Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello,
Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani.
Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo.
Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata mchongo Arusha, punde bodaboda akaenda nyumbani kwao mtoto wa kirangi akuuliza endapo Binti kaolewa maana alifadhili masomo kimya kimya, akajibiwa binti hajaolewa wala kuchumbiwa.
Wakati wa kutajiwa kishika uchumba akatajiwa Milioni 2 kisha akaambiwa kuhusu mahali nenda ukapate bei kwa mwenzio yuko Arusha, jamaa bodaboda akafika Arusha akamkuta mchumba, wakaongea Binti akataja mahari Milioni 3, kamanda akarudi zake Morogoro akajipanga akatoa mahari Milioni 3, akarudi zake Morogoro.
Baada ya muda kidogo akaanza kupata vimbwanga kila akipiga simu, baada ya miezi michache mume bodaboda akapiga simu kwa mrembo wa kirangi mkewe, mkewe akamkanya usinipigie mimi nimeolewa nina mume wangu sitaki usumbufu sikutaki na usinitafute kabisa.
Inshallah mume akajiuliza sana akaomba ushauri kwa wazee wa kiluguru wakamwambia tafuta Laki 6 usipate shida mkeo atarudi na atakutafuta mwenyewe na atahamia kikazi Morogoro na akiwa mkeo gharama zote ulizomsomeshea zitarudi vumilia. Kijana bodaboda akatafuta Laki 6 akatoa sadaka na maombi yakafanyika.
Mungu ni Mungu wa ahadi hakika kijana bodaboda akatafutwa na mkewe mrembo wa kirangi, hadi sasa wanaishi kama mume na mke na kijana wa kinole bodaboda anaishi na msomi wa kirangi kada ya afya na tiba.
Mungu hajawahi kumtupa mja wake tumpe imani hakika yeye ni Alfa na Omega.
Mshitikishe Mungu wako bisheni hodi mtafunguliwa, tafuteni mtapata na ombeni nanyi mtapewa.
Jisaidie nami nitakusaidie.
Imani ni nguvu ya kuishi na maisha ni zawadi.
Wadiz---now once for a while.