Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shusha linksTuachane naye huyu ni mbabaishaji.
Wanao penda story zipo nyingi
Ila hawa wawe wanachapwa ban wanashusha credibility ya jamiiforumsTuachane naye huyu ni mbabaishaji.
Wanao penda story zipo nyingi
Tulia acha kelele!Mbona story za kichawi hazifikagi mwisho?
Naona unampiga beat kama la Vumilia [emoji28][emoji28]Tulia acha kelele!
Umeme umerudi Mbagala Kichemchem?Tulia acha kelele!
Yah man..! tumeshtukaa.hivi hakuna mtu amestukia mwandishi kwa kutokudhamiria ametupa jina halisi la Vumilia kuwa Veronika!? katika sehemu ya 11??
Naam kazi nzuriEndelea kula nyama mtori uko chini!
Tunaendelea sehemu ya 12
Suala la kulala na fisi, japo zilikuwa ni hisia zangu tu lakini lilinifikirisha sana. Nilianza kujiuliza endapo natakiwa nimuulize Vumilia, lakini niliona kulikuwa hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo. Kwanza, nilijua hata nikimuuliza asingekubali. Pili, Hata kama kweli nilikuwa nimelala na fisi bado issue ilishatendeka isingebadilisha chochote. Tokea siku ile nikaapa sitaenda, kufanya mapenzi tena na Vumilia wakati wa usiku. Nikiamini wachawi mchana huwa hawaendi kuwanga.
Basi bwana!
Siku kadhaa zilikatika, kukiwa hakuna chochote cha ajabu kilichotokea.
Sasa siku kadhaa zilipita tuseme kama wiki moja na siku kadhaa hivi. Sasa siku moja nikawa niko darasani nimekaa na Vumilia, tunasoma kwa pamoja chemistry. Punde Sara akaja sehemu tuliyokuwa tumekaa. Akafika akaniambia
"Mr the dragon leo ukiwa unarudi nyumbani unisubiri twende wote, leo naenda KM kwa mama mdogo"
"KM" ni jina la kijiji ambacho tulikuwa tumepanga yaani sehemu ilipo kata.
Iko hivi Shule ilipatikana ilipo kata, wengi tuliotoka vijiji vya mbali kidogo na kata ndio tuliokuwa tumepanga. Lakini Waliotoka vijiji vya Karibu walikuwa wanakaa kwao. Sasa Sara kijiji chao kilikuwa kinapakana na Kata haikuwa mbali sana hivyo alikuwa anaenda shule na kurudi akitokea kwao. Sasa siku hiyo alikuwa anaenda kwa mama yake mdogo anayeishi hicho kijiji cha KM ilipo kata ambako ndio sisi tulikuwa tumepanga.
Alivyoniambia hivyo nilimuuliza kiutani kidogo.
"Umemiss kudeka kwa ma mdogo?"
"Hamna kuna mzigo naenda tu kuchukua mzigo tu "
"Unalala?"
"Hamna"
Hadi wakati huo Sara alikuwa hajui kama nina mahusiano na Vumilia. Alichukulia kama tulikuwa marafiki tu tunaotokea kijiji kimoja.
Sasa siku hiyo mimi sikwenda assembly. Sikwenda kwa sababu nilipenyezewa taarifa za kijasusi kutoka kwa rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa ni general secretary wa shule. Aliniambia wakati wa assembly kuna mwalimu mmoja wa kihaya alikuwa mnoko mnoko atatoa adhabu. Siku hiyo tuliokuwa tumechelewa namba tulipewa adhabu ya kufata maji kisimani ndoo mbili mbili wakati wa mapumziko. Ila baadhi ya vijana kwa kujidai hatusikii, tuligoma kufata maji. Sasa GS akaenda kutoa taarifa kwamba vijana wamegoma huko. Ndio tukasemelewa kwa huyo mwalimu, sasa saa nane muda wa assembly ya mchana atadeal Na sisi. Sasa huyo jamaa alivyonipenyezea hiyo taarifa nikatokomea vichakani huko sikwenda asembly. Lakini pia kuchenga asembly enzi nikiwa shule ilikuwa ni part and parcel ya maisha yangu ya shule, wakati mwingine nilifanya just for fun.
