Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

Hongera sana mtoa mada. Wewe ni kati ya watu wachache wanaopata bahati ya kuona mambo kama haya.

Endelea kuyatafakari yale maneno aliyokuambia uyatamke yule mtu pale hospitali. Endelea kuyatamka kila siku.

Achana na mambo sijui ya kanisa, huko watakupoteza na kukuondolea nguvu zako. Baki jinsi ulivyo huku ukijitafakari.

Na pia achana na hawa MAUCHWARA ya humu yanayotoa kejeli. Hayajui lolote wala hayafahamu ulichokiona. Ni MAZWAZWA yenye SMARTPHONES. Kwanza wengi wao ni WACHAWI na WAGANGA WA KIENYEJI, hawana uwezo wa kukushauri kitu zaidi ya UPUMBAFU.

Hongera sana, umeoneshwa mambo ya ajabu ili uwe jasiri na uzidi kujiamini. Asitokee mtu akakwambia sijui njoo kanisani mara sijui okokaa. KATAAA, mwambie kabla ya dini MUNGU ALIKUWEPO.
Nashukuru sana mkuu mm ata church huwa siendagi kabisa
 
Write your reply...eti mungu mtu..upuuzi gan huu mtu awe mungu labda miungu yako A. k . A. mizimu ..ishia hapo hama mungu mtu
 
Inaendelea...

Hello habari, naam kipande kinachofata ni baada ya matokeo kutoka nikafaulu na kuendelea mwaka wa tatu. Kwenye lile somo la yule lecturer mtata tulichomoa sup watu kumi na moja tu kat ya 195 wengne walirud wakaendelea na utaratibu mwngne.

Basi masomo yalianza kwa speed sana na mm nikawa napiga fresh hamn noma ,katika hiki kipindi nilianza kupata hela sana sana mpaka nikanenepa na kuwa na uzito wa kilo 84.5 kutoka kilo 57 nikasahau kabisa matatizo niliyopitia.

Hela nilizipata pale ninaposaini tu hela ya boom na field inakuja mara mbili mfano wengne wakipata lak saba mm nachukua milion na laki nne na vichench ,wakisain lak tano mm nachukua milioni na chench juu na ilikuwa muda mwngne nikizitoa zote nikienda bank kuangalia naweza kuta kuna lak mpaka laki mbili na sijui zimetoka wap maana mm nilikuwa nikitoa hela natoa zote siachi ata mia.

Maisha yalikuwa bomba sana. Siku moja nikawa nimetoka chuo mida ya saa kumi na mbili iv jion nikaingia geto rafik wangu wa kike alikuwa bado anavipind hakuwepo geto, nikasema ngoja nilale kdg nikalala na mgongo naangalia juu mara ghafla nikaona hali siyo ya kawaida nikawa naona mawingu yanaenda kasi ya ajabu sana, upepo mkali yan ni vurugu tupu naona mawingu yanatoka upande huu yanakuja uku na ya uku yanaenda kule (sijui nielezaje apa) baada ya ile vurumai kutulia kabsa pakapoaa just in seconds niliona MKONO MKUBWA SANA ulioanzia kule mawingu yalipo mpaka pale nilipo yan nauona huu hapa!!

Katika ule mkono nilibahatika kuona kucha za vidole vitatu yaan hivi vya mwisho doh zile kucha zilikuwa nzuri mno! Yan nzuri sana sana! Zilikuwa za rang kama white cream ivi nzuri mno! (nilijaribu kutafuta madini yote kwa kugugo na mengne kwa macho hayafikii uzuri wa zile kucha even diamond ata gold hazikuti) ule mkono baadae ukarudi juu kwa haraka sana ,kumbuka haukukaa ata dakika yan in seconds tu ukarudi juu.

Baada ya ilo tukio niliruka kitandani natafuta pa kutokea nakuta napanda ukuta tu nimeshasahau mlango uko wap, jasho mwili mzima mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi mpaka nashindwa kupumua vizuri nilijua ndo nakufa sasa.

Baada ya hapo hali ilikaa sawa ata rafiki yangu alipokuja alinikuta na mawazo sana ila sikumuambia kilichotokea mpaka leo hajawai kujua kwa mara ya kwanza ndo naandika apa. Thanks all
Matukio mengne ya ajabu ajabu nakumbuka siku moja nikiwa advance ,siku moja tukiwa preparation usiku kama saa tatu ivi mm na mwenzangu jamaa fln korofi sana tulikuwa tunamtukana head boy na vice wake matusi yale ya viungo vya wazazi wao (vya kike) na tulikuwa tunasoma nao class moja na walikuwepo ndani tuliwatukana sana.

Mim nimesimama kati kat ya darasa jamaa yeye yuko mbele yan tunawagesha na matusi na vitisho kumbe muda huo makamu mkuu wa shule alikuwa dirishan kwa nyuma anaangalia na kusikiliza yale matusi kwa viongoz wale na vitisho, ghafl nikamwona jamaa yule niliekuwa natukana nae kainamisha kichwa chini nikajua labda kachoka au anafikiria matusi mengne kumbe ameshamwona makam wa shule ila mm nilikuwa sijamwona kwahyo nilikuwa naendelea ah kuja kushtuka naona shat la vibox vya brown dirishan nikajua tayar mzee mambo yameisha maana nilijua tu ni makam maana shart lile nalijua ni lake.

