Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Kamba
20220920_080305.jpg
 
Najua kuna ' Wapuuzi ' na ' Wapumbavu ' wachache watakuamini na wamekuamini vile vile kwa 99.9%, ila nikuombe tu kama ukisikia kuna Chuo Kikuu chochote Kipya cha Ubobezi wa Propaganda kinaanzishwa basi peleka Maombi yako ili uweze kuwa ama Principle au Vice Chancellor wake kwani una ' Qualifications ' zote na utafaa.

Pamoja na Kuandika yote haya ila nakuhakikishia tena hapa hapa kuwa Tanzania haina ubavu / uwezo wa Kupambana ' Kivita ' na Rwanda na kama Tanzania mnataka muwe eneo rasmi la nchi ya Rwanda kuanzia sasa ' tuchokozeni ' hata sasa hivi ili muione nguvu ya Kinyarwanda tena hasa ya Kabila ' lililobarikiwa ' la ' Kitutsi ' ndipo mtasimulia vyema.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba Rwanda tunaiogopa zaidi Uganda kuliko Tanzania hasa kutokana na sababu za ndani zaidi ambazo hapa si mahala pake ila kwa Wafuatiliaji wa mambo hasa yale ' Nyeti ' wanaelewa na naamini pia kuwa watakuwa wamenielewa.

Kama kuna nchi ambayo Rwanda tuna uwezo wa Kuivamia na Kuipiga tena Kiurahisi kabisa hapa Afrika Mashariki basi ni nchi ya Tanzania na hapa nisisitize tu kwamba hakuna eneo ' Muhimu / Nyeti ' nchini Tanzania ambapo hakuna Mnyarwanda ( hasa Mtutsi ) na kama ni Kuwasomeni na Kupenyeza Watu wetu hatujaanza Kufanya leo bali tulianza tokea miaka 15 hadi 18 iliyopita na ndiyo maana unaona tuna Kiburi na Jeuri dhidi yenu. Kiufupi tu ni kwamba Watanzania mmechelewa sana na mno kwa Rwanda na kupitia hili hili Bandiko ( huu Uzi ) nitumie nafasi hii kuwapeni ONYO KALI Watanzania kama kweli mnajipenda acheni ' Kuichokonoa ' au ' Kuifuatafuata ' Rwanda ila kama mnataka ' Maangamizi ' makubwa kuliko yale mliyoyapata kutoka kwa Nduli Idi Amin japo mlimshinda ' Kimazingaombwe / Kiuchawi / Kindumba ' endeleeni ' Kushoboka ' na Sisi ( Rwanda ) ili mje msimulie vizuri.

Nimemaliza.
Huu mkwara inaonesha hii stori ina ukweli kiasi ndani yake.
 
NARUDIA WEWE GENTAMYCINE NI MPUUZI WA MWISHO NA LEO UMETHIBITISHA WEWE NI KUBWA JINGA KABISA.

UNAJUA COLNEL SOROMBA WA PANGAWE YUPO WAPIAKIMAANISHA?? KABURI LAKE LIKO WAPI?? DAIMA TUKIWASHTUKIA HUWA TUNADEPORT KIMYAA KIMYAA.

NYONGEZA NI KAWAIDA MAJESHI KUCHUNGUZANA,RAFIKI YANGU MMOJA ANACHEZA SANA BARACKS ZA RWANDA NA ANANATOKA BILA KUBAINIKA!

SISI HUWA TUNAMALIZA KIMYAA KIMYAA.
NJIA NYINGINE TUNAFADHILI WAASI WA RWANDA WAIOPO BURUNDI,NA CONGO NA BAADA TUTACHOCHEA KUNI MOTO UWAKE THEN TUWASHA MOTO WA MIANZI,NA KULETA KILIO KIKUA KIGALI ,NYAMIRAMBO NA VIUNGA VYAKE,

MKITAKA KUONA JARIBUNI!!!
Usimwage Mchele Kwa wapuzi!
 
Halo JF siasa.

Niende madani hapo juu.

Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.

Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.

Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa wasiwasi wa kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.

Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.

Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.


Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Uongo mtupu.
Kigali kila mtaa karibu una ulinxi mkali waliwezaje kupenya?
Wadanganye wasioijua Kigali
 
Hiki kisa alicholeta huyu jamaa kimeonyesha kabisa watu wengi humu JF hawajui mambo mengi na si wafuatiliaji wa haya matukio.

Kwa anayejua zile pilikapilika za kijeshi kuanzia Mwanza mpaka Bukoba kipindi kile na upole wa ghafla wa PK unaweza kuhisi kitu na unaweza pia usimbishie Mleta uzi.
Wengi humu ni mbumbumbu!!

Hata hawajui pesa mingi ya Kodi za wananchi inapelekwa wapi!!
 
Kuna ukweli ndani yake uki refer pale Burundi walivyotangaza kumpindua Pierre Nkurunziza akiwa Tanzania, walidhibiti vituo vyote vya usafiri, vya habari na mipaka lakini baada ya masaa kadhaa Nkurunziza akarudishwa kwake na akawa hewani kwenye vyombo vya habari vilivyokuwa chini ya waasi. Mpaka Leo ukienda ukikutana na Mrundi anakuamkia Mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiilinganishe Rwanda na Burundi mkuu.
Ikiwa hatyo yalitokea kwanini tulipeleka zana za kivita mikoa jirani?
 
Back
Top Bottom