Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Nimeachana na Mr the dragon Sasa hivi maeneo ya Kariakoo mtaa wa Uvinza, alikua ananunua oil ya bodaboda yake. Amesema Mbagala Kichemchem hakukua na umeme tangu juzi ndio maana haonekani.
Muwe na Amani leo umeme upo na ataandika sehemu ya mwisho.
 
Endelea kula nyama mtori uko chini!

Tunaendelea sehemu ya 12

Suala la kulala na fisi, japo zilikuwa ni hisia zangu tu lakini lilinifikirisha sana. Nilianza kujiuliza endapo natakiwa nimuulize Vumilia, lakini niliona kulikuwa hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo. Kwanza, nilijua hata nikimuuliza asingekubali. Pili, Hata kama kweli nilikuwa nimelala na fisi bado issue ilishatendeka isingebadilisha chochote. Tokea siku ile nikaapa sitaenda, kufanya mapenzi tena na Vumilia wakati wa usiku. Nikiamini wachawi mchana huwa hawaendi kuwanga.

Basi bwana!

Siku kadhaa zilikatika, kukiwa hakuna chochote cha ajabu kilichotokea.

Sasa siku kadhaa zilipita tuseme kama wiki moja na siku kadhaa hivi. Sasa siku moja nikawa niko darasani nimekaa na Vumilia, tunasoma kwa pamoja chemistry. Punde Sara akaja sehemu tuliyokuwa tumekaa. Akafika akaniambia

"Mr the dragon leo ukiwa unarudi nyumbani unisubiri twende wote, leo naenda KM kwa mama mdogo"

"KM" ni jina la kijiji ambacho tulikuwa tumepanga yaani sehemu ilipo kata.

Iko hivi Shule ilipatikana ilipo kata, wengi tuliotoka vijiji vya mbali kidogo na kata ndio tuliokuwa tumepanga. Lakini Waliotoka vijiji vya Karibu walikuwa wanakaa kwao. Sasa Sara kijiji chao kilikuwa kinapakana na Kata haikuwa mbali sana hivyo alikuwa anaenda shule na kurudi akitokea kwao. Sasa siku hiyo alikuwa anaenda kwa mama yake mdogo anayeishi hicho kijiji cha KM ilipo kata ambako ndio sisi tulikuwa tumepanga.

Alivyoniambia hivyo nilimuuliza kiutani kidogo.

"Umemiss kudeka kwa ma mdogo?"

"Hamna kuna mzigo naenda tu kuchukua mzigo tu "

"Unalala?"

"Hamna"

Hadi wakati huo Sara alikuwa hajui kama nina mahusiano na Vumilia. Alichukulia kama tulikuwa marafiki tu tunaotokea kijiji kimoja.

Sasa siku hiyo mimi sikwenda assembly. Sikwenda kwa sababu nilipenyezewa taarifa za kijasusi kutoka kwa rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa ni general secretary wa shule. Aliniambia wakati wa assembly kuna mwalimu mmoja wa kihaya alikuwa mnoko mnoko atatoa adhabu. Siku hiyo tuliokuwa tumechelewa namba tulipewa adhabu ya kufata maji kisimani ndoo mbili mbili wakati wa mapumziko. Ila baadhi ya vijana kwa kujidai hatusikii, tuligoma kufata maji. Sasa GS akaenda kutoa taarifa kwamba vijana wamegoma huko. Ndio tukasemelewa kwa huyo mwalimu, sasa saa nane muda wa assembly ya mchana atadeal Na sisi. Sasa huyo jamaa alivyonipenyezea hiyo taarifa nikatokomea vichakani huko sikwenda asembly. Lakini pia kuchenga asembly enzi nikiwa shule ilikuwa ni part and parcel ya maisha yangu ya shule, wakati mwingine nilifanya just for fun.