Alivyoona tumeshamwona aliingia class kwa hasira sana akiwa anafoka amekunja ndita zile alimshika jamaa kama kuku vile piga vibao sana kamshika roba katoka nae ila mm hakunisemesha nikabak nimepigwa na mshangao natetemeka tu nikaona viongoz wote wakaamka sasa hp kanifata pale kweny desk akaniambia wew mganga e haujaonekana au? Nikabak kimya akaniambia ngoja sasa nikushughulikie akatoka nje.

Mpka prpo inaisha saa nne na nusu sijaitwa ila jamaa muda natoka nikamwona amechakaa sana na kapiga magoti mbele ya ofis na alikaa mpaka saa sita usiku kesho yake asubh jamaa alifukuzwa shule mim nikasalimika.
 
Jamani baada ya muda nilikuja kujua Mungu mtu nilikuwa naambiwa nitamke ni YESU KRISTO (JESUS CHRIST) ila mimi frankly speaking napata shida sana kukubali yes! Yan msimamo wangu mm kwanza siziamin kbsa hiz din za watu weupe yan nahis kuabudu din zao bado tupo utumwani.

Ni ukwel usiopingika na mimi ni shahid mpaka siku ya mwsho ni kweli Mwanadamu AMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU KABISA. hii mm nimeona wala sijaota nimeona!! Ila kuamin sasa ndio kipengele.

Na stak mtu kabsa aje aniambie sijui mambo ya church cjui nn hatutaelewana. Haya yanayonikuta lazma yatakuwa na ukomo na nilishamwambia kama natakiwa kuwa pasta au mchungaji hyo SITOWEZA KABISA.

BUT I PROMISED nitawapenda watu sana sitawafanyia mambo mabaya wala kuwaonea au kuwadhulum wala kuwakashfu nitajitahid sana coz kweli wanafanana na Mungu.
 
Next time nitawaambia balaa lingne ila sio hili la mambo ya ajabu ni mkasa ulionikuta kweny nyumba za kupanga ambapo ilitokea kila mpangaji wa kike (wake za watu) walikuwa wanataka nilale nao yan wote kila mtu alikuwa anakuja kwa time yake ilikuwa mwaka 2017.
 
Kaka kuna mahali niliandika wakati nakaribia kabsa kufa kilikuja kivuli upande wangu wa kiume kikaniambia nitamke maneno haya "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTOKUFA UTAISHI"
Nimekuelewa kabisa Mkuu ila hii kauli umeirudia tena kwamba " sema hivi Mungu aliumba Mungu Mtu- huyo Mungu mtu ndiyo nahitaji kujua ni nani na kwanini Mungu aumbe Mungu mtu?
 
Mkuu ata mm huwa nilijiuliza sana mpaka nimewafata mapasta wengi nao majibu ni kuwa mungu mtu ni yesu, kwamba ni Mungu ndani ya mwili wa binadam ila hakuwa binadam japo alikuwa na sifa karib zote za binadam. Ila ile sauti inanichanganya mpaka leo siielew kabsa
 
Ningeomba kama kuna watu wanajua maandiko ya kale bible, quran na vingne wanisaidie kupata uelewa zaid kwa hii sauti sijapata majibu ya kueleweka kabsa "SEMA HIVI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE HUTAKUFA "na kweli baada ya kurudia asee Kifo kikaniachia nikarudi tena duniani yan mm leo naishi kwasababu ya hii kauli huwa nikikumbuka tu machozi yananitoka ata nikiwa mbele za watu. Ata ninavyoandika hii kauli naskia uchungu sana na machozi lazma yanitoke.
 
Mungu mtu ni binadamu..

Mungu ni muumbaji mkuu,alivyoumba binadamu alimpa nguvu ya kuumba maisha yake vile atakayo

Hivyo Mungu mtu ni wewe sababu Maisha yako yote umeyaumba kwa nguvu iliyopo ndani Yako ambayo Mungu aliiiweka ikusaidie

Kifo kilivyokuja uligoma kukiumba hivyo kikashindwa kutimia..

Ikiwa Mungu ni muumbaji na wewe unaweza kuumba basi wewe ni Mungu sababu ni muumbaji na mtu sababu ni binadamu

Hivyo wewe ndo Mungu mtu..

Hakitokei kitu bila kibali chakutokea kutoka kwako hence You are a God in human form.
.yesu alikuwa mfano hai wa Mungu mtu maana alijua kwamba ana nguvu ndani yake ya uumbaji ndo mana tunasema Yesu ni Mungu..Yesu alijua ana nguvu z kimungu ndani yake na alikuja kudhiilisha kwamba mwanadamu ana nguvu kubwaa

Yesu mwenyewe alisema haya ninayo fanya nyie mnaweza kufanya zaidi ya haya ila mkiamini..ile ilikuwa ni lugha fumbo..Kama tunasema yesu Mungu,na yesu alikiri sisi tunaweZA kufanya makubwa kuzidi aliyofanya yeye?Je sisi mo wakina Nani?kumbuka tumeumbwankwa mfano wa Mungu

Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake kwa lugha nyepesi aliumba binadamu na uwezo wa kimungu yaani vimungu vidogo vidogo..

