Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Hili la kutojulikana humu jf mnalitumia vibaya sana
 
Inaendelea sehemu ya 11

Baada ya kuusoma ule ujumbe, niliuchana kisha nikautupa nikaondoka kuelekea assembly. Nilikaa mstarini, huku nikipanga tutakapotawanyika tu tuyaweke mambo sawa. Sikutaka ugomvi kabisa na yule binti nilimjua ni mtu anayeweza kuniweka kwenye kiganja chake na kunichezea atakavyo. Baada ya kutawanyishwa nilimfata, nikamuambia ujumbe wako nimeupata ila nahitaji tuongee. Hakuwa na shida aliniambia yeye anabaki kujisomea darasani kwa muda kama wa saa moja then ndio aende nyumbani, kama nina shida sana ninaweza kumsubiri amalize kusoma. Hili lilinishangaza kwani nilimfahamu Vumilia hakuwa mtu wa kusoma sana. Kwa hiyo nilijua moja kwa moja huyu mchawi alitaka kunipima tu, hana jipya lolote, au ni kiburi cha mauchawi yake ndio kinamuendesha kutaka kunikomoa.

Kwa kuwa nilikuwa na shida niliazimia kumsubiri, niliona lisaa limoja sio issue. Muda wote aliokuwa anasoma hakutaka kuongeleshwa kabis, anajidai ameconcetrate!

Maajabu ya karne!

Masaa hayasimami, muda si kitambo akawa ameshamaliza kusoma. Tukatoka darasani na kuanza kuelekea nyumbani. Njiani sikutaka kupoteza muda, nilianzisha mazungumzo.

"Ile karatasi yako vumilia sijaielewa kabisa inamaanisha nini"

Veronika alikaa kimya hakujibu chochote. Nilikaa na mimi kwa muda kisha nikamuuliza

"Sasa mbona haunijibu umekaa kimya"

Bado aliendelea kukaa kimya, Mwishowe nilichukizwa na ile hali hasira zikanishika kuona naongea na mtu halafu ananiletea nyodo kisa uchawi wake. Nikajikuta nikiropoka

"Acha dharau wewe, usitake kuniendesha kisa viuchawi vyako. Kama ulikuwa hutaki kuongea na mimi ungeniambia mapema nikaondoka zangu. Kuliko kukusubiri ili niongee na wewe, kumbe maskini nakumalizia nguvu za kuongea na misukule yako baadae"

Aisee Vumilia alinikata jicho hilo halafu akafungua mdomo wake. Kwa sababu nilikuwa na nimechukia hata sikuwaza sana.

"Ina maana mr the dragon mara hii umeshasahau wema wangu, hadi unaniita mchawi kisa huyo kidudumtu Sara"

Nilimuangalia nikokoswa cha kujibu!

"Si nakuuliza wewe, ambaye unaniita mchawi. Ina maana mara hii tayari umeshasahau wema wangu kweli. Hivi unajua nisingekuwa mimi ungekuwa aridhini sasa hivi"

"Umenikera nakuuliza halafu umekaa kimya" nilijitetea

"Ehee ulikuwa unasemaje sasa baba mwenye shida zake" alisema huku akibetua mdomo kwa dharau

"Ujumbe wako ulioniandikia sijaulewa"

"Hujaelewa nini kwani hujui kusoma"

"Nimeusoma lakini sijaelewa unamaanisha nini"

"Sikiliza mr the dragon usitake kujifanya mjanja sana. Mr the dragon najua unajua nakupenda na ndio maana nilikusaidia. Lakini malipo yake umeamua kumchukua Sara badala ya mimi, hivi unadhani mimi nitajisikiaje" aliongea Vumilia kwa ukali kidogo

"mimi sina mahusiano na Sara"

" Acha kunifanya mtoto mimi nimesikia mambo yenu yote. Na nina uhakika na ninachokiongea. Tafadhali ukae kimya tu kuliko kutaka kunidanganya. We subiri tutaona tu mwisho wake"

Nilikaa kimya kidogo nikiwaza nimwambie nini. Baada ya kufikiria sana nikaona niendelee kumkomalia kwamba mimi sina mahusiano na Sara ila nikajisemea kama atandelea kukomaa na analoliamini basi nimuombe msamaha.

Kupunguza story nyingi, Vumilia aliendelea kushikilia msimamo wake ikabidi nimuombe msamaha yaishe. Alinikubalia lakini akanipa sharti moja

"Leo usiku njoo geto kwangu ulale na mimi"

Mwanzoni nilitaka kukataa, lakini nikaona hapana. Mimi kama mwanaume ni udhaifu kupewa papuchi halafu niikatae. Niliridhia kwenda kulala kule geto kwake. Baada ya pale kila mtu alirudi getto kwake lakini akiwa na hamu na bashasha ya kumzagamua mwenzake.

Huwa nawashangaa sana wanawake wanaosema natafuta mwanaume asiye penda penda. Jamani leo nataka niwaweke wazi hapa duniani hakuna mwanaume lijari asiyependa wanawake hapa duniani. Nisome vizuri sijasema asiyependa "mwanamke" nimesema asiyependa "wanawake" . Labda mwanaume aamue kujizuia tu kwa ajili ya heshima ya mke au mpenzi wake ingawa kiuhalisia wanawake wengi anaokutana nao angetamani kuwachapa.

Sishangai kusikia kuna rais wa Marekani alizagamuana na kitoto ndani ya Ikulu. Wanaume pale tumerogwa udhaifu wetu wa kwanza ni wanawake. Ndio maana kwenye maandiko Samson, Daud, Suleiman na Amnoni pamoja na ujanja wao wote pale walikwama.

Hivyo huwezi amini pamoja na kwamba nilikuwa namuogopa Vumilia kimtindo. Lakini aliponiomba nikalale naye akili ilihama kabisa nikaanza kuwaza kumzagamua tu.

Ilipofika saa mbili usiku sikuchelewa nilipiga hatua hadi nikafika, mahali Vumilia alikuwa anakaa. Nilimkuta yupo anapika ugali Na dagaa, alipika tukamaliza tukala. Baada ya pale nilienda kujilaza kwenye godoro nikawa natafuta mbinu ya jinsi nitakavyoumuingiza kingi. Ile bado nawaza Vumilia alisogea hadi nilipokuwa nimelala, akawa amegusanisha mwili wake kwenye mwili wangu, halafu akasogeza mdomo wake hadi kwenye sikio langu. Kisha akaniambia kwa sauti ndogo iliyochanganyika na mahaba na kuhema kwa kasi kulikopelekewa na mapigo ya moyo kuongezeka.

"nikiwa kama mwanamke nayekupenda nakuhitaji vibaya mno usiku wa leo" alisema huku akirehema na kurembua macho kwa mbwembwe nyingi.

Nami sikuhitaji kufanya uzembe japo nilikuwa sijabobea, lakini niliamini lile ni somo rahisi lisilohitaji hata tuition. Nilinyoosha mkono wangu nikafunua nguo aliyokuwa amevaa nikaingiza mkono wangu wa kuume hadi kwenye tumbo lake, nikawa namtomasa kuanzia maeneo ya tumbo hadi kifuani, kana kwamba kuna kitu kilichopotea nilikuwa nakitafuta. Nilifurahi kuufanya ule mchezo na yeye alikuwa ametulia tuli bila kuongea chochote. Nikaanza kumgusa kwenye matunda mawili yaliyoko kifuani, nilizishika nipples taratibu na kuanza kuzichezea kwa zamu, mara nikasikia

"Siiiiii jamani mr the draregogn please mpenzi wangu"

Alishindwa kutamka jina langu vizuri na alichokiongea hakikuwa na maana yoyote lakini nilimuelewa alimaanisha nini. Niliongeza kumchezea hayo maeneo hadi na yeye akawa anagugugumia sauti za mahaba tu. Nilibadilisha muelekeo nikaanza kugeukia upande wa ikulu niijaribu kumfungua sketi aliyokuwa amevaa nikasikia akisema

"Please usiende huko" kwa sauti ya chini sana

Alikataa nisiende lakini hakunizuia mkono, hivyo nikajiongeza nikajua ni kelele za chura. Nilimfungua nikakakutana na nguo ya ndani aliyovaa, sikuwa na muda wa kuichunguza ni rangi gani. Niliingiza mkono hadi nikagusa mkono mahali penyewe.

Muda wote I wasn't talking anything, but my hands were talking with her body. Nilipomgusa tu kule akaanza kunivuta na kunikumbatia kwa nguvu. Nikawa nachezea ile sehemu kwa mbwembwe, japo sikuthubutu kuingiza vidole vyangu kule ndani. Sehemu zake zilikuwa laini sana tu manyoya nyoya kwa mbali na zilikuwa zimeanza kulowa.

Punde si punde wote tukajikuta tumebaki kama tulivyozaliwa, macho yangu yalikuwa yakihamaki kwenye ule mwili mzuri niliokuwa nautamani sana. Aliniangalia kwa macho ya aibu kisha akateremsha macho hadi ikulu yangu. Aliushika na kuanza kuutomasa tomasa kama mtu aliyeuhitaji sana mhogo wa jang'ombe. Sijisifii ila nimebarikiwa dhakari la haja. Akawa ananiangalia huku anatabasamu, nilimchanua miguu na kulizamisha ndani.