Sasa kumbe kweli wakati wa assembly jamaa aliwaita wote waliogoma akawaongeza adhabu, kutoka ndoo mbili hadi nne. Sasa ile narudi kutoka machakani baada ya kuona wametawanyishwa, ili nimcheki Sara niende nae. Ile nafika naambiwa Na washkaji zangu

"Wewe mr the dragon njoo tufate maji na wewe umesomwa jina kwa waliogomea adhabu"

Basi ikabidi nipange foleni ya store nipewe ndoo halafu nifate maji nimalize adhabu. Kumbe Sara na Vumilia nao walikuwa miongoni mwa tuliogoma. Kutoka shule kwenda hadi kwenye kisima ilikuwa kama mwendo wa dakika kama kumi hivi. Nilipiga kazi baadae nikamshtua Sara twende. Siku hiyo nilipanga nimpitishe njia nyingine ya short cut ambayo wanafunzi wengi walikuwa hawapendi kuipitia. Walikuwa hawapendi kuipitia kwa sababu walimu walikuwa wamepiga marufuku kwa sababu kilikuwa kinjia kidogo ambacho kinapita kwenye mashamba, hivyo wakulima mara nyingi walilalamika wanafunzi kwamba waliharibu mazao yao.

Lengo la kumpitisha huko niliamini ningepata ka upenyo ka kumshawishi niende nikabanjuane naye hata kwenye vichaka. Lakini pia nilitaka kupunguza jamu kwa Vumilia nilijua angetuona pamoja angechukia.

Basi nikamwambia tupite hiyo njia, akakubali ukizingatia alikuwa amechelewa na njia hiyo ilikuwa ni njia fupi. Tukawa tupo tunatembea sasa huku namchombeza kwamba nikapige hata kimoja cha nguruwe. Demu hakuleta ubishi akawa amekubali kutoa mzigo. Sasa kuna sehemu kulikuwa na shamba la miwa, niliona sehemu ile ndio sehemu nzuri kuvunja amri ya saba au ya sita. Shamba lile lilikuwa umbali kama wa mita mia mia na hamsini kutoka kwenye kinjia.

Tukapiga hatua sasa kuelekea kwenye hilo shamba, tukatembea huku tukitafuta sehemu ambayo ingefaa. Basi tukaingia ndani kabisa ya shamba, tukaona sehemu kabisa ina utulivu. Kutokana na mazingira kuwa hayavutii sana kulikuwa hakuna mambo ya mahaba. Ilikuwa nikumfunua sketi na kumvua nguo yake ya ndani, na mimi ni kuchomoa dudu na kulizamisha magogoni.

Nililichomoa dude kwa haraka ili nilizamishe Chamwino. Nikalichomeka likawa linazama polepole, nika pump mara moja mara mbili. Mara nikasikia

Chaka chaka chaka chaka!!

Kucheki vizuri bonge la nyoka mweusi linapita kwenye majani ya miwa kuja tulipokuwa. Palepale nilichomoa nikamwambia nyoka huyo tukimbie!

Aisee!!! yule binti alisahahu hadi chupi lake jeupe la UTAJIJU!! Lenye maua maua!

Nilikimbia huku nimeshikilia suruali sikupata hata muda wa kufunga mkanda.

Tukakimbia lakini cha ajabu kila tukigeuka nyuma Yule nyoka alikuwa yupo nyuma anatufata anatukimbiza. Tulikimbia hadi tukakikamata kile kinjia kugeuka nyuma bado yupo anatufata tu. Tuliendelea kukimbia kwa mbele tukamuona mwanafunzi mwenzetu wa kike kwa mbele. Mwanafunzi huyo aliposikia vishindo aligeuka nyuma kuangalia, akatukuta tunakimbia. Kumbe alikuwa Vumilia bwana!

Akatuuliza!

"Mbona mnakimbia hivyo"

"Nyoka anatufukuza" alijibu sara

"Yuko wapi sasa"

Kugeuka nyuma hatukuona chochote. Hatukujua kama nyoka aliyeyuka au aliingia mitini kuendelea na shughuli zake. Kikubwa tulishukuru amepotea.

Ingawa Sara alichukulia kawaida, Kwa kudhani yule nyoka labda kaelekea vichakani. Lakini mimi taa nyekundu iliwaka kichwani mwangu.