Nadhani unaelewa maana ya mfano..
 
Geto nilikuwa naishi na mpenz wangu ambae alikuwa mwaka wa kwanza.

Nimeishia kusoma hapo kwenye hiyo sentensi baada ya kugundua ni stori ya mtu mpumbavu. Uko second year umeoa mwanafunzi mwenzako? Kijana wa first year siku hizi ni miaka 19 hadi 20. Bado mdogo sana kuchanganya shule na kuoa.
 
Dah Mkuu umenielewesha vzuri sana sana nahis sasa umeniweka kwenye mwanga kabsa. Thanks very much!
 
Dah
Geto nilikuwa naishi na mpenz wangu ambae alikuwa mwaka wa kwanza.

Nimeishia kusoma hapo kwenye hiyo sentensi baada ya kugundua ni stori ya mtu mpumbavu. Uko second year umeoa mwanafunzi mwenzako? Kijana wa first year siku hizi ni miaka 19 hadi 20. Bado mdogo sana kuchanganya shule na kuoa.
Kaka sema sijui ulisoma elimu ya chuo miaka gani ila wanafunz wengi wameoana kwa muda hasa miaka hii. Fanya uchunguzi
 
Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT).

Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata majibu ya maswali mengi sana. Sitotumia majina yote halisi ili kuficha identity yangu.

Story yangu ipo katika mtiririko ufuatao
1. Mungu alivyokataa kifo changu 2018
2. Nilivyoona kitu cha ajabu juu mawinguni
3. Na mengneyo ya ajabu ajabu mengi
Sitoandika vyote nitafupisha tu lengo ni message basi. Kisa cha kwanza kilinitokea mwaka huo wa 2018 mwezi march. Nakumbuka nilikuwa mwaka wa pili semista ya pili na tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semista ili tuingie mwaka wa tatu.

Nikiwa nimefanya mtihani mmoja tu na mwngne wa pili nilishindwa kumaliza kwasababu nilipata homa kali na dam kuanza kutoka puani nilimwita msimamizi wa mtihan na kuona hali yangu akaniambia kwa muda uliofanya mtihani sis tunachukulia umeshamaliza so tunakuruhusu utoke. Basi nilitoka nikiwa naumwa sana nilielekea geto langu maeneo ya mabibo.

Geto nilikuwa naishi na mpenz wangu ambae alikuwa mwaka wa kwanza. Baada ya kufika nilala na kuzidiwa hivyo mpenz wangu akafanya juhudi akanipeleka hospitali. Nikafanyiwa vipimo ila ni malaria na typhoid ndo vilionekana nikapewa dawa nikaruhusiwa kuondoka. Kufika geto usiku wake nilizidiwa sana nikarudishwa tena hospital na kulazwa mpaka asubh. Nikaruhusiwa tena kuondoka, mchana wake hali ikawa mbaya nikarudishwa tena hospitali sasa nikafanyiwa uchunguzi vzur ila majib ni yale yale.

Nilikaa pale hospital kama siku mbili nikaruhusiwa kuondoka ile nimefika tu sijakaa sawa hali ikawa tete tena nikabadilishiwa hospital nikapelekwa ya private ni kubwa kdg nikapimwa nikaambiwa habari ile ile. Basi ikabd nirudishwe kwenye ile hospital ya mwanzo ili waendelee kuimonitor hali yangu.

Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa nne yan sitokaa nisahau hii siku, wakati nikiwa nimelala na nimezidiwa sana naita hamn anaeniskia ghafla nikajikuta kwenye mazingira ambayo ni strange sanaa, nikaona kitu kama kivuli kimekuja upande wangu wa kushoto ila sikuona sura kikawa kinanishawishi sana kwamba nisiogope kufa mbona wengi wamekufa, nikaanza kuona watu waliokufa muda mrefu yan ananiambia usiogope mbona flan alikufa mbona na flan na huyu na yule yan alinishawishi hadi nikakubali kufa nikaridhika kabisa acha nife sasa basipo kinyongo au kuona nadhulumiwa.

Baada ya kukubali tu kufa nikaanza kuhisi ganzi na baridi kali sana kuanzia kwenye vidole vya miguu ile hali ikaanza kupanda sasa ikafika hadi miguuni naiskia tu inapanda na ikipita nakuwa siskii tena kitu katika sehemu hyo. Ilipokaribia kupita tumboni ile ije kifuani, mm naiskia tu na nilikuwa na huzuni sana kwan nilikuwa namwona mama yangu namwita ata haniskii nikasema atalia sana akiskia nimekufa yan nikawa namuwaza mama yangu tu na kumwonea huruma sana atakapopata taarifa kwamba nimefariki. (Mawazo yote haya yalikuwa within seconds sio ata dakika) basi ile hali ilipokaribia nahis sehem ya moyo kikaja kivuli upande wangu wa kuume kwa haraka sana kikaniambia sema ivi "SITAKUFA NITAISHI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE SITAKUFA. nikaanza kuwaza before sijasema, kwanza kabsa mm habari ya kanisa au biblia sijui ata ukiniambia nitaje ata verse moja kwa usahihi in the bible siwezi ata quran sijui imendikwa nin uko ndani japo naionaga tu.

