Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

Lakini kupigania mwanamke asiye mkweli, sio mwaminifu, kitombwi sio ushindi ni kujiharibia maisha yako.

Huyo atakuwa analiwa hata huko kwenye shift za usiku.

Mambo ya wazi kama haya mnajileteaga shida za wazi wenyeww
Hii ni funzo na huyo bodaboda hadi leo yupo na mkewe, hio sio chai wanaishi Morogoro Town. Hii Dunia ni vita na vita ni vita. Kumbuka Arusha Jiji la tamaa na anasa na pesa ipo
 
Hyo laki sita alitoa sadaka Kwa Mungu yupi au alimroga binti wa watu
 
Hyo laki sita alitoa sadaka Kwa Mungu yupi au alimroga binti wa watu
Mungu aliemuwezesha kumsomesha labda who knows. Mimi siwezi jibia maswali yake, hiki ni kisa tu cha ukweli na bado wapo.
 
Lipia tangazo
 
Kuna watu wanaandaliwa kuibiwa hapa.
 
Stori za Abunuwasi hizi.
 
Mkuu ni Mungu kweli au ni ndumba zimetumika?

Huyo afisa usafirishaji wakati akisimamia ukucha katika kupiga goli la mkono kwenye lango la tapeli wake, huwaga hahoji maswali madogo madogo kupata majibu ya kumsaidia kwenda mbali zaidi katika kukomesha unyang'au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…