo mnyama nyumbani kuna siku sikumpa chakula akatema moto nyumba ikaungua na yeye akateketea,moto wake mkali kuliko hata ule wa tanker lililodondoka msamvu,moro