Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Saudia arabia nchi ya kiisalmu ila anakitengo cha kuzuia ugaidi. sasa jiulize
Saudia washapita mambo ya kwenda ovyo ovyo utadhan tupo karne ya 6. Nchi nyingi za kiarabu huwa israel na marekani zinachukiwa na kuitwa majina chungu nzima, lakini utashangaa kuona saudia, israel na marekani ni marafiki wakubwa sana😂😂na wanasaidiana vizuri sana kuwawinda magaidi
 
Planet...
Hili linafahamika.
 
Planet...
Mimi nitajuaje?

Kwa utashi wako watu wanaovamia na kuua polisi wakiwa kwenye patrol afu wanaiba silaha wanaweza kuwa kina nani labda? Sawa hujui kuwa sio magaidi au majambazi, wanaweza kuwa labda wauza maduka wa pale kariakoo au makondakta wa dala dala?
 
Mimi sina ujuzi huo.
 
Planet...
Mimi sina ujuzi huo.
Basi sawa ila naamini unamfahamu huyu bwana Abu Ubaidah Al Banshiri ambaye alikufa kwenye MV Bukoba.

Sio mara ya kwanza tanzania kuhusishwa na ugaidi. Shambulio la 1998 magaidi wa kitanzania walihusika. Na kama watu wa al qaeda wanaweza kuja kujificha hapa lazima wana watu wanaowakaribisha na kuwahifadhi. Sasa ukionekana una misimamo mikali na unafundisha radicalism kwa vijana, watu watakuja kukutembelea ili wajiridhishe ni nini lengo lako. Mahakama kuweza kuthibitisha au kutothibitisha haimaanishi kuwa eti sio magaidi. Kuna majambazi na wezi huwa wanakamatwa na kesi wanashinda na mwisho wao huwa wanauliwa mitaani kwa sababu huwa wanashinda mahakamani kwa sababu ya loop holes za kisheria.

Watu walijaribu kuutingisha mbuyu hapa tanzania, circa 2014-16. Na wakashughulikiwa vizuri tu.
 
Je unafahamu kua watuhumiwa wa ugaidi wengi duniani kote hata wale waliopo Guantanamo kwa walau 85% hadi 90% hakuna ushahidi wa wazi uliothibitisha wa wao kujihusisha na ugaidi? Je unafahamu mafundisho ya Suni na Shia msingi wake ni nini?
 
Sasa ulitaka wajilipue ndo tupate 100% kuwa huyu ni gaidi? By then tutakamata kitu gani? Wanawahiwa mapema. Ukiwa unajipublicize kuincite watu kuwa radical nadhani ni vema ukashughulikiwa mapema kabla hujaleta madhara.
 
Pale lilipozaliwa Taifa la marekani 1776, likapitia misukosuko mingi na kujiimarisha hadi miaka ya 1940 kua kiongozi wa dunia na kujipa nafasi ya kiranja wa dunia na kuutawala kabisa mfumo wa fedha shida ilianzia hapo, watu wengi duniani husema marekani anavuruga amani ya dunia sio kwa bahati mbaya bali tafiti mbalimbali ziliwahi kuweka wazi hayo yote.
 
Umesahau zile za kuruhusu kunywa pombe ili upungukiwe akili? Umesahau zile za kupeana mkiwa ibadani,? Umesahau kauli ya kiongozi wenu kuruhusu ushoga? Afu akili yko ni ndogo sana, Madamu u katika ushirikina huwezi kuielewa Quran, kawaulize wasomi akina Prof. Amertus Keith Moore, ndo wanaijua Quran maan wanatumia akili sio ushawishi
Akili ndogo?yaani mimi nizidiwe na wewe akili!we endelea kujifariji.
 
CIA + MOSSAD wamekua sehemu ya kufanikisha mipango hiyo miovu na ni baada ya kutaka kwanza kulinda viwanda vyao vya silaha mbalimbali, mfano unaandaa kundi moja usiku na kulipa silaha usiku kwa usiku hawa unawapachika jina waasi hawa unawaweka sehemu yenye rasilimali madini au mafuta, kukicha asubuhi unakwenda kwenye ofisi za viongozi wengine mnaongea kulinda amani na wao unawauzia silaha mchana na hapo unatumia watu tofauti lakini wanaofahamiana na kufahamu kinachoendelea hapo ndio unaanzisha vuguvugu la kuzuia kutorise kiuchumi kwa wale waliopewa rasilimali mfano mafuta kwa kuwafanya wagombane milele. Upande wako unawaita waasi lakini upande wa pili unawaita magaidi ili upate access ya kuingia na kupeleleza na kujichotea rasilimali zao kiulaini.
 
Pale lilipozaliwa Taifa la marekani 1776, likapitia misukosuko mingi na kujiimarisha hadi miaka ya 1940 kua kiongozi wa dunia na kujipa nafasi ya kiranja wa dunia na kuutawala kabisa mfumo wa fedha shida ilianzia hapo, watu wengi duniani husema marekani anavuruga amani ya dunia sio kwa bahati mbaya bali tafiti mbalimbali ziliwahi kuweka wazi hayo yote.
Wamarekani ndo walichochea watu wakavamie vituo vya polisi kuua na kupora silaha? Wamarekani ndo walisababisha watu wakavamie patrol ya polisi na kuua polisi nane na kuwaua? Wamarekani ndo walisababisha watu waanze kuua viongozi wa vijiji huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji?

Tuwe sensible kidogo basi.
 
Wewe kumbe uko kibiti ambapo kati ya watuhumiwa hata wakristo walikuepo au haulifahamu hilo?
 
Wamarekani ndo walichochea watu wakavamie vituo vya polisi kuua na kupora silaha? Wamarekani ndo walisababisha watu wakavamie patrol ya polisi na kuua polisi nane na kuwaua? Wamarekani ndo walisababisha watu waanze kuua viongozi wa vijiji huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji?

Tuwe sensible kidogo basi.

Hiyo hoja yako haihalalishi uujumuishe uislamu wote na ugaidi sawa na zamani watu walihusisha uislamu na ushoga lakini baada ya skendo za mapadre na maaskofu kuingilia kinyume watoto wadogo sijasikia watu wakirusha mawe kwa wenzao
 
Umesahau zile za kuruhusu kunywa pombe ili upungukiwe akili? Umesahau zile za kupeana mkiwa ibadani,? Umesahau kauli ya kiongozi wenu kuruhusu ushoga? Afu akili yko ni ndogo sana, Madamu u katika ushirikina huwezi kuielewa Quran, kawaulize wasomi akina Prof. Amertus Keith Moore, ndo wanaijua Quran maan wanatumia akili sio ushawishi
Kwahyo ukinywa pombe huko peponi (kunakosemekana kutakuwa na mito ya pombe) utakuwa hupungukiwi akili?😂😂
 
Hiyo hoja yako haihalalishi uujumuishe uislamu wote na ugaidi sawa na zamani watu walihusisha uislamu na ushoga lakini baada ya skendo za mapadre na maaskofu kuingilia kinyume watoto wadogo sijasikia watu wakirusