Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Aisee, chai yako tamu ila haina ladha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
hii habari ni ya kutunga kama habari nyinginr...haina ukweli...ulikuwa unajifunza kuandika insha nini...?
 
Uslolijua alilolindika GENTAMYACIN lina ukwel kwa %46 hasa pale anaposema kila idara kna wanyarwanda hata kama sio idala zte, Idara %kubwa ya idara wapo amn usiamn, Majuz tu Hapa nimeona idara moja hv yumo mtus, na hil kabila Watus ndi weng sana fatilia mkuu utapata majbu mwenyew
Mjinga sana huyo et karwanda hadi nimecheka mweeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua kuna ' Wapuuzi ' na ' Wapumbavu ' wachache watakuamini na wamekuamini vile vile kwa 99.9%, ila nikuombe tu kama ukisikia kuna Chuo Kikuu chochote Kipya cha Ubobezi wa Propaganda kinaanzishwa basi peleka Maombi yako ili uweze kuwa ama Principle au Vice Chancellor wake kwani una ' Qualifications ' zote na utafaa.

Pamoja na Kuandika yote haya ila nakuhakikishia tena hapa hapa kuwa Tanzania haina ubavu / uwezo wa Kupambana ' Kivita ' na Rwanda na kama Tanzania mnataka muwe eneo rasmi la nchi ya Rwanda kuanzia sasa ' tuchokozeni ' hata sasa hivi ili muione nguvu ya Kinyarwanda tena hasa ya Kabila ' lililobarikiwa ' la ' Kitutsi ' ndipo mtasimulia vyema.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba Rwanda tunaiogopa zaidi Uganda kuliko Tanzania hasa kutokana na sababu za ndani zaidi ambazo hapa si mahala pake ila kwa Wafuatiliaji wa mambo hasa yale ' Nyeti ' wanaelewa na naamini pia kuwa watakuwa wamenielewa.

Kama kuna nchi ambayo Rwanda tuna uwezo wa Kuivamia na Kuipiga tena Kiurahisi kabisa hapa Afrika Mashariki basi ni nchi ya Tanzania na hapa nisisitize tu kwamba hakuna eneo ' Muhimu / Nyeti ' nchini Tanzania ambapo hakuna Mnyarwanda ( hasa Mtutsi ) na kama ni Kuwasomeni na Kupenyeza Watu wetu hatujaanza Kufanya leo bali tulianza tokea miaka 15 hadi 18 iliyopita na ndiyo maana unaona tuna Kiburi na Jeuri dhidi yenu. Kiufupi tu ni kwamba Watanzania mmechelewa sana na mno kwa Rwanda na kupitia hili hili Bandiko ( huu Uzi ) nitumie nafasi hii kuwapeni ONYO KALI Watanzania kama kweli mnajipenda acheni ' Kuichokonoa ' au ' Kuifuatafuata ' Rwanda ila kama mnataka ' Maangamizi ' makubwa kuliko yale mliyoyapata kutoka kwa Nduli Idi Amin japo mlimshinda ' Kimazingaombwe / Kiuchawi / Kindumba ' endeleeni ' Kushoboka ' na Sisi ( Rwanda ) ili mje msimulie vizuri.

Nimemaliza.
WEWE NI MPUUZI SANA NAKUDHARAU KUANZIA LEO,KARWANDA LAND LOCKED COUNTRY IPAPAMBANE NA TZ??

LEO UMETHIBITISHA KUWA WEWE NI MPUUZI WA HALI YA JUU KULIKO MPUUZI YOYOTE HAPA JF.

CHEZENI NA BURUNDI UGANDA NA CONGO SIKU MKIJARIBU TUNAIFANYA RWANDA MKOA WA TZ NA TUNAHITAJI USIKU MMOJA TU.

TUNAWAPIGA KUTOKA CONGO,TUNAWATWANGA KUTOKEA BURUNDI.

KAGAME KWA JESHI GANI? KWA LOGISTICS ZIPI???

KAGAME ANASHINDWA KULALA USINGIZI VIZURI AKIOOGOPA TUVIKUNDI TWA WAASI HALAFU AIWEZE TANZANIA??

TAFAKARI MARA MBILI GENTAMYCINE,NARUDIA WEWE NI MPUUZI NA UMEANDIKA UPUUZI WA HALI YA JUU.
 
Huwa nakuheshimu sana humu, tulia na uombe radhi kwa matusi haya kwa nchi hii. Nakuambia omba radhi haraka. Tukio tulilolifanya mwaka 2014 ni sehemu ndogo sana na siweki mambo yote humu kwa sababu nijuazo.
 
Na huwezi amini Mkuu kuna ' Wapumbavu ' kadhaa wamemuamini kabisa kwa 100% hadi kumpa ' Likes ' zao kwa alichokiandika huyo ' Mpuuzi ' hapo. Acha awaaminishe ' Ujinga ' Watanzania wenzake hao kisha Rwanda tukifanya yetu kwa Tanzania ndipo watajuta Kutufahamu.
Wewe mtusi acha kunitukana, hivi unajua hata hapo ulipojificha unaweza kukamatwa na matusi yako.
 
WEWE NI MPUUZI SANA NAKUDHARAU KUANZIA LEO,KARWANDA LAND LOCKED COUNTRY IPAPAMBANE NA TZ??

LEO UMETHIBITISHA KUWA WEWE NI MPUUZI WA HALI YA JUU KULIKO MPUUZI YOYOTE HAPA JF.

CHEZENI NA BURUNDI UGANDA NA CONGO SIKU MKIJARIBU TUNAIFANYA RWANDA MKOA WA TZ NA TUNAHITAJI USIKU MMOJA TU.

TUNAWAPIGA KUTOKA CONGO,TUNAWATWANGA KUTOKEA BURUNDI.

KAGAME KWA JESHI GANI? KWA LOGISTICS ZIPI???

KAGAME ANASHINDWA KULALA USINGIZI VIZURI AKIOOGOPA TUVIKUNDI TWA WAASI HALAFU AIWEZE TANZANIA??

TAFAKARI MARA MBILI GENTAMYCINE,NARUDIA WEWE NI MPUUZI NA UMEANDIKA UPUUZI WA HALI YA JUU.
Mpe kubwa huyu anajona mjuvi na mzalendo wa mkoa wetu enzi za Mjerumani.
 
Back
Top Bottom