Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Uwezo wa makomandoo wetu kufanya hivyo wanaweza kweli ila hilo tukio mmmhhh cdhani ka kweli ila uwezo huo wanao

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahah daah uwezo huo upo wa kumfanyia nani?

Unadhani kwenda kumteka rais wa nchi ni kama kwenda kumkamata Mbowe au ni kama ambavyo Mo dewji alitekwa sio?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi Fred kagame unamjua unamskiaa??

Ingekuwa vice versa ningekuunga mkono
 
Nami Mama_Aheshimiwe katika vikao vyangu vya kahawa nimeskia jk alimtorosha mkuu wa majeshi ya Rwanda kipindi hiko kutoka rwanda na kumpeleka south afrika
Lakini cha ajabu yule mkuu wa majeshi akauwawa huko south africa na baada ya uchunguzi ikaonekana waliomuua ni watanzania na sio wanyarwanda. Nikawa sielewi
Tufafanulie zaidi na hili kama walijua Freed Freed
 
Ok na Rwanda nzima ikakubaliana dunia ya nje isijue kua walinzi wote wa rais waliuawa usiku uliopita?

Kwanini mnatuone wenzenu wajinga?
Walikuwa na wakati mgumu mno na kagame hakutaka hii habari ivuje maana ni aibu kwa nchi. Yupo wapi mnyarwanda GENTAMYCINE?
 
Nami Mama_Aheshimiwe katika vikao vyangu vya kahawa nimeskia jk alimtorosha mkuu wa majeshi ya Rwanda kipindi hiko kutoka rwanda na kumpeleka south afrika
Lakini cha ajabu yule mkuu wa majeshi akauwawa huko south africa na baada ya uchunguzi ikaonekana waliomuua ni watanzania na sio wanyarwanda. Nikawa sielewi
Tufafanulie zaidi na hili kama walijua Freed Freed
Hapana, aliuliwa na Majasusi wa Rwanda hotelini. Aliitwa Patric Karegeya MKUU wa ujasusi Rwanda na sio CDF.
 
Back
Top Bottom