Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mimi nauza Kangala tuKama alianza kuweka chai kikombe cha mwanaye ilikuwa sahihi kabosa kufunika kikombe chako kwa sababu za kiafya. Kwani wewe na mwanaye mlipata pata alama sawa kwenye vyeti vyenu? na mliomba kazi sehemu moja? Na siku ya usahili mlifanya kila kitu sawa sawa ? Ndugu yangu Muamini Mungu kuwa yeye ndiye mtoaji na wewe uko kwenye foleni, zamu yako ikifika utapokea
Ujinga gani tena.Acha ujinga, umeishakuwa mtu mzima.
AsanteAonavyo mtu moyoni mwake,ndivo alivo.
Ukiamini kitu, kitaambatana nawe.
Think positively.
Pole sana.
Yaani ufeli shule unaanza kusingizia watu. Ulikuwa hausomi tu ndugu yangu. Ungekuwa unasoma hata usingepata mda wa kuwaza ama kuandika vitu vya kijinga kama hiviNimejikuta usingizi unakata na kuruka kama mtoto.
Baada ya kumaliza fomu six miaka 2000 siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu asubuhi ili tupige stori. Mama yake akaandaa chai ilikuwa, Dar maeneo ya Yombo Kilakala...
Yaani ufeli shule unaanza kusingizia watu. Ulikuwa hausomi tu ndugu yangu. Ungekuwa unasoma hata usingepata mda wa kuwaza ama kuandika vitu vya kijinga kama hivi
Kwani kufeli shule ndio kufeli maisha. Nyota yangu inatakiwq iwake niwe na baa kuliko kuuza kangalaYaani ufeli shule unaanza kusingizia watu. Ulikuwa hausomi tu ndugu yangu. Ungekuwa unasoma hata usingepata mda wa kuwaza ama kuandika vitu vya kijinga kama hivi
Acha kekubehi biashara za wenzakoKangala unauzaje kwa lita?