Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipomaliza kula chakula cha usiku mida ya saa 2 hivi, ghafla alitoweka, na kile chumba ambacho marehemu mama alimkuta kilikuwa kimefungwa kwa nje siku nyingi na hata siku ya tukio pia kilikuwa kimefungwa, huo ulikuwa mwendelezo tu wa mambo ya ajabu kuikumba familia yetu.hebu jazia Nyama vyema ...huo mkasa ulikuwaje ""?? kuwaje ? mmmh
aiseee...naruhusiwa kuja inbox ili niweze kujifunza zaidi...seems una mengi yakuongea lakini waogopa kuya mwaga hapaTulipomaliza kula chakula cha usiku mida ya saa 2 hivi, ghafla alitoweka, na kile chumba ambacho marehemu mama alimkuta kilikuwa kimefungwa kwa nje siku nyingi na hata siku ya tukio pia kilikuwa kimefungwa, huo ulikuwa mwendelezo tu wa mambo ya ajabu kuikumba familia yetu.
hicho chumba kwanni kilikuwa hakifunguliwi...nakama kilikuwa hakifunguliwi ..mliwezaje kujua kuwa mtoto alikuwa ndani ??...ni mwendelezo upi "" huo inamaana kbla ya hilo tukio yaliwahi kujiri matukio ya ajabu kabla ya hilo ...na baada ya hilo yalijitokeza yapi mengine ....mmmhh poleni sanaTulipomaliza kula chakula cha usiku mida ya saa 2 hivi, ghafla alitoweka, na kile chumba ambacho marehemu mama alimkuta kilikuwa kimefungwa kwa nje siku nyingi na hata siku ya tukio pia kilikuwa kimefungwa, huo ulikuwa mwendelezo tu wa mambo ya ajabu kuikumba familia yetu.
haha haha ngoja wajeHaya ni mambo ya kusadikika kama Mohammed alivyokwenda mapangoni kuja na mawe na kusema kashushiwa/kaandika Mungu, yetu macho. Dunia hii ina maajabu sana, Mungu tu ndiye ajuaye ukweli.
Hii ndo thread sasa..jipange mkuu utushirikishe tujifunze kitu hapaDunia hii inatisha Sana mkuu, kuna mdogo wangu sasa hivi ni marehemu aliwahi kupotea kijijini kwetu usiku ktk mazingira ya utata Sana, tulimtafuta kila sehemu hatukumwona, alikuwa na miaka 8 tu kipindi kile, tulipokata tamaa na kurudi nyumbani ili tujipange upya mida ya saa 9 alfajiri, marehemu mama alifungua chumba kilichokuwa kimefungwa muda mrefu na tukamkuta amekaa humo akiwa kimya haongei lolote, hadi alipokuja kuwa mtu mzima na kujitambua ,aligoma kabisa kusema alikuwa wapi hadi anafariki.
wiseboy. Mkuu naomba utusaidie kujibu haya maswali.hicho chumba kwanni kilikuwa hakifunguliwi...nakama kilikuwa hakifunguliwi ..mliwezaje kujua kuwa mtoto alikuwa ndani ??...ni mwendelezo upi "" huo inamaana kbla ya hilo tukio yaliwahi kujiri matukio ya ajabu kabla ya hilo ...na baada ya hilo yalijitokeza yapi mengine ....mmmhh poleni sana
Huu uzi hauusian kabisa na huyo bwana ukitaka kuangalia akili yake na yako humuingii hata kwa punje ya mchele bora ukae kimya kama huna la kusemaHaya ni mambo ya kusadikika kama Mohammed alivyokwenda mapangoni kuja na mawe na kusema kashushiwa/kaandika Mungu, yetu macho. Dunia hii ina maajabu sana, Mungu tu ndiye ajuaye ukweli.
Kabisaaa mkuu ni vichekesho kama Mungu Yesu alivyochezea kichapo kutoka kwa viumbe inachekesha sanaDunia ina mambo mengi sana ya kustahajabisha, ukisema ufuatilie kila jambo unaweza kuwa chizi ghafla.
Mmh! Chunga kauli nduguKabisaaa mkuu ni vichekesho kama Mungu Yesu alivyochezea kichapo kutoka kwa viumbe inachekesha sana
haha Haaaa Haas...bangi hiziKabisaaa mkuu ni vichekesho kama Mungu Yesu alivyochezea kichapo kutoka kwa viumbe inachekesha sana
aiseee...naruhusiwa kuja inbox ili niweze kujifunza zaidi...seems una mengi yakuongea lakini waogopa kuya mwaga hapa
kwahyo ww ni bwege auNgoja wajuzi waje
huyu jamaa nishaanza kuwa na wasiwasi nae.