Sasa kumbe kweli wakati wa assembly jamaa aliwaita wote waliogoma akawaongeza adhabu, kutoka ndoo mbili hadi nne. Sasa ile narudi kutoka machakani baada ya kuona wametawanyishwa, ili nimcheki Sara niende nae. Ile nafika naambiwa Na washkaji zangu
"Wewe mr the dragon njoo tufate maji na wewe umesomwa jina kwa waliogomea adhabu"
Basi ikabidi nipange foleni ya store nipewe ndoo halafu nifate maji nimalize adhabu. Kumbe Sara na Vumilia nao walikuwa miongoni mwa tuliogoma. Kutoka shule kwenda hadi kwenye kisima ilikuwa kama mwendo wa dakika kama kumi hivi. Nilipiga kazi baadae nikamshtua Sara twende. Siku hiyo nilipanga nimpitishe njia nyingine ya short cut ambayo wanafunzi wengi walikuwa hawapendi kuipitia. Walikuwa hawapendi kuipitia kwa sababu walimu walikuwa wamepiga marufuku kwa sababu kilikuwa kinjia kidogo ambacho kinapita kwenye mashamba, hivyo wakulima mara nyingi walilalamika wanafunzi kwamba waliharibu mazao yao.
Lengo la kumpitisha huko niliamini ningepata ka upenyo ka kumshawishi niende nikabanjuane naye hata kwenye vichaka. Lakini pia nilitaka kupunguza jamu kwa Vumilia nilijua angetuona pamoja angechukia.
Basi nikamwambia tupite hiyo njia, akakubali ukizingatia alikuwa amechelewa na njia hiyo ilikuwa ni njia fupi. Tukawa tupo tunatembea sasa huku namchombeza kwamba nikapige hata kimoja cha nguruwe. Demu hakuleta ubishi akawa amekubali kutoa mzigo. Sasa kuna sehemu kulikuwa na shamba la miwa, niliona sehemu ile ndio sehemu nzuri kuvunja amri ya saba au ya sita. Shamba lile lilikuwa umbali kama wa mita mia mia na hamsini kutoka kwenye kinjia.
Tukapiga hatua sasa kuelekea kwenye hilo shamba, tukatembea huku tukitafuta sehemu ambayo ingefaa. Basi tukaingia ndani kabisa ya shamba, tukaona sehemu kabisa ina utulivu. Kutokana na mazingira kuwa hayavutii sana kulikuwa hakuna mambo ya mahaba. Ilikuwa nikumfunua sketi na kumvua nguo yake ya ndani, na mimi ni kuchomoa dudu na kulizamisha magogoni.
Nililichomoa dude kwa haraka ili nilizamishe Chamwino. Nikalichomeka likawa linazama polepole, nika pump mara moja mara mbili. Mara nikasikia
Chaka chaka chaka chaka!!
Kucheki vizuri bonge la nyoka mweusi linapita kwenye majani ya miwa kuja tulipokuwa. Palepale nilichomoa nikamwambia nyoka huyo tukimbie!
Aisee!!! yule binti alisahahu hadi chupi lake jeupe la UTAJIJU!! Lenye maua maua!
Nilikimbia huku nimeshikilia suruali sikupata hata muda wa kufunga mkanda.
Tukakimbia lakini cha ajabu kila tukigeuka nyuma Yule nyoka alikuwa yupo nyuma anatufata anatukimbiza. Tulikimbia hadi tukakikamata kile kinjia kugeuka nyuma bado yupo anatufata tu. Tuliendelea kukimbia kwa mbele tukamuona mwanafunzi mwenzetu wa kike kwa mbele. Mwanafunzi huyo aliposikia vishindo aligeuka nyuma kuangalia, akatukuta tunakimbia. Kumbe alikuwa Vumilia bwana!
Akatuuliza!
"Mbona mnakimbia hivyo"
"Nyoka anatufukuza" alijibu sara
"Yuko wapi sasa"
Kugeuka nyuma hatukuona chochote. Hatukujua kama nyoka aliyeyuka au aliingia mitini kuendelea na shughuli zake. Kikubwa tulishukuru amepotea.
Ingawa Sara alichukulia kawaida, Kwa kudhani yule nyoka labda kaelekea vichakani. Lakini mimi taa nyekundu iliwaka kichwani mwangu.
Kwanza niliona ni jambo la ajabu kuona nyoka amemfukuza binadamu. Ni kweli binadamu tunaogopa nyoka, lakini kwa uzoefu wangu tena wa kukulia vijijini kwenye nyoka wengi nafahamu mara zote nyoka akikutana na binadamu huwa anakimbia. Ni maajabu nyoka kumfata binadamu na kuanza kumkimbiza.
Lakini pia suala la kitendo cha kumuona tu Vumilia halafu nyoka akapotea, mimi nilihisi ni muendelezo wa michezo yake tu. Nilikuwa na uelewa wa michezo yake.