Kwanza niliona ni jambo la ajabu kuona nyoka amemfukuza binadamu. Ni kweli binadamu tunaogopa nyoka, lakini kwa uzoefu wangu tena wa kukulia vijijini kwenye nyoka wengi nafahamu mara zote nyoka akikutana na binadamu huwa anakimbia. Ni maajabu nyoka kumfata binadamu na kuanza kumkimbiza.

Lakini pia suala la kitendo cha kumuona tu Vumilia halafu nyoka akapotea, mimi nilihisi ni muendelezo wa michezo yake tu. Nilikuwa na uelewa wa michezo yake.

Sasa basi, tuliendelea na safari huku tukipiga story hadi tulipofika. Kuna kitu nilikibaini njiani wakati tunatembea. Vumilia alikuwa na hasira, ni kama alikuwa anaongea kwa furaha kama anajilazimisha vile.

Mida ya usiku kama saa nne hivi nikiwa na washkaji zangu wa geto. Kuna jambo la ajabu lilitokea. Lilikuwa ni jambo la kawaida lakini kwa sisi watu wa huko kwetu na kwa simulizi za mambo ya ushirikina ambazo huwa tunazisikia, halikuwa jambo la kawaida. Mshikaji wangu ndiye aliyeanza kusikia hilo jambo halafu akatuuliza sisi.

Alituuliza kwa sauti ya chini sana ya kunong'oneza

"Mmemsikia huyo ndege anayelia hapo nje karibu na dirishani "

Hakuna aliyejibu isipokuwa, kila mtu alitega sikio kusikiliza ile sauti kwa umakini. Sekunde si nyingi Yule ndege alilia tena.

Sote tulisikia tukakubali kwamba tumeisikia hiyo sauti, japo tulijibu kwa kutumia kichwa kana kwamba sauti zetu zilikuwa hazitoki. Baada ya kusikia yule ndege akakoma, hakusikika akilia tena.

Ndege aliyekuwa analia sisi walikuwa tulikuwa tunamuogopa sana. Iliaminika ni ndege anayetumiwa na wachawi kwenye ushirikina. Ni ndege ambaye angesikika analia kwenye nyumba yako, basi subiri msiba kutoka hapo kwako.

Mara ya kwanza kusikia story ya ndege hawa, ni pale mama mmoja mwenye watoto mapacha wa kiume alikuwa akimsimlia mama yangu. Alimwambia kuna siku akiwa anatembea usiku wale ndege walikuwa wakimzunguka huku wakilia. Haikupita siku chache baadae Dotto alianza kuugua na baadaye alifariki.

Sasa kusikika kwa yule ndege, daima haikuwa dalili njema. Baadaye tulilala usingizi!

Sasa usiku nikiwa nimelala nilishangaa kusikia ninapapaswa kama ninaamshwa na mtu. Kuangalia nani alikuwa ni Vumilia.

Alinishika mkono akanivuta na kuning'ang'ania kwa nguvu. Tulipitia kwenye kona ya nyumba na kutokomea nje. Alinitembeza hadi katikati ya njia fulani akanisimamisha hapo.

"Hivi huwezi kuachana na Sara kabisa"

Nilikaa kimya sikuwa na la kujibu, zaidi ya mapigo ya moyo kwenda kwa kasi.

"Si nakuuliza wewe mr the dragon"

Mimi kimya"

"Sasa sikia kuanzia sasa naomba uachane na Sara. Nikiwaona mnaendelea kuwa wapenzi nitamfanyia Sara kitu kibaya mno. Nadhani wewe unanijua vizuri" alinichimba beat akiwa serious!

Muda wote nilikaa kimya, sikumjibu jambo lolote. Baaadaye alinirudisha geto nikalala.

Kesho yake nilienda shule, lakini siku hiyo Sara hakufika shule. Nilimuuliza rafiki yake akasema hajui sababu ya yeye kutokuhudhuria siku hiyo.

Kesho yake tena hakuhudhuria shule! Kumbe bwana kuna jambo lilikuwa limemtokea usiku ule Vumilia anakuja kunichomoa magetoni

Itaendelea!

Polepole ndio mwendo
Mwenda pole hajikwai
Polepole ya kobe humfikisha mbali.

Usiku mwema!
 
Naam kazi nzuri
 
Safi sana
Kweli pole pole ndio mwendo...
 
Aisee we jamaa nawe unachosha, naamka asubuhi kuangalia kama stori imeendelea nakuta haijaendelea, acha mambo ya isidingo, ukijitoa kumwaga mboga mwaga na ugali bana....usituchoshe tusikuchoshe kifupi tusichoshane in umughaka'z voice
 
Mada fucker be chance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya 13.

Sasa pale darasani kulikuwa na demu mmoja alikuwa mzuri sana, mweupe fulani hivi ana macho mazuri sana. Kwa pale darasani fanya ufanyavyo, lakini ukitaja list ya mademu wakali top three hauwezi kumuweka nje huyo demu. Huyu demu walitokea kijiji kimoja na Sara, na ndiye aliyekuwa rafiki yake wa kufa na kuzikana. Huyu demu pia mimi na yeye tulikuwa tunafahamiana long time sana, na chanzo cha kufahamiana yeye pia tulisali kanisa moja. Huyu mrembo alikuwa anaitwa Davina. Sasa siku hiyo nikiwa darasani alikuja mahali nilipokaa, akakaa pembeni yangu.

Alipofika tu alianza kutoa cheko fulani, ambalo sikulielewa kama lilikuwa ni cheko la furaha, dharau au kujishaua kidemu. Nilimuuliza kulikoni afike pale na kuanza kucheka bila sababu.

Hakunijibu chochote badala yake aliendelea kukenua tu!

"hivi Mr the dragon Sara unampendea nini?"

Lilikuwa ni swali ambalo nilijua kabisa halikuwa rahisi mimi kulijibu. Na kwa akili yangu ndogo tu nilijua jibu langu lilikuwa halihitajiki pale, bali lilikuwa ni swali chokonozi ambalo alilianzisha ili apate namna ya kuniambia jambo kuhusiana na Sara. Hivyo sikutaka kupoteza muda nilimjibu kwa kutumia swali kwa swali.

"Kwa nini umeuliza hivyo?" nilimuuliza

"hamna nataka kujua tu"

"hapana lazima kuna sababu sio bure, wewe ni rafiki yake Sara sasa kwa nini uniulize swali kama hilo Davina"

"Unakumbuka jana uliniuliza kwa nini Sara hajaja shule, sasa leo nimepata majibu kwa nini demu wako hakuja shuleni"

" Kwa sababu gani hakuja" nilimuuliza kwa shauku

" nasikia alifumwa usiku na baba yake ametoroka nyumbani ameenda kwa wanaume"

"Leo asubuhi nimeambiwa na Lupe ( Lupe alikuwa ni dogo wa form two majirani na Sara huko kwao), ameniambia kumbe baba yake amemshtukia huwa anatoroshwa usiku. Sasa leo wakiwa wamelala aliwaita wasichana wote, kumbe Sara hakuwemo ndani. Unaambiwa baba yake alichukia amefoka hadi asubuhi, cha ajabu Sara akarudi nyumbani kunakaribia kukucha saa kumi na moja. Baba yake ndio kamzuia asije shule, amesema hawezi kupoteza pesa kusomesha malaya. Demu wako kala kipigo kidogo atenguliwe kiuno Na baba yake"

Ilikuwa ni kauli ambayo iliniumiza sana ndani ya moyo. Kwa mara ya kwanza moyo wa kijana mdogo mwenye moyo laini wa nyama a very kind and innocent heart, nilikuwa nimeshaanza kuumizwa na songombingo za mapenzi. Kiukweli nilikuwa nampenda Sara niliamini ni mwanamke ambaye aliumbwa ili aje kuwa wangu milele. Alivyoniambia ile kauli nilihisi kama nilikuwa nimechomwa na kitu cha ncha kali kwenye moyo. Kwa siku nzima sasa nimekuwa mtu mwenye mawazo, nikiwaza namna ambavyo nisingeweza kuachana na Sara kama alivyotaka Vumilia. Kumbe mtu mwenyewe anayenipa mawazo anatoroka hadi kwao kisa boya mwingine.

Davina baada ya kuniambia vile alitabasamu, akaniangalia. Alivyoona sijamjibu chochote, huku akiyaona maumivu yangu dhahiri kupitia mboni za macho yake. Alitabasamu akaniangalia kwa jicho fulani na kuondoka zake.

Dizasta Vina aliwahi kusema "hujawahi penda kama hujawahi kulia". Mimi sikulia hivyo labda niseme "hujawahi kupenda kama hujawahi kuumia"

Wakati mwingine huwa nasema yashukuriwe mapenzi yanatufanya watu wengi tunakuwa strong sana. Nikikumbuka hii kauli jinsi ilivyoniumiza kisa nilidhani, Sara angekuwa wangu milele.

Kwa Sasa nikikumbuka ule ujinga huwa nacheka Sana.

Kuna time niliamini labda ni uongo tu, lakini niliuliza kuna washkaji wengine pale class wa huko kwao na wenyewe waliniambia story hiyohiyo.

If you can withstand the pain of being broken hearted by love, then you're very strong and you can withstand anything in life!

Tokea wakati ule nilikosa raha, sikuona sababu ya kuendelea kukaa darasani. Nilichukua begi langu la Bob Marley. Nikaingia pori nikaondoka zangu kuelekea geto.

Njia nzima hasira iliyokuwa imechanganyikana na maumivu ilikuwa imenishika mbaya.

Kesho yake nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumamosi, Siku hiyo nilifika geto nikachukua vitu vyangu nikaenda home moja kwa moja kabisa. Nilikuwa nimepanga kesho yake lazima nifanye juu chini hadi nionane na Sara. Niliazimia niende kanisani, niliamini huko ni lazima ningemkuta maana nyumbani kwao waliishika sana imani. Lakini nilipanga pia kama nisingemkuta kanisani basi ningeenda hadi nyumbani kwao. Basi bwana kesho yake niliamkia nyumbani nikajiandaa kwenda kanisani. Japo nilikuwa nimeshaanza kautoro fulani lakini siku hiyo nilisema ni lazima nibaini mbivu na mbichi.

Nilifika kanisani asubuhi tu, nikaanza kuangaza huku na huko lakini sikufanikiwa kumuona, japo wazazi wake, kaka yake, dada yake mmoja na mdogo wake wa kiume niliwaona pale kanisani. Nilidhani labda atakuwa amechelewa acha nivute subira lakini hadi ilifika mida ya saa nne alikuwa hajafika, hapo nikaamini siku ile hakuja kanisani. Lakini kabla sijathibitisha kama kweli hajaja, niliona nimuulize kwanza dada yake. Mungu si athumani ule muda nawaza nimuulize vipi pale ndani kanisani, nilimuona anatoka nje kama anaelekea chooni. Sikusubiri, palepale nilimuungia mkia kwa nyuma. Nilitembea haraka nikampata, nikamsalimia halafu nikamuuliza.

"Dada Juju, Sara yuko wapi?"

"Unamuulizia wa nini?"

"Kuna daftari lake aliniachia shule, sasa siku mbili zilizopita sijamuona shule, na leo hapa kanisani hayupo sasa nikawa najiuliza ameenda wapi?"

" Mmmh! We muongo, kwani ukisema tu unamuulizia kwa sababu ni mpenzi wako kuna shida gani"

Nilishangaa kidogo sikutegemea kama alikuwa anajua mimi nina mahusiano na mdogo wake. Japo sikutaka kuipa nafasi hiyo kauli kunifikirisha sana. Hivyo nikaamua kuipotezea kama sijaisikia vile!

