Hongera kwa kupiga ultrasoundDah umenikumbusha mbali sana, Siku hiyo niliaga naenda sokoni nikapitia uwanjani nikachelewa kupeleka mahitaji kwa mke nyumbani kisa kutazama huo mchezo!
bwege sana. huu mwandiko tu sio wa watu wa miaka hiyoDah umenikumbusha mbali sana, Siku hiyo niliaga naenda sokoni nikapitia uwanjani nikachelewa kupeleka mahitaji kwa mke nyumbani kisa kutazama huo mchezo!
Yanga walifukuza first team yao yote wakapandisha vijana,wakanywa sita,first team ikawa pan africa,ikabeba ubingwatuletee na mwendelezo mlipofungwa sita
Mkuuu π π πYanga walifukuza first team yao yote wakapandisha vijana,wakanywa sita,first team ikawa pan africa,ikabeba ubingwa
Yaani hii simba iliyoikimbia yanga juzi fukuza first team yote,halafu peleka vijana wakacheze na mkaangambolo na mzize uone watavibeba mimba hovyo za mapacha