Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame


Kwani kuna Siku yoyote ile nilikuomba au nilikuambia unikubali? Sana sana ni Wewe na huo ' Upumbavu ' wako ndiyo ulikuwa kila nikianzisha Mada hapa au nikichangia Uzi unakuja ' Kushoboka ' Kwangu kuwa unanikubali na kunipa Kongole kibao je ulishawahi kuona Mimi nikipoteza huo muda Kwako? Pumbavu.
 
NINA MTU MMOJA MJEDA KASOMEA MASHARIKI YA MBALI NCHI MOJA AMBAYO IKO JUU KIINTELIGENSIA.

HUWA ANAINGIA RWANDA KWA KAZI MALUMU KARIBU KILA MWEZI.

ANAINGIA BARACKS ZA RWANDA KAMA ABIRIA WANAVYOINGIA VYOO VYA KULIPIA VYA STEND ZA MABASI YA SAFARI NDEFU.

KIFUPI RWANDA WEUPE SANA.

MHITIMU WA JKT KWA MUJIBU HAPA TZ , NI SAWA NA ASKARI 5 WA RWANDA NA ASKARI JESHI MMOJA ALOIVA KWELIKWELI WA TZ NI SAWA NA WANAJESHI 15 WA RWANDA.
 
Huwa nakuheshimu sana humu, tulia na uombe radhi kwa matusi haya kwa nchi hii. Nakuambia omba radhi haraka. Tukio tulilolifanya mwaka 2014 ni sehemu ndogo sana na siweki mambo yote humu kwa sababu nijuazo.

Sikuombi radhi wala siwaombi radhi hao wengine na bado GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nasisitiza kuwa Tanzania na narudia tena Tanzania haina uwezo wa Kupambana Kivita / Kimedani na nchi ya Rwanda. Nitasimama na hii Kauli hadi naingia Kaburini na nakuomba tena acha Kuwadanganya ( Kuwajambisha ) Watanzania kwa Kuwaaminisha Kitu ambacho hakiwezekani.Rwanda tunaijua Tanzania ndani nje kuliko Tanzania inavyoijua Rwanda. Yaani nawaonea Huruma kwa jinsi ambavyo ' mnadanganyana ' hapa.
 
Huyo mjinga atabisha, mwache.
 
Wewe mtusi acha kunitukana, hivi unajua hata hapo ulipojificha unaweza kukamatwa na matusi yako.

Ulishaona ' Genius ' wa ' Kitutsi ' anakamatwa ' Kipumbavu ' au ' Kizembezembe ' kama mlivyozoea kwa hao wengine? Karibuni mnikamate mbona nimejaa tu tele? Yaani ' uidhihaki ' kabisa na wazi wazi nchi yangu ' Kiasili ' ya Rwanda na Rais wangu Kipenzi His Excellency Paul Kagame ambaye yupo Tanzania na leo Alasiri anaondoka kurejea Kigali halafu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ninyamaze eti kwa ' Kuwaogopeni ' nyie Wapuuzi na Waswahili wachache tu!
 
Naona hapa nabishana na tabularasa, endelea na kazi zako kwani sipo hapa kivujisha siri za jeshi letu tukufu.
 
Kijana acha uongo na uchochezi wa mitandaoni kwani hupati faida yoyote. Hadithi kama hizi za kutunga na kupotosha hazina afya ktk jamii inayotafuta kupatana na kuwa na upendo.

Unajiaibisha kijana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwenda huko ' Pumbavu ' mkubwa Wewe. Huna unachokijua ' and just keep your Pig mouth Shut ' sawa?
 

NARUDIA WEWE GENTAMYCINE NI MPUUZI WA MWISHO NA LEO UMETHIBITISHA WEWE NI KUBWA JINGA KABISA.

UNAJUA COLNEL SOROMBA WA PANGAWE YUPO WAPIAKIMAANISHA?? KABURI LAKE LIKO WAPI?? DAIMA TUKIWASHTUKIA HUWA TUNADEPORT KIMYAA KIMYAA.

NYONGEZA NI KAWAIDA MAJESHI KUCHUNGUZANA,RAFIKI YANGU MMOJA ANACHEZA SANA BARACKS ZA RWANDA NA ANANATOKA BILA KUBAINIKA!

SISI HUWA TUNAMALIZA KIMYAA KIMYAA.
NJIA NYINGINE TUNAFADHILI WAASI WA RWANDA WAIOPO BURUNDI,NA CONGO NA BAADA TUTACHOCHEA KUNI MOTO UWAKE THEN TUWASHA MOTO WA MIANZI,NA KULETA KILIO KIKUA KIGALI ,NYAMIRAMBO NA VIUNGA VYAKE,

MKITAKA KUONA JARIBUNI!!!
 
Naona hapa nabishana na tabularasa, endelea na kazi zako kwani sipo hapa kivujisha siri za jeshi letu tukufu.

Hata kabla hujazivujisha hapa wenye akili kuliko Wewe na Ndugu zako wengine wote tumeshazijua na tunazo sasa huu ni mwaka wa 18 na ndiyo maana nakuambia tena kwa Kiburi na Jeuri kabisa kwamba Tanzania haiwezi Kuipiga Rwanda Kijeshi iwe ni Usiku au Mchana na tena msije ' mkathubutu ' kwani mtajuta kutufahamu.
 
Mshukuruni Mungu Magufuli ameukwaa Urais kama ngekewa, Laiti Rais angekuwa Membe angemaliza kazi mapema mwaka 2016 na Leo hii hapo Kwenu Rais angekuwa mhutu au kama ni mtusi basi ni General Kayumba Nyamwasa.
 
Kesha ukiomba kwa Imani yako itokee siku moja uone kazi ilivyo nyepesi kwa Jwtz. Rwanda haina lolote bali ni majigambo na kiburi cha Pk aliyegoma kuondoka ofisini.
 
ANTIBIOUTIQUE[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli ndani yake uki refer pale Burundi walivyotangaza kumpindua Pierre Nkurunziza akiwa Tanzania, walidhibiti vituo vyote vya usafiri, vya habari na mipaka lakini baada ya masaa kadhaa Nkurunziza akarudishwa kwake na akawa hewani kwenye vyombo vya habari vilivyokuwa chini ya waasi. Mpaka Leo ukienda ukikutana na Mrundi anakuamkia Mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa aliingizwa Burundi kininja
 
Jamaa aliingizwa Burundi kininja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…