Kilichoendelea sitaki kukukuambia tena!kiufupi usiku ule tulifanya mengi na kuongea vingi.

Nilitoka pale adhuhuri nikarudi geto, nikajiandaa Na kuelekea shule. Shuleni siku hiyo kuna kitu kimoja nilikigundua Sara hakuwa na furaha kabisa kwa tokea asubuhi nilivyomuona. Nilijiuliza amepatwa na nini?

Niliona kulikuwa hakuna haja ya kujiuliza maswali mengi wakati mhusika mwenyewe alikuwepo. Nilimsogea kwenye dawati lake na kumuuliza kulikoni mrembo wa dunia. Alinijibu, nitakuambia baadae hapa kuna watu wengi. Nilisubiri hadi muda wa break ndipo tulipokutana na kufanya mazungumzo. Kiufupi aliniambia usiku uliopita kwake haukuwa na mzuri kabisa. Kuna mambo ya kishirikina yalitokea pale kwao nyakati za usiku.

"huwezi amini jana usiku sijala kabisa, jana nyumbani wakati wa kula kila tulipokuwa tunaanza kula taa inazimika (taa ya chemli). Tukiwasha inawaka, tukianza kula inazimika, hali iliendelea hivyo hadi tulipoazimia kula gizani. Cha ajabu tulipoanza kula tu gizani mimi kila nikianza kula nikishika tu chakula najikuta nachomwa na miiba mikononi"

"miiba ile kuna mtu alikuwa ankuchoma nayo au vipi" nilimuuliza

"hapana, yaani nikishika kile chakula badala ya kushika chakula, mimi nashika miiba, lakini wengine niliokuwa nakula nao tena kwenye sufuria moja wanakula kama kawaida. Niliwauliza wenzangu walishangaa sana wote tukagairi kula tukafanya tu maombi"

Alisema kwa huzuni huku akinionyesha baadhi ya vimajeraha vilivyotokana na kuchomwa na miiba. Nilishangaa kidogo nikajiuliza nini hiki tena. Niliwaza je yule atakuwa Vumilia lakini, nilipotezea yale mawazo kwa sababu nilijua Vumilia nililala naye geto ingewezekanaje aende kwao Sara vilevile nilikuwa na mashaka kama anapafahamu kwao na Sara tena sehemu ambayo ni kijiji kingine. Niliwaza inawezekana ni wanga wa huko kwao wameamua kuwatembelea. Ghafla nilimuona Vumilia akiwa anakuja sehemu ile tuliyokuwa tumesimama. Alifika na kumsalimia sara.

"Mambo sara"

"Poa"

"mbona unajibu kiunyonge au haujala jana"

"Hamna kawaida tu sio kila siku ni jumatatu"

"Mimi nikajua una njaa nikupe hata buku rafiki yangu ukanywe chai" aliongea kiutani huku akipiga hatua kuondoka sehemu ile.

Ingawa Sara hakuonyesha kushangazwa na kauli zile, alichukulia kama utani mwingine wa kawaida lakini kwa upande wangu nilianza kuhisi Vumilia anahusika na mchezo ule. Lakini sikuelewa ingewezekanaje afanye hicho kitendo wakati usiku kucha nilikuwa nae.

Nilikumbuka kisa fulani wakati tukiwa bado wadogo, kuna jamaa yangu alikuwa ananisimulia story ya jamaa alikuwa ameoa mke mchawi. Usiku mke anatoka kuwanga, halafu anamuachia fisi aenjoy naye kitandani huku yeye akiwa hajui chochote akidhani huwa anabayolojiana
mkewe. Hadi siku alipokuja kusanuliwa na mzee fulani kwamba mara nyingi huwa analala na fisi. Mzee yule akampa dawa ya kupaka machoni ikifika usiku ili ahakikishe. Kufika usiku jamaa alipaka kweli ile Dawa akashuhudia kweli mkewe humuachia fisi pale kitandani!

Niliwaza inawezekana na mimi jana nimejivinjari na fisi!

Nilichanganyikiwa!

Itaendelea, ndio tunaelekea mwisho wa story

I'm here to stay.
 
Mbwa wewe ulikula fisi ha ha [emoji1787] ha [emoji23]
 
Karibuni tumsome straika
 
Ameshalala na mchawi ndiyo hivyo story imeisha wakuu kama kichwa kinavyojieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…