Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

Hiyo Aya ya mwisho nimekerwa na mambo mawili. Kwanza ni hiyo tabia ya demu wako kuchukua simu na kuipokea as if ni yake. Hii tabia huwa naona ni kukosa adabu kuliko pitiliza. Hata kama ni mwanaume wako usithubutu kuipokea simu yangu pengine ni mtu ananidai au nimedanganya kuwa sipo karibu na simu wewe unapokea hiyo sio adabu hata kidogo Pumbavu zako shemeji lisa.

Pili ni hii tabia ya kuja na story nusu nusu badala ya kuandika kitu cha kueleweka. Ukapost chote unaandika nusu nusu halafu unasema itaendelea unatukera tunaosoma na mimi nikishaona neno itaendelea huwa naishia hapo hapo.

Kwahiyo naomba nikufahamishe ndugu mleta uzi kuwa umenikera sana matako yako mbwa wewe na Hadithi yako zitasoma tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nimekereka sana.
Mke wangu mpaka nimpe mamlaka ya kupokea na si kujiamria.
 
Shusha vitu weekend hii

Kuhusu Nancy nipo naye hapa nimemuonesha stori hii anacheeka
 
Ikiisha mnitag, nije nisome[emoji433], ila kwa Sasa ngojs [emoji2760]
 
Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo.

Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
Urudi
 
Yaani inaboa sana story imefika patamu jamaa anaingia mitini[emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom