Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

Hello,

Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani.

Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo.

Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata mchongo Arusha, punde bodaboda akaenda nyumbani kwao mtoto wa kirangi akuuliza endapo Binti kaolewa maana alifadhili masomo kimya kimya, akajibiwa binti hajaolewa wala kuchumbiwa.

Wakati wa kutajiwa kishika uchumba akatajiwa Milioni 2 kisha akaambiwa kuhusu mahali nenda ukapate bei kwa mwenzio yuko Arusha, jamaa bodaboda akafika Arusha akamkuta mchumba, wakaongea Binti akataja mahari Milioni 3, kamanda akarudi zake Morogoro akajipanga akatoa mahari Milioni 3, akarudi zake Morogoro.

Baada ya muda kidogo akaanza kupata vimbwanga kila akipiga simu, baada ya miezi michache mume bodaboda akapiga simu kwa mrembo wa kirangi mkewe, mkewe akamkanya usinipigie mimi nimeolewa nina mume wangu sitaki usumbufu sikutaki na usinitafute kabisa.

Inshallah mume akajiuliza sana akaomba ushauri kwa wazee wa kiluguru wakamwambia tafuta Laki 6 usipate shida mkeo atarudi na atakutafuta mwenyewe na atahamia kikazi Morogoro na akiwa mkeo gharama zote ulizomsomeshea zitarudi vumilia. kijana bodaboda akatafuta Laki 6 akatoa sadaka na maombi yakafanyika.

Mungu ni Mungu wa ahadi hakika kijana bodaboda akatafutwa na mkewe mrembo wa kirangi, hadi sasa wanaishi kama mume na mke na kijana wa kinole bodaboda anaishi na msomi wa kirangi Kada ya afya na tiba.

Mungu hajawahi kumtupa mja wake tumpe imani hakika yeye ni Alfa na Omega.

Mshitikishe Mungu wako bisheni hodi mtafunguliwa, tafuteni mtapata na ombeni nanyi mtapewa.

Jisaidie nami nitakusaidie.

Imani ni nguvu ya kuishi na maisha ni zawadi.

Wadiz---now once for a while.
Mtistuaminishe uongo wenu huo. Hatusomeshi wachumba wala mke labda nimezaa naye na hii ni kwa ajili ya watoto wangu.
 
chai.gif
 
Hello,

Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani.

Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo.

Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata mchongo Arusha, punde bodaboda akaenda nyumbani kwao mtoto wa kirangi akuuliza endapo Binti kaolewa maana alifadhili masomo kimya kimya, akajibiwa binti hajaolewa wala kuchumbiwa.

Wakati wa kutajiwa kishika uchumba akatajiwa Milioni 2 kisha akaambiwa kuhusu mahali nenda ukapate bei kwa mwenzio yuko Arusha, jamaa bodaboda akafika Arusha akamkuta mchumba, wakaongea Binti akataja mahari Milioni 3, kamanda akarudi zake Morogoro akajipanga akatoa mahari Milioni 3, akarudi zake Morogoro.

Baada ya muda kidogo akaanza kupata vimbwanga kila akipiga simu, baada ya miezi michache mume bodaboda akapiga simu kwa mrembo wa kirangi mkewe, mkewe akamkanya usinipigie mimi nimeolewa nina mume wangu sitaki usumbufu sikutaki na usinitafute kabisa.

Inshallah mume akajiuliza sana akaomba ushauri kwa wazee wa kiluguru wakamwambia tafuta Laki 6 usipate shida mkeo atarudi na atakutafuta mwenyewe na atahamia kikazi Morogoro na akiwa mkeo gharama zote ulizomsomeshea zitarudi vumilia. Kijana bodaboda akatafuta Laki 6 akatoa sadaka na maombi yakafanyika.

Mungu ni Mungu wa ahadi hakika kijana bodaboda akatafutwa na mkewe mrembo wa kirangi, hadi sasa wanaishi kama mume na mke na kijana wa kinole bodaboda anaishi na msomi wa kirangi kada ya afya na tiba.

Mungu hajawahi kumtupa mja wake tumpe imani hakika yeye ni Alfa na Omega.

Mshitikishe Mungu wako bisheni hodi mtafunguliwa, tafuteni mtapata na ombeni nanyi mtapewa.

Jisaidie nami nitakusaidie.

Imani ni nguvu ya kuishi na maisha ni zawadi.

Wadiz---now once for a while.
Daah mwanangu...usomeshe halafu tena ukaloge ili uoe?
Hapa mshindi nani?
Mke kaliwa wee hadi uloge ndio aje?

Huu ni ushindi wa kushukuru nao?
 
If u imagine the rate or numbers or percentages of those that aren't virgin getting married on daily basis, you would quickly nullify ur thoughts.

In war fights we get back what we lost during the battle and seize other things from our enemy.
 
Lakini kupigania mwanamke asiye mkweli, sio mwaminifu, kitombwi sio ushindi ni kujiharibia maisha yako.

Huyo atakuwa analiwa hata huko kwenye shift za usiku.

Mambo ya wazi kama haya mnajileteaga shida za wazi wenyeww
 
Na huyo boda ni wewe, hongera mkuu
si kila jambo lina second thought, ukijua ufadhili wanaofanya hawa bodaboda na wale wa bajaji huwezi shangaa, it's their dream and they feel so proud and blessed dating university ladies na hujipata watumwa, na mabinti, wadada hawana hiana kufui zip kwa yeyote kama kiu ya mahitaji inatimiziwa.
 
Back
Top Bottom