Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show ya mwanamuziki Izzo Buzness. Star huyo aliwahi hospitalini na hali yake kuwa nzuri. Hata hivyo star mmoja wa filamu akizungumza na Swahiliworldplanet kwa sharti la kutoandikwa jina lake alisema kuwa Kajala alifanyiwa kitendo hicho cha kifedhuli kutokana na madai ya kutembea na mume wa mtu ambaye anadaiwa kumpangishia nyumba ya kifahari "kachukua mume wa mtu huyo Kajala, yes kuna libaba limempangia nyumba nzima so nahisi ndiyo sababu ya kuwekewa sumu" kilisema chanzo hicho.

Hata hivyo Kajala alijaribu kutafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo lakini kwa siku mbili hakuweza kupatikana.

CREDIT : SWAHILI WORLD PLANET
 
kalishwa SUMU!? Mmh kweli nimeamini mume wa mtu SUMU.
 
Wasanii wa tz ni malaya na washenzi...sijui wataiga mambo ya akina lupita lini..mxxxx badala ya kuwaza mambo ya maan wao wako busy na mambo ya kuvuana vyupi
 
Hadi kajala nae? Kweli ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi
 
Hiyo sumu kaitaka mwenyewe, ushaambiwa mume wa mtu sumu unategemea nini kitafuata
 
wema sepetu atamwachia kila aina ya mikoba..

they are playing in the same pitch...

next time naomba amwagiwe tindikali usoni ili iwe funzo...!

familia zinateseka sababu ya vimtu vishenzi kama hivi!
 
Wenyewe usema kama mme wa mtu ni sumu yeye maziwa hivo hatishiki

watu wa pwani hawa... kutwa kuchwa kuwaza ngono...

mkuu, solution ya watu kama hawa ni kuwanasisha tu kwenye dushelele!

yes...! natamani nisikie kajala kanasa kudadeki! afuatie wema, wolper na uwoya!

watajifunza tu!
 
Hata hivyo hiyo sumu nadhani haikuwa concentrated ingekuwa hivyo huyo angefia ndani ya gari
 
kama ni adhabu wapewe wote...mume na mwizi

Halaf nikunwe na nanii??!!saaa nyingine wanaume huwekea limbwataa akili zinakua sio zao,wanawake sie wabayaa tena mwanaume akishalishwa nyama ya kondoo iliyowekwa katikati ya K mbona mke hasikilizwii
 
watu wa pwani hawa... kutwa kuchwa kuwaza ngono...

mkuu, solution ya watu kama hawa ni kuwanasisha tu kwenye dushelele!

yes...! natamani nisikie kajala kanasa kudadeki! afuatie wema, wolper na uwoya!

watajifunza tu!

Unadhan hap wataona ajabu basi washazoea skendo tena wakiongelewa ndio wanapenda,dawa ni tindi kali tu hapoo!!!!!
 
sasa hiyo sumu utawawekea wangapi?
Halaf nikunwe na nanii??!!saaa nyingine wanaume huwekea limbwataa akili zinakua sio zao,wanawake sie wabayaa tena mwanaume akishalishwa nyama ya kondoo iliyowekwa katikati ya K mbona mke hasikilizwii
 
Back
Top Bottom