Kisa cha kweli Mjini Morogoro

Kisa cha kweli Mjini Morogoro

2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3 , kwa chini kuna Restaurant , nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.

Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni...[emoji3]ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo

Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lkn usemi kama una mtu dah...!!

Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq[emoji3][emoji3][emoji3]
Pole Sana...sikunyingine huwe unauliza sasa
 
2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3, kwa chini kuna Restaurant, nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.

Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni [emoji3]ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo.

Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lakini usemi kama una mtu dah!

Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq[emoji3][emoji3][emoji3]
Acha uoga tu yaani utoe pesa niwapoze watu kwa kosa lao hyo hoteli Hakuna manager au wee Ni mnyonge San asiee mm ningewaatolea lidemu lao sas nipigie simu kuuita diffenda
 
Usiombe yakukute
 
2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3, kwa chini kuna Restaurant, nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.

Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni [emoji3]ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo.

Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lakini usemi kama una mtu dah!

Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq[emoji3][emoji3][emoji3]
Ulishaandika kwenye ule uzi wa kulala gesti
 
Kwani huwez kusafiri bila kulala na mwanamke mmnaujasiri gani kukutana n mwanamke tu ukalala nae kunawengine wachawi😂😂 Ndo maana mwenzenu alikabwa ndotoni😂😂😂
 
Hizi nyege mshindo nashukuru sina nikiwa na utimamu wangu labda nikilewa.

Laiti kama ningekua kama hivyo hakyanani ningeshazikwa tayari.
 
Back
Top Bottom