Nikasema huyu Mungu mtu atakuwa ni nani? Nikasema hyu huenda akawa ni Yesu maana ndo naskiaga ana contradiction sana mara mungu mara mwana wa Mungu ata sielewi . (kumbuka haya pia yanafanyika within seconds) basi nikawa narudia kwa bidii yote nikiwa namrefer Yesu sasa ila sikuwa na uhakika nikawa nasema sitokufa nitaishi, Mungu aliumba Mungu mtu kupitia yeye nitaishi baada ya kuanza kurudia hayo maneno kweli ile hali ikastop ghafla ikaanza kurudi chini Oh nikawa nasema sasa kwa bidii mpaka ile barid na ganz kali ikaishilia vidoleni ilipoanzia, ghafla nikaanza kusikia sauti za watu, nikaona mwanga, nikamwona daktari anaongea na marafik zangu pale ndan kumbe ningekufa ata wao hawajui.

Nikawa nimerudi kuwa hai tena maana nilikuwa sehem nyingine kabsa nashindwa ata kuielezea. Kuna vitu viwili nilijifunza kupitia hili tukio moja: kabla mtu hajafa lazma makubaliano yafanyike (na malaika mtoa roho) hii nimeconfirm kabsa(Thanks God) Pili kuna uwezekano mkubwa kipindi mtu anakufa ubongo kikawa kiungo cha mwisho kufa na ndio maana ata mm nimeweza kukumbuka kila kitu japo sio vyote.

Baada ya kupata nafuu pale hospital niliamua kwenda home kabsa hvyo nikaenda chuo kuandika barua ya kuomba kufanya special mitihan mitatu ambayo nilikuwa sijafanya kabsa. Nikiwa nyumbani sikumwambia mtu yeyote what happened nikawa nawaza huyu Mungu mtu ni yesu kweli?? Au nikasema potelea mbali mm mambo ya din za wazungu sitaki.

Siku moja ilikuwa jumamosi nikasema kwann leo nisiende ukumbi x kuskiliza habari za Mungu mtu? Nilikuwa na nauli tu ila sadaka sikuwa nayo nikasema acha niende ila nikiwa kwenye gari nikaanza kujilaum uku sasa naenda wapii? Kwanza sina ata sadaka na hawa ni sadaka tu wanatakaga na mm ni mwanaume apa naenda kuaibika watu adi watoto wanatoa alaf mm naonekana kama sijielewi.

Nikawa na hasira sana nikamwambia wew Kama kweli ni Mungu mtu mfanye huyu konda asahau kuchukua hii nauli ili nikaitoe kama sadaka, nilikuwa nimekaa siti ya mbele natazamana na konda yeye amekaa kile kiti cha wanafunzi basi kwel jamaa akaamka akaaza kuchukua nauli cha ajabu akaniruka akachukua kwa niliekuwa nimekaa nae adi akamaliza gari zima akarud kukaa hakuniuliza nauli basi nikashuka na kweli nikaenda kuitoa sadaka.

Nilivyoshuka nikawa bado siamin nikasema ah huenda amejisahau tu. Basi kufika kwenye ule ukumb wa maombi pale getin nikaona wale wapokeaji wagen wameshika mapembe ya Ngombe alafu umo ndan kuna mafuta wanawapaka watu kweny paji la uso then unaingia, kiukwel mm sikupenda ile hali but nilikubali nikazama ndan mle ndani kama kawaida watu walikuwa wanaimba tu mara vitoto vinalialia tu mchungaji alianza mahubir yake kweli yalinilenga mim kabsa ila nikapotezea nikaanza kuwaza nitachomoaje ile sup (matokeo yalitoka na mm lile somo ambalo nilifanya nusu mtihani nilipata sup) sasa mweny hilo somo la sup tunamjua vzur kabsa na alisema ukipata sup somo langu umekwenda na maji mwaka wa tatu utauskia tu.

Nikiwa pale ukumbini nikamwambia kama kweli kweli ni wew naomba ile sup ya yule mwamba nikaifute na masomo mengne pia nifaulu niweze kwenda mwaka wa mwisho. Baada ya maombi nilirud home ile nafika tu nilichukua kidaftari kdg nikaanza kuandika vitu nilivyokuwa navigugo kwenye simu yangu ila vilihusiana na ule mtihan.

Muda wa kwenda kufanya special na sup ulifika nikarud dar ilikuwa mwez wa Tisa mwaka 2018 . But nilivyofika tu nikaanza kuumwa sana sikuweza kabsa kujisomea kwaajili ya sup na zile special, rafika yangu mmoja akaniambia Kelly rudi tu nyumbani hii ngoma hutoboi nenda tena chuo kaandike barua ya kuomba kupostipone mwaka maana unaweza ukashindwa kuchomoa hizo special na sup ya mwamba ukadisko.

Nilikuwa nalala tu kitandani nakula nimelala basi akaniambia kuwa wameweka kambi chuo na wanalala huko hadi na mashuka wanayo nikasema doh!

Siku ya ile sup ikafika nakumbuka ilikuwa ni saa kumi na moja ilipofika saa saba nilibaki peke yangu wengne wakawa wameenda chuo kwaajili ya pepa wakanisih nisiende kufanya huo mtihan, ilipofika saa tisa nikasema hapana! Naenda na mm kufanya pepa, nilipofika chuo kweli niliwaona marafik zangu akiwemo Jamaa yangu nilikuwa namwita Magufuli akaniambia ah Kelly ulikuwa wap muda wote tunalala uku chuo wew huonekan nikamwambia nilikuwa naumwa basi na yy akanisihi nisifanye lile pepa nifanye mpango nipate postpmnt. Nikasema No!

Punde si punde muda wa pepa ulifika tukapangwa kiroho mbaya sana ni ngum kuona ata kama mwenzako ana calculator. Inshort walisup robo tatu ya darasa. Baada ya kusambaziwa mitihan kufungua maswali ivi lah haula! Yale maswali niliyoandika siku nilitoka maombi yale kule kwa ule ukumbi yapo kama yalivyo yan nakumbuka nilindika maswali maane na yote niliyakuta kama yalivyo na yalikuwa na marks 20 kila moja asee nilifurahi sana.

Niliandika kama nilivyoonyeshwa na baada ya kutoka kwa pepa kila mtu alishika njia yake hakuna aliesemeshana na mwenzake.

Baada ya kutoka kweny pepa nilimshukuru sana Mungu Mtu na nikawa siamini kabsa kama ni mimi natokewa na hivi vitu. Basi nikamwambia tena still i don't believe kama kwel ni ww nikamwambia kama kwel ni wew basi hii special moja ni hesabu na hesabu sio mzima sana nikamwambia wew fanya vyovyote huu mtihan niufalu ndo ntaamin kwel ni wew. basi nilivyofika geto nikaskia vijana wanalalama sana na kumtukana yule lecturer matusi mazito mno mm kimyaa! day iliyokuwa inafuata ni hyo ya pepa la hesabu sasa usiku wake nikasikia kitu tu kimeniambia "go through all examples only" sikufanya ajizi nikaendana na maelekezo, kesho naenda kwa pepa lah haula!

Pepa yotee ni examples kuanzia alipoanza mpaka alipoishia na hakubadili ata namba doh nikatusua sana asee. Basi nikamshukuru sana sana Mungu Mtu basi nikasepa. Baada ya kumaliza sup na special nilirudi home kusubiri matokeo na nilifaulu kweli kweli.

Please usikose next part! See you soon
Kwanini watoto waMungu huwa mnakuwa waongo kiasi hiki?

Huu ni uongo wa kiwango cha lami.
Ni kutafuta kujifariji na attentiin tu kwa minajili ya kumtukuza ama kumtangaza mhusika wa habari tata aiywaye Yesu.
Sielew kwanini mtu unaweza kufkiria kufanya haya yote.

This is bullshit man, farijianeni na wenzio wanaomuogooa nyoka anayeongea.

Tubadilike jamani, huu si mtindo mzuri wa Maisha.

♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️
 
Inaendelea...

Hello habari, naam kipande kinachofata ni baada ya matokeo kutoka nikafaulu na kuendelea mwaka wa tatu. Kwenye lile somo la yule lecturer mtata tulichomoa sup watu kumi na moja tu kat ya 195 wengne walirud wakaendelea na utaratibu mwngne.

Basi masomo yalianza kwa speed sana na mm nikawa napiga fresh hamn noma ,katika hiki kipindi nilianza kupata hela sana sana mpaka nikanenepa na kuwa na uzito wa kilo 84.5 kutoka kilo 57 nikasahau kabisa matatizo niliyopitia.

Hela nilizipata pale ninaposaini tu hela ya boom na field inakuja mara mbili mfano wengne wakipata lak saba mm nachukua milion na laki nne na vichench ,wakisain lak tano mm nachukua milioni na chench juu na ilikuwa muda mwngne nikizitoa zote nikienda bank kuangalia naweza kuta kuna lak mpaka laki mbili na sijui zimetoka wap maana mm nilikuwa nikitoa hela natoa zote siachi ata mia.

Maisha yalikuwa bomba sana. Siku moja nikawa nimetoka chuo mida ya saa kumi na mbili iv jion nikaingia geto rafik wangu wa kike alikuwa bado anavipind hakuwepo geto, nikasema ngoja nilale kdg nikalala na mgongo naangalia juu mara ghafla nikaona hali siyo ya kawaida nikawa naona mawingu yanaenda kasi ya ajabu sana, upepo mkali yan ni vurugu tupu naona mawingu yanatoka upande huu yanakuja uku na ya uku yanaenda kule (sijui nielezaje apa) baada ya ile vurumai kutulia kabsa pakapoaa just in seconds niliona MKONO MKUBWA SANA ulioanzia kule mawingu yalipo mpaka pale nilipo yan nauona huu hapa!!

Katika ule mkono nilibahatika kuona kucha za vidole vitatu yaan hivi vya mwisho doh zile kucha zilikuwa nzuri mno! Yan nzuri sana sana! Zilikuwa za rang kama white cream ivi nzuri mno! (nilijaribu kutafuta madini yote kwa kugugo na mengne kwa macho hayafikii uzuri wa zile kucha even diamond ata gold hazikuti) ule mkono baadae ukarudi juu kwa haraka sana ,kumbuka haukukaa ata dakika yan in seconds tu ukarudi juu.

Baada ya ilo tukio niliruka kitandani natafuta pa kutokea nakuta napanda ukuta tu nimeshasahau mlango uko wap, jasho mwili mzima mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi mpaka nashindwa kupumua vizuri nilijua ndo nakufa sasa.

Baada ya hapo hali ilikaa sawa ata rafiki yangu alipokuja alinikuta na mawazo sana ila sikumuambia kilichotokea mpaka leo hajawai kujua kwa mara ya kwanza ndo naandika apa. Thanks all
Matukio mengne ya ajabu ajabu nakumbuka siku moja nikiwa advance ,siku moja tukiwa preparation usiku kama saa tatu ivi mm na mwenzangu jamaa fln korofi sana tulikuwa tunamtukana head boy na vice wake matusi yale ya viungo vya wazazi wao (vya kike) na tulikuwa tunasoma nao class moja na walikuwepo ndani tuliwatukana sana.

Mim nimesimama kati kat ya darasa jamaa yeye yuko mbele yan tunawagesha na matusi na vitisho kumbe muda huo makamu mkuu wa shule alikuwa dirishan kwa nyuma anaangalia na kusikiliza yale matusi kwa viongoz wale na vitisho, ghafl nikamwona jamaa yule niliekuwa natukana nae kainamisha kichwa chini nikajua labda kachoka au anafikiria matusi mengne kumbe ameshamwona makam wa shule ila mm nilikuwa sijamwona kwahyo nilikuwa naendelea ah kuja kushtuka naona shat la vibox vya brown dirishan nikajua tayar mzee mambo yameisha maana nilijua tu ni makam maana shart lile nalijua ni lake.

Alivyoona tumeshamwona aliingia class kwa hasira sana akiwa anafoka amekunja ndita zile alimshika jamaa kama kuku vile piga vibao sana kamshika roba katoka nae ila mm hakunisemesha nikabak nimepigwa na mshangao natetemeka tu nikaona viongoz wote wakaamka sasa hp kanifata pale kweny desk akaniambia wew mganga e haujaonekana au? Nikabak kimya akaniambia ngoja sasa nikushughulikie akatoka nje.

Mpka prpo inaisha saa nne na nusu sijaitwa ila jamaa muda natoka nikamwona amechakaa sana na kapiga magoti mbele ya ofis na alikaa mpaka saa sita usiku kesho yake asubh jamaa alifukuzwa shule mim nikasalimika.

Uongo wenye dhamana ya Kiungu.

Hivi brother samahan haujawahi kuvuta bhangi?

Are you sure this was not hallucination?
 
Mungu mtu Huyo Ni Yesu Kristo

Au EMMANUEL yaani MUNGU PAMOJA NASI

Soma Maandiko utaelewa Huyo Mungu mtu au Mungu katika umbo la binadamu Ni Yesu

Soma Waebrania sura ya kwanza Yote
 
Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT).

Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata majibu ya maswali mengi sana. Sitotumia majina yote halisi ili kuficha identity yangu.

Story yangu ipo katika mtiririko ufuatao
1. Mungu alivyokataa kifo changu 2018
2. Nilivyoona kitu cha ajabu juu mawinguni
3. Na mengneyo ya ajabu ajabu mengi
Sitoandika vyote nitafupisha tu lengo ni message basi. Kisa cha kwanza kilinitokea mwaka huo wa 2018 mwezi march. Nakumbuka nilikuwa mwaka wa pili semista ya pili na tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semista ili tuingie mwaka wa tatu.

Nikiwa nimefanya mtihani mmoja tu na mwngne wa pili nilishindwa kumaliza kwasababu nilipata homa kali na dam kuanza kutoka puani nilimwita msimamizi wa mtihan na kuona hali yangu akaniambia kwa muda uliofanya mtihani sis tunachukulia umeshamaliza so tunakuruhusu utoke. Basi nilitoka nikiwa naumwa sana nilielekea geto langu maeneo ya mabibo.

Geto nilikuwa naishi na mpenz wangu ambae alikuwa mwaka wa kwanza. Baada ya kufika nilala na kuzidiwa hivyo mpenz wangu akafanya juhudi akanipeleka hospitali. Nikafanyiwa vipimo ila ni malaria na typhoid ndo vilionekana nikapewa dawa nikaruhusiwa kuondoka. Kufika geto usiku wake nilizidiwa sana nikarudishwa tena hospital na kulazwa mpaka asubh. Nikaruhusiwa tena kuondoka, mchana wake hali ikawa mbaya nikarudishwa tena hospitali sasa nikafanyiwa uchunguzi vzur ila majib ni yale yale.

Nilikaa pale hospital kama siku mbili nikaruhusiwa kuondoka ile nimefika tu sijakaa sawa hali ikawa tete tena nikabadilishiwa hospital nikapelekwa ya private ni kubwa kdg nikapimwa nikaambiwa habari ile ile. Basi ikabd nirudishwe kwenye ile hospital ya mwanzo ili waendelee kuimonitor hali yangu.

Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa nne yan sitokaa nisahau hii siku, wakati nikiwa nimelala na nimezidiwa sana naita hamn anaeniskia ghafla nikajikuta kwenye mazingira ambayo ni strange sanaa, nikaona kitu kama kivuli kimekuja upande wangu wa kushoto ila sikuona sura kikawa kinanishawishi sana kwamba nisiogope kufa mbona wengi wamekufa, nikaanza kuona watu waliokufa muda mrefu yan ananiambia usiogope mbona flan alikufa mbona na flan na huyu na yule yan alinishawishi hadi nikakubali kufa nikaridhika kabisa acha nife sasa basipo kinyongo au kuona nadhulumiwa.

Baada ya kukubali tu kufa nikaanza kuhisi ganzi na baridi kali sana kuanzia kwenye vidole vya miguu ile hali ikaanza kupanda sasa ikafika hadi miguuni naiskia tu inapanda na ikipita nakuwa siskii tena kitu katika sehemu hyo. Ilipokaribia kupita tumboni ile ije kifuani, mm naiskia tu na nilikuwa na huzuni sana kwan nilikuwa namwona mama yangu namwita ata haniskii nikasema atalia sana akiskia nimekufa yan nikawa namuwaza mama yangu tu na kumwonea huruma sana atakapopata taarifa kwamba nimefariki. (Mawazo yote haya yalikuwa within seconds sio ata dakika) basi ile hali ilipokaribia nahis sehem ya moyo kikaja kivuli upande wangu wa kuume kwa haraka sana kikaniambia sema ivi "SITAKUFA NITAISHI MUNGU ALIUMBA MUNGU MTU KUPITIA YEYE SITAKUFA. nikaanza kuwaza before sijasema, kwanza kabsa mm habari ya kanisa au biblia sijui ata ukiniambia nitaje ata verse moja kwa usahihi in the bible siwezi ata quran sijui imendikwa nin uko ndani japo naionaga tu.

Nikasema huyu Mungu mtu atakuwa ni nani? Nikasema hyu huenda akawa ni Yesu maana ndo naskiaga ana contradiction sana mara mungu mara mwana wa Mungu ata sielewi . (kumbuka haya pia yanafanyika within seconds) basi nikawa narudia kwa bidii yote nikiwa namrefer Yesu sasa ila sikuwa na uhakika nikawa nasema sitokufa nitaishi, Mungu aliumba Mungu mtu kupitia yeye nitaishi baada ya kuanza kurudia hayo maneno kweli ile hali ikastop ghafla ikaanza kurudi chini Oh nikawa nasema sasa kwa bidii mpaka ile barid na ganz kali ikaishilia vidoleni ilipoanzia, ghafla nikaanza kusikia sauti za watu, nikaona mwanga, nikamwona daktari anaongea na marafik zangu pale ndan kumbe ningekufa ata wao hawajui.

Nikawa nimerudi kuwa hai tena maana nilikuwa sehem nyingine kabsa nashindwa ata kuielezea. Kuna vitu viwili nilijifunza kupitia hili tukio moja: kabla mtu hajafa lazma makubaliano yafanyike (na malaika mtoa roho) hii nimeconfirm kabsa(Thanks God) Pili kuna uwezekano mkubwa kipindi mtu anakufa ubongo kikawa kiungo cha mwisho kufa na ndio maana ata mm nimeweza kukumbuka kila kitu japo sio vyote.

Baada ya kupata nafuu pale hospital niliamua kwenda home kabsa hvyo nikaenda chuo kuandika barua ya kuomba kufanya special mitihan mitatu ambayo nilikuwa sijafanya kabsa. Nikiwa nyumbani sikumwambia mtu yeyote what happened nikawa nawaza huyu Mungu mtu ni yesu kweli?? Au nikasema potelea mbali mm mambo ya din za wazungu sitaki.

Siku moja ilikuwa jumamosi nikasema kwann leo nisiende ukumbi x kuskiliza habari za Mungu mtu? Nilikuwa na nauli tu ila sadaka sikuwa nayo nikasema acha niende ila nikiwa kwenye gari nikaanza kujilaum uku sasa naenda wapii? Kwanza sina ata sadaka na hawa ni sadaka tu wanatakaga na mm ni mwanaume apa naenda kuaibika watu adi watoto wanatoa alaf mm naonekana kama sijielewi.

Nikawa na hasira sana nikamwambia wew Kama kweli ni Mungu mtu mfanye huyu konda asahau kuchukua hii nauli ili nikaitoe kama sadaka, nilikuwa nimekaa siti ya mbele natazamana na konda yeye amekaa kile kiti cha wanafunzi basi kwel jamaa akaamka akaaza kuchukua nauli cha ajabu akaniruka akachukua kwa niliekuwa nimekaa nae adi akamaliza gari zima akarud kukaa hakuniuliza nauli basi nikashuka na kweli nikaenda kuitoa sadaka.

Nilivyoshuka nikawa bado siamin nikasema ah huenda amejisahau tu. Basi kufika kwenye ule ukumb wa maombi pale getin nikaona wale wapokeaji wagen wameshika mapembe ya Ngombe alafu umo ndan kuna mafuta wanawapaka watu kweny paji la uso then unaingia, kiukwel mm sikupenda ile hali but nilikubali nikazama ndan mle ndani kama kawaida watu walikuwa wanaimba tu mara vitoto vinalialia tu mchungaji alianza mahubir yake kweli yalinilenga mim kabsa ila nikapotezea nikaanza kuwaza nitachomoaje ile sup (matokeo yalitoka na mm lile somo ambalo nilifanya nusu mtihani nilipata sup) sasa mweny hilo somo la sup tunamjua vzur kabsa na alisema ukipata sup somo langu umekwenda na maji mwaka wa tatu utauskia tu.

Nikiwa pale ukumbini nikamwambia kama kweli kweli ni wew naomba ile sup ya yule mwamba nikaifute na masomo mengne pia nifaulu niweze kwenda mwaka wa mwisho. Baada ya maombi nilirud home ile nafika tu nilichukua kidaftari kdg nikaanza kuandika vitu nilivyokuwa navigugo kwenye simu yangu ila vilihusiana na ule mtihan.

Muda wa kwenda kufanya special na sup ulifika nikarud dar ilikuwa mwez wa Tisa mwaka 2018 . But nilivyofika tu nikaanza kuumwa sana sikuweza kabsa kujisomea kwaajili ya sup na zile special, rafika yangu mmoja akaniambia Kelly rudi tu nyumbani hii ngoma hutoboi nenda tena chuo kaandike barua ya kuomba kupostipone mwaka maana unaweza ukashindwa kuchomoa hizo special na sup ya mwamba ukadisko.

Nilikuwa nalala tu kitandani nakula nimelala basi akaniambia kuwa wameweka kambi chuo na wanalala huko hadi na mashuka wanayo nikasema doh!

Siku ya ile sup ikafika nakumbuka ilikuwa ni saa kumi na moja ilipofika saa saba nilibaki peke yangu wengne wakawa wameenda chuo kwaajili ya pepa wakanisih nisiende kufanya huo mtihan, ilipofika saa tisa nikasema hapana! Naenda na mm kufanya pepa, nilipofika chuo kweli niliwaona marafik zangu akiwemo Jamaa yangu nilikuwa namwita Magufuli akaniambia ah Kelly ulikuwa wap muda wote tunalala uku chuo wew huonekan nikamwambia nilikuwa naumwa basi na yy akanisihi nisifanye lile pepa nifanye mpango nipate postpmnt. Nikasema No!

Punde si punde muda wa pepa ulifika tukapangwa kiroho mbaya sana ni ngum kuona ata kama mwenzako ana calculator. Inshort walisup robo tatu ya darasa. Baada ya kusambaziwa mitihan kufungua maswali ivi lah haula! Yale maswali niliyoandika siku nilitoka maombi yale kule kwa ule ukumbi yapo kama yalivyo yan nakumbuka nilindika maswali maane na yote niliyakuta kama yalivyo na yalikuwa na marks 20 kila moja asee nilifurahi sana.

Niliandika kama nilivyoonyeshwa na baada ya kutoka kwa pepa kila mtu alishika njia yake hakuna aliesemeshana na mwenzake.

Baada ya kutoka kweny pepa nilimshukuru sana Mungu Mtu na nikawa siamini kabsa kama ni mimi natokewa na hivi vitu. Basi nikamwambia tena still i don't believe kama kwel ni ww nikamwambia kama kwel ni wew basi hii special moja ni hesabu na hesabu sio mzima sana nikamwambia wew fanya vyovyote huu mtihan niufalu ndo ntaamin kwel ni wew. basi nilivyofika geto nikaskia vijana wanalalama sana na kumtukana yule lecturer matusi mazito mno mm kimyaa! day iliyokuwa inafuata ni hyo ya pepa la hesabu sasa usiku wake nikasikia kitu tu kimeniambia "go through all examples only" sikufanya ajizi nikaendana na maelekezo, kesho naenda kwa pepa lah haula!

Pepa yotee ni examples kuanzia alipoanza mpaka alipoishia na hakubadili ata namba doh nikatusua sana asee. Basi nikamshukuru sana sana Mungu Mtu basi nikasepa. Baada ya kumaliza sup na special nilirudi home kusubiri matokeo na nilifaulu kweli kweli.

Please usikose next part! See you soon
Ila we kweli kanisani mgeni! Mungu mtu ni nani sasa?
 
Akazaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,akazaliwa na mama bikira maria, akawa mtu,akakaa kwetu,,,,,,,
 
Mungu anakupenda amekutafuta Sana ila inaonekana umeamua kumkaidi

Huyo Mungu mtu Ni Yesu Kristo

Waebrania 1

Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;
4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.
5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?
6 Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.
7 Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
8 Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
10 Na tena, Wewe,Bwana,hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;
11 Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
12 Na kama mavazi utazizinga, nazo zitabadilika; Lakini wewe u yeye yule, Na miaka yako haitakoma.
13 Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?
14 Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?
 
Back
Top Bottom