Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Mimi nina adabu kwako kabisa mzee wangu ila research zako nyingi umeegemea upande mmoja wa kidini na kiasiasa ndio maana wanataaluma na wasomi hawakuelewi!!!Kuhusu jumuiya za wahindu na wabudha na wahamadiya kuvunjwa watafute wazee kama Gupta au wanae au wajukuu zake kule upanga karibia na jamatini watakueleza mengi!!!Bahati mbaya nimepoteza mawasiliano nao ila nina hakika baadhi yao ni member hapa Jami forum
 
Nelson...
Nitashukuru kama utaleta ushahidi kutokana na maandishi yangu hiyo chuki niliyokuwanayo.
 
Hapo kwenye maji maji kua ni vita vya waislamu dhidi ya wajerumani mimi kumenifanya nikuelewe vizuri mzee wangu Saidi wewe ni mtu wa namna gani!!!!Na wasomi tunakuelewa tu vizuri tu mlengo wako
 
Nelson...
Nitashukuru kama utaleta ushahidi kutokana na maandishi yangu hiyo chuki niliyokuwanayo.
Nakala zako kuhusu mapinduzi ya zanzbar ziko wazi!!!!Nyinyi hamkupenda Karume awe kiongozi mlipenda hizbu,machotara wa kiarabu na walowezi wa kiarabu waeendelee kushika madaraka huku babu zetu wabantu wakiendelea kua watu wa daraja la chini!!!Kisa udini mlikua tayari kutawaliwa na sultan wa kiomani!!!Makala zako zinakuonyesha tu wewe ni mtu wa aina gani mzee wangu
 
Nelson...
Uliyesema kuwa jumuiya za Wahindu na wengine zimevunjwa ni wewe si Gupta wala Gupta hayuko hapa.

Ufupi ni kuwa huna ushahidi.

Ikiwa mimi utafiti wangu umeegemea upande mmoja lete ushahidi wa watafiti wengine ambao umesimama katikati tusome unasema je.

Nimeeandika mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa ni historia muhimu ambayo ilifutwa.

Huu si udini.
Udini ni kuifuta historia hii kwa kuwa ni historia ya Waislam.

Wamishionari wameandika vitabu vingi kuhusu kazi zao hapa nchini.

Huu ni udini?
 
Nelson...
Huna maarifa ya kutosha kujadili historia ya Zanzibar.

Kaa kitako usome kwanza.
 
Unaijua historia kwa uchache na kwa kusimuliwa na wazee wa kariakoo na magomeni wale wenye nasaba za kuwachukia watu wa imani nyingine!!!Historia za wahindi hapa tanganyika huzijui hata historia za wabantu hapa tanganyika huzijui!!!Mimi nilidhani unaijua historia ya tanganyika nzima kumbe hapana!!!Wewe mzee wangu unaijua tu historia ya dare salaam kariakoo na magomeni na historia za wazee wa kiislamu wenye misimamo ya chuki ya kuwachukia watu wa nasaba zingine!!!Hata historia za mababu zetu kanda ya ziwa kupigania uhuru huzijui!!!!Ushahidi wa watafiti wengine inakubidi wewe kama msomi utafute kujenga maarifa!!!!Mbona sisi kama wasomi tunatafuta tafiti za wasomi wengine tunafika hadi saudia,turkey,china,cuba,usa,uk,Zimbabwe,comoro island na irani katika kusoma na kuchambua nakala na tafiti mpaka za wasomi wa karne ya 3!!!!Jipanue kimaarifa mzee wangu nje ya imani yako ya kidini na nasaba za chuki kwa watu wenye imani tofauti na wewe
 

Vifungu vifuatavyo ni asilimia ndogo sana ya vifungu vyote vinavyoidhinisha mauaji katika Biblia. Yamegawanywa hapa katika sehemu tatu: 1) Uhalifu wa adhabu ya kifo, 2) Mauaji ya Mungu kwa Sababu za Kipumbavu, 3) Mauaji ya Watoto, na 4) Mauaji Mbalimbali. Orodha hii ni ndefu, lakini inakwaruza kidogo juu ya mauaji yote yaliyoidhinishwa katika Biblia.