"Sawa! ila yuko wapi sasa"

"Kwanza nambie unampenda mdogo wangu, au unataka kumchezea mdogo wangu"

Niliona huyu alikuwa anataka nikatae ili tufanye ligi ya kubishana. Japo kubishana ni mojawapo ya kitu napenda sana, lakini niliona huu sio muda muafaka ungenitoa kwenye lengo.

"Nampenda" nilijibu kwa mkato kwa kujiamini

"Umejibu vizuri, yuko nyumbani"

Baada ya kunijibu vile niliondoka mahali pale. Niliwaza ningechomokaje pale kanisani, maana ningetoroka nilijua mama yangu lazima angekuja kufoka baadaye kwamba nimetoroka kanisani. Niliona njia nzuri nisingizie naumwa, niseme narudi nyumbani halafu nitoroke niende nyumbani kwao Sara. Kweli nilidanganya kwa bi mkubwa kwamba naumwa halafu nikachomoka kwenda kumtafuta mpenzi wangu wa maisha.

Njiani nilikimbia sana kuliko kutembea, ungeniona ungedhani nafanya jogging. Kumbe mshikaji nawahi ili nimuone demu tu.

Nilifika nyumbani kwao Sara, sikutaka kuwaza sana nilienda hadi kwao. Nilibisha hodi halafu Nikasikia sauti ikisema.

"karibu"

Ilikuwa ni sauti ya mwanamke niliyekuwa nampenda sana. Ilikuwa ni sauti ya Sara!

Alifungua mlango, akastaajabu kuniona mimi ndiye niliyekuwa nagonga mlango.

"Umeamua kunifata kabisa"

Sikumjibu chochote nilikuwa na hasira sana kutokana na kile nilichokuwa nimeambiwa na Davina. Lakini pamoja na hayo niliamua kutulia kwanza na kutokutanguliza hasira mbele. Mojawapo kati ya vitu ambavyo muumbaji alinibariki navyo ni kunipa calmness, mimi ni mtu mstahimilivu na huwa sipendi kumuhukumu mtu bila kumsikiliza.

"Mbona kimya" Sara aliuliza kwa mshangao

" Nitakujibu nini wakati umeanza tabia ya kutoroka, unaenda kugongwa halafu tukikutana unajidai unanipenda kumbe mnafiki "

Nilivyoongea pale alishangaa sana! akaniambia

"ina maana hadi wewe umeukubali huo uzushi"

"Kwa nini nisiamini"

"kwani nani amekwambia hivyo"

"dunia haina siri" nilijibu kwa mkato

Sikutaka kumwambia kama rafiki yake ndio kaniambia.

" ok unajua mr the dragon haya mambo hatuwezi kuyaongelea hapa nyumbani, kama vipi twende huku mtoni tukaongee"

Nilikubali kisha tukaongozana kwenda kwenye sehemu kulikuwa na ka mto na tu vichaka twa hapa na pale. Tukakaa huko na kuanza kuzungumza. Kwanza kabla hajaanza kuongea Sara alitoa machozi na kuanza kulia sana.

"Unajua mr the dragon katika watu ambao sikutegemea utaamini huu uzushi ni wewe. Unajua mr the Dragon kuna mambo yanatokea hata siyaelewi kabisa"

"Kwa nini" niliuliza

"Unajua siku ile, nilipotoka kwa mama mdogo nilienda hadi nyumbani. Nilifikisha mzigo nikaingia kupika kama kawaida. Baadaye niliingia kulala ndani, nikawa nimesinzia. Nilikuja kustuka asubuhi kunaelekea kukucha niko nje ya nyumba nimelala kwenye ile miti. Kumbe nilichukuliwa kichawi nikalazwa nje ya nyumba. Sijui nani ananifanyia haya mambo" alisema huku akinionyesha miti fulani mikubwa iliyo kwa mbele ya nyumba yao upande wa nyuma, kwamba pale ndio alipolazwa. Miti hiyo kwa kisukuma ilikuwa inaitwa mihare.

"Nakuambia niliamka nikiwa nimelala kwenye miiba, nilichomwa miba mno. Lakini huwezi kuamini nilipoamka pembeni yangu kulikuwa na nyoka amelala, alikuwa na ukubwa kama yule aliyetufukuza kule kwenye shamba la miwa, niliposhtuka tu naye akatokomea. Nilirudi nyumbani ndio nikakuta kuna makubwa zaidi yametokea"

"Kumbe bwana usiku ule baba aliamka kuangalia usalama wa ng'ombe usiku. Akakuta ngo'mbe hawapo zizini. Akahisi ng'ombe wameruka zizi wametoroka kwenda kwenye mashamba ya watu usiku. Lakini alipochunguza akakuta mlango uko wazi kama kuna mtu ameufungulia. Akahisi labda kuna wezi. Lakini akawasikia wanakula mahindi kwenye Shamba letu lililo jirani na hapo home. Ndio akatuamsha wote tukasaidiane na wakina kaka kuwarudisha zizini. Alipokuja kutuamsha ndio akakuta mimi sikuwemo ndani"

"Sasa baba ndio akaamini nilikuwa nimechukuliwa na wanaume usiku, mr the dragon nimepigwa na baba kidogo aniue"

Alisema huku akibubujikwa na machozi. Sikuhitaji kuthibitisha kama alichoniambia kama ilikuwa ni kweli au uongo. Ila kile kilio chake kilinigusa, hasira na uchungu niliokuwa nao uliisha nikaanza kumuonea huruma. Kwa vyovyote nilijua Vumilia ndiye mhusika wa haya yote. Kuanzia pale nilianza kupata hisia za kumchukia sana Vumilia.

Nilitaka kumuuliza unahisi nani anakufanyia hiyo michezo, lakini nikaghairi baada ya kujua lingekuwa ni swali la kijinga maana mhusika ninamjua. Niliamua kubadilisha swali la kumuuliza

"Kwa hiyo baba yako kwa sasa ameshaujua ukweli?"

"Baba amekazania nimeanza umalaya, mara namdharirisha nimemueleza yaliyonitokea lakini hataki kusikia kabisa. Anadai eti nimetunga uongo wa kitoto, yeye hajiulizi hata swali kwamba je aliyefungua mlango wa zizi ng'ombe watoke ni nani"

"Vipi nasikia amekataa kukusomesha"

"Hamna aliposema hivyo zile zilikuwa hasira tu, siku mbili hizi sijaja shule nilipewa adhabu ya kuchunga ng'ombe, jumatatu nitakuja" alikaa kimya kidogo kana kwamba alikuwa anafikiria jambo halafu akaendelea

"Kwani wewe nani alikuambia yote haya"

" Nimeambiwa na Davina" nilisema bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno.

Alishangaa sana, akajaa hasira juu ya unafiki na umbea wa rafiki yake.

"Unajua mr the dragon, wewe ni mwanaume ambaye nimetokea kukupenda kwenye maisha yangu. Sijawahi kufikiria kukusaliti, naomba unipende kama navyokupenda. Wewe ni roho yangu, naomba uwe wangu milele, nitasimama pembeni yako daima mpenzi wangu"

Aliongea kwa sauti ya unyonge sana. Kidogo nitoe machozi kwa kujiona nina hatia kwa jinsi nilivyomwingiza kwenye matatizo binti ambaye nilimpenda sana, na bila shaka hata yeye alinipenda sana.

Siku hiyo tuliwekeana ahadi kemkem za kupendana

Nilimchukia Vumilia, nikasema sitaachana na Sara. Analotaka kufanya na afanye, niliamini siwezi kulazimishwa kumpenda mtu.

"Tena nikitoka hapa nienda kumtafuta nimwambie aache ujinga wa mapenzi ya kulazimishana" nilijisemea

Nilitoka maeneo yale nikiwa na gadhabu juu ya Vumilia, lengo langu lilikuwa ni kwenda kwa bibi yake Yame kumtafuta. Niliamini nitamkuta huko, kwa sababu ilikuwa weekend.

Tukutane hapahapa!

Leo Arsenal kashinda na dunia nzima ina furaha. Hata mimi nimefurahi!

Usiku mwema!
 
Back
Top Bottom