Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
MAWEED soma hii kile kidole chako jamaa walikua wanakwambia makushabu kumbe Umepigwa kitanziKuna picha imenijia nikakumbuka siku moja nikiwa zamu kazini alikuja binti akilalama kwamba anahisi kuna vitu kama vijiti mwilini mwake kama njiti za uzazi wa mpango mikononi na sehemu za mapajani nikamdadisi huenda alichomwa na vitu lakini alikataa kata kata baada ya kufanya examination nilivibaini lakini hakukuwa na port of entry nilistaajabu nilitoa sindano nyeusi 5 mapajani 3 na mikononi 2 nikiri haikuwa rahisi leo nimeanza kuelewa sasa nini kilifanyika
Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua. Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini. Nimeweka mafuta ya taa...