1) Uhalifu wa Adhabu ya Mtaji:

Waueni Watu Wasiowasikiliza Makuhani

Mtu yeyote mwenye kiburi cha kukataa hukumu ya mwamuzi au ya kuhani anayemwakilisha BWANA Mungu wako lazima auawe. Uovu kama huo lazima uondolewe kutoka kwa Israeli. (Kumbukumbu la Torati 17:12 NLT)

Kuua Wachawi

Haupaswi kuruhusu mchawi kuishi. (Kutoka 22:17 NAB)

Waue Mashoga
“Mtu mume akilala na mwanamume kama na mwanamke, wote wawili watauawa kwa ajili ya tendo lao la kuchukiza; wamepoteza maisha yao.” (Mambo ya Walawi 20:13 NAB)
 

Wewe unayezijua hizo historia mbona unalalamika tu au ndio historia uijuwayo hiyo ?? kama unajua chochote tuandikie japo mistari miwili ya historia hiyo uijuwayo
 
Hapo kwenye maji maji kua ni vita vya waislamu dhidi ya wajerumani mimi kumenifanya nikuelewe vizuri mzee wangu Saidi wewe ni mtu wa namna gani!!!!Na wasomi tunakuelewa tu vizuri tu mlengo wako
Nelson...
Walionyongwa makaburi yao yako Kumbukumbu ya Maji Maji Mahenge.

Alikuja mmeshionari kutoka Peramiho kuwaghilibu Waislam waliokuwa wanasubiri kunyongwa wakubali kubatizwa watasamehewa kunyongwa.

Juu ya hilo wote walinyongwa na majina yao ya Kiislam yakabadilishwa yakawekwa ya Kikristo.

Kisa kizima kinafahamika na ule mnara wa kumbukumbu una majina hayo.

Haya ni makaburi ya halaiki wamezikwa hapo watu zaidi ya 60 majemadari walioongoza vita dhidi ya Wajerumani.

Ukiangalia na mnara ulioko Kilwa majina ni ya Waislam akina Hassan Omari Makunganya.
 
Nelson...
Huna maarifa ya kutosha kujadili historia ya Zanzibar.

Kaa kitako usome kwanza.
Wewe unapendelea waarabu wangekaa waitawale Zanzibar na wajukuu zao machotara!!!Sisi tunaijua historia ya zanzbar kabla ya kuja walowezi wa kiarabu mzee wangu!!!Nitasomaje historia ya zanzbar iliyoandikwa na wazungu au waarabu au machotara wa kiarabu!!!Historia ya zanzbar ni ya wazee wetu wabantu kabla ya kuja walowezi wa kiarabu ndio historia sahii kabla hata ya dini za waarabu na wazungu!!!Mimi Nadhani wewe mzee wangu ndio hujui historia ya visiwa vile kabla hata havijaitwa na walowezi wa kiarabu zenji-bar!!!!
 
Hii imenifanya niwe n wasiwasi na makala zako!!!!Ngoja nifanye utafiti kwa kushirikisha maprofesa wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro afu nitakujibu!!!Katika hili nipo kwenye utafiti mzee wangu
 
Ukisubiri ushahidi kwa mtu ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya ahadi ya mabikra 72 huko peponi utakuta mujahidina wamemaliza watu.

Dawa ya hawa ni kama unavyoona sasa akina Sheikh Fareed na Sheikh Mselem wamekaa rumande zaidi ya miaka 10, na Samia alivyowaachia wameshika adabu. Kwa mfano nikuulize Sheikh Mohamed Said, je umemsikia tafrani yeyote tena ya Waislamu wa Siasa kali nchini toka wamewekwa ndani na miaka hii 2 waliyoachiwa?

Kama jibu ni hakuna basi ujue Serikali haikukosea kuwaweka ndani bila dhamana.

Hawa mujahedeen wanaoivuruga amani ya nchi siyo kwamba wanawavuruga Wakristu peke yao Bali hata Waislamu safi
 
Wewe unayezijua hizo historia mbona unalalamika tu au ndio historia uijuwayo hiyo ?? kama unajua chochote tuandikie japo mistari miwili ya historia hiyo uijuwayo
Wasomi hatuandiki historia hapa jamii forum mzee wangu!!!!Kuna platforms sahii na wasomi wanazijua!!!!Na wasomi pia waga hatulalamiki bali tunakataa upotoshwaji tu wa uhalisia!!!!!!
 
Hii imenifanya niwe n wasiwasi na makala zako!!!!Ngoja nifanye utafiti kwa kushirikisha maprofesa wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro afu nitakujibu!!!Katika hili nipo kwenye utafiti mzee wangu
Nelson...
Hilo ni jambo jema kwani jamii nzima bila shaka itanufaika na utafiti wako.
 
Nelson...
Chukua muda kidogo kutaka kujua nini nimeandika na kwa nini.

Ungefanya hivyo tungenifahamiana vizuri na usingeandika hayo uliyoandika hapo juu:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 

Asome dini gani na Mungu Hana dini
 
Mími nakuelewa mzee wangu ila mapungufu yako ni kuwapakaza ?mabaya watu wasio na nasaba ya kiisilamu katika makala zako za uhuru wa tanganyika na mapinduzi matukufu ya zanzibar na pili umebobea upande wa dini za kiarabu na kizungu na hujui chochote kuhusu ubantu wetu sisi waafrika kabla ya kuja wageni na walowezi!!!!Ndio hapo tu naona mapungufu yako mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…