Sasa basi, tuliendelea na safari huku tukipiga story hadi tulipofika. Kuna kitu nilikibaini njiani wakati tunatembea. Vumilia alikuwa na hasira, ni kama alikuwa anaongea kwa furaha kama anajilazimisha vile.
Mida ya usiku kama saa nne hivi nikiwa na washkaji zangu wa geto. Kuna jambo la ajabu lilitokea. Lilikuwa ni jambo la kawaida lakini kwa sisi watu wa huko kwetu na kwa simulizi za mambo ya ushirikina ambazo huwa tunazisikia, halikuwa jambo la kawaida. Mshikaji wangu ndiye aliyeanza kusikia hilo jambo halafu akatuuliza sisi.
Alituuliza kwa sauti ya chini sana ya kunong'oneza
"Mmemsikia huyo ndege anayelia hapo nje karibu na dirishani "
Hakuna aliyejibu isipokuwa, kila mtu alitega sikio kusikiliza ile sauti kwa umakini. Sekunde si nyingi Yule ndege alilia tena.
Sote tulisikia tukakubali kwamba tumeisikia hiyo sauti, japo tulijibu kwa kutumia kichwa kana kwamba sauti zetu zilikuwa hazitoki. Baada ya kusikia yule ndege akakoma, hakusikika akilia tena.
Ndege aliyekuwa analia sisi walikuwa tulikuwa tunamuogopa sana. Iliaminika ni ndege anayetumiwa na wachawi kwenye ushirikina. Ni ndege ambaye angesikika analia kwenye nyumba yako, basi subiri msiba kutoka hapo kwako.
Mara ya kwanza kusikia story ya ndege hawa, ni pale mama mmoja mwenye watoto mapacha wa kiume alikuwa akimsimlia mama yangu. Alimwambia kuna siku akiwa anatembea usiku wale ndege walikuwa wakimzunguka huku wakilia. Haikupita siku chache baadae Dotto alianza kuugua na baadaye alifariki.
Sasa kusikika kwa yule ndege, daima haikuwa dalili njema. Baadaye tulilala usingizi!
Sasa usiku nikiwa nimelala nilishangaa kusikia ninapapaswa kama ninaamshwa na mtu. Kuangalia nani alikuwa ni Vumilia.
Alinishika mkono akanivuta na kuning'ang'ania kwa nguvu. Tulipitia kwenye kona ya nyumba na kutokomea nje. Alinitembeza hadi katikati ya njia fulani akanisimamisha hapo.
"Hivi huwezi kuachana na Sara kabisa"
Nilikaa kimya sikuwa na la kujibu, zaidi ya mapigo ya moyo kwenda kwa kasi.
"Si nakuuliza wewe mr the dragon"
Mimi kimya"
"Sasa sikia kuanzia sasa naomba uachane na Sara. Nikiwaona mnaendelea kuwa wapenzi nitamfanyia Sara kitu kibaya mno. Nadhani wewe unanijua vizuri" alinichimba beat akiwa serious!
Muda wote nilikaa kimya, sikumjibu jambo lolote. Baaadaye alinirudisha geto nikalala.
Kesho yake nilienda shule, lakini siku hiyo Sara hakufika shule. Nilimuuliza rafiki yake akasema hajui sababu ya yeye kutokuhudhuria siku hiyo.
Kesho yake tena hakuhudhuria shule! Kumbe bwana kuna jambo lilikuwa limemtokea usiku ule Vumilia anakuja kunichomoa magetoni
Itaendelea!
Polepole ndio mwendo
Mwenda pole hajikwai
Polepole ya kobe humfikisha mbali.
Usiku mwema!
Hivi huwa mnawalipa? Hamuelewi mtu ana kazi zake ? Awaandikie yote mnalipia au? Nyoko......yaani huwa mnakera sanaNilitaka nishangae iishe hii story [emoji849][emoji849][emoji849]
Safi sanaEndelea kula nyama mtori uko chini!

Hovyooo 🚮🚮... Kwani kuna mtu asiyekua na kazi, mbona kuna watu wanaandika story na zinaisha... kama uandishi sio hobby yako si bora uache....halafu NYOKO mwenyewe mxieeww😏😏Hivi huwa mnawalipa? Hamuelewi mtu ana kazi zake ? Awaandikie yote mnalipia au? Nyoko......yaani huwa mnakera sana
Mada fucker be chanceEndelea kula nyama mtori uko chini!