2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3 , kwa chini kuna Restaurant , nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.
Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni...[emoji3]ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo
Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lkn usemi kama una mtu dah...!!
Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq[emoji3][emoji3][emoji3]