Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #241
Che...Tatizo la Magaidi wenyewe wanajitambulisha kuwa ni waislamu.
Na nia yao ni kujenga dola ya kiislamu.
Wanaupigania Uislamu na Allah.
Ili sisi tusio waislamu tulipe kodi kwa waislamu.
Na Aya wanayo isimamia ipo
9:29
" Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet’ii. "
Na wanasema wamepewa baraka zote kwenu Waislamu. Kama hiyo video clip inavyosema.
Na mnawakaribisha kwa siri katika maeneo yanu na kuwahifadhi, Mkuranga, Kibiti, Kilwa, Tanga.
Nyie mkija hapa mnawatetea kwa jasho na damu kuwa sio magaidi.
Sisi tunawaamini wao.
Na kwa taarifa yenu, hiyo vita hamtashinda kamwe.
Bahati mbaya sana sina ujuzi wa kuchambua tafsir ya aya za Qur'an.
Kwa hiyo siwezi kuingia katika mjadala.
Nawaachia wajuzi In Shaa Allah watakujibu.