Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Hii movie sio nzuri iko kama ya bashite na kuvamia studio au mambo leo kunywa balimi na mateka wa komando kipens
 
Halo JF siasa.

Niende madani hapo juu.

Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.

Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.

Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.

Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.

Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa.

Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Hadithi za aina hii ndizo zilikuwa zina-trend vijiwe vya zamani enzi za utawala wa Nyerere. Siku hizi ukisimulia unaonekana kama juha hivi. kwani watu wana uelewa mpana.
 
Halo JF siasa.

Niende madani hapo juu.

Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.

Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.

Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa huruma ya kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.

Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.

Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa.

Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Hii habari niliwahi simuliwa na mwanajeshi mmoja mzee wa makamo lakini sikuamini
 
Ujinga mtupu, Kagame siyo fala kama mtu wenu hapa!
 
Wengi wanabisha ila mm ckubishii mkuu,,,jeshi letu linaweza tena linaweza kwa asilimia mia,,,
Achana na JW,,ni noma sana wale jamaa,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom