Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

Nimesoma maelezo yako unasema hutaki kusikia habari za kanisani, pia Kama Mungu anakuita uwe pasta hutaki kusikia


Hujajifunza tu jinsi alivyokuokoa na Mauti?

Kwanini Pia unaendelea kumkufuru Roho mtakatifu na kumfukuzia mbali?

Dhambi ya kumkufuru Roho mtakatifu haisameheki na ndio unaitenda , Roho anaposema na kukusihi halafu unamkaidi unakuwa unamfukuza taratibu mwisho hutapata Tena Sauti yake ya kukusihi Uache dhambi, ujutie dhambi, au kukujulisha yajayo ,mwisho UTAFIA KWENYE DHAMBI


Wapo wengi waliosemeshwa Kama wewe mfano Yeremia ,Samweli, n.k


Nikionacho Mimi Mungu Kuna mission alitaka akutumie ila unamfungia milango


Mungu alitaka umjue kwa njia hiyo lakini inaonesha bado unamkaidi , huna Tena Cha kusema hukupata neema yakumjua ,Mungu ana njia maelfu elfu ya kutaka mwanadamu amtambue
 
Watakupinga, watakuponda na kukukashfu ila ni kweli mauti ipo na ulikwengu wa roho upo. Yesu ni kweli na halisi na wala sio hadithi. Binafsi nina ushuhuda wa nilivyonusurika Mauti tarehe 6/6/201..... pale Hospitali ya Mkoa wa Katavi kule karibu na Kanisa la RC Mpanda mjini sijui sasa ni Hospitali ya Rufaa sijui. Ujuaji na elimu dunia yangu haikunisaidia pale kamba za mauti kunishika. Nakumbuka jioni ile ya saa 12 na ndio nilipojua na kuacha usela mavi wa kusema hakuna Mungu.

Haya mambo sema sana, jifanye mjuaji ila omba Mungu yasikukute na ndio maana binafsi nikiona vijana wanasema hakuna Mungu na blah blah nyingine huwa nawaangalia kwani nilikuwa huko na Neema ya Mungu tu iliniokoa na toka kipindi hiko niliweka Bsc na Msc zangu pembeni na kumuhubiri huyo Yesu mitaani, masokoni, vituo vya magari na vilabuni maana hazikuwa na msaada kwangu ila niliposema "Sifi nitaishi ili kuyasimulia matendo makuu ya Mungu". "Kwa Jina la Yesu nakataa hii Mauti iliyonishika". Nitaushuhudia humu huo ushuhuda wangu nikitulia. Ningelala mauti toka tarehe ile na sasa nisingekuwa na kumbukumbu tena duniani. Huwa nawaza sana tukio lile.
 
Yaan we@Kelly Allen una neema kubwa sana Mungu anakutafuta kiasi chote hicho lakini bado hutaki?aisee unakosea pakubwa saaaana,,wenzako tunatamani kusikia hata sauti yake lakini holaa,,jirekebishe ndugu yangu Okoka anza kumtumikia.
 
Huyo ndio YESU KRISTO ninaemuamini matendo yake ni makuu sana alikuwa nawewe kukutoa kwenye umauti na hakukuchoka kwenye majaribu uliyo mpitisha bado aliendelea kutenda nawe umeshuhudia live shukran kubwa sana kwake kutoka kwako ni kumpokea awe ndani yako na kwa hakika utapokea vingi zaidi hadi kushangaa

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…