Kisa cha kijana aliyetokea Jamhuri ya Taured

me pia nimetokea tanzaland ...ni nchi ya muunganiko wa nchi mbili zanziland na tangaland .... karibuni sana kwetu tanzaland
 
doh basi huyo alikuwa msukule..walimshindw wazee wa anga
 
Dunia ina mengi ambayo mengine hayapaswi kusimuliwa itakuwa ni kuogofya wengi
 
Mi pia babu yang aliwahi toweka kimiujiza akimsindikiza mgeni..tulintafuta sana lakini hatukufanikiwa kumpata wote tulijua amefariki lakini kitu cha ajabu alirudi baada ya siku nne..alipoulizwa alikua wapi alisema alipotoka kumsindikiza mgeni ambaye alikua ni rafiki ake wa siku nyingi alijikuta anatokea sehem ambayo hakuifaham japo kulikua na watu waliokua wakimshangaa na walizungumza lugha ambayo hakuielewa wala hakuwahi kuisikia ila hakukumbuka ilikuaje mpaka akarudi tena...haikuchua muda alifariki..!!
 
Mkuu Pole sana. Ni mwaka gani hii na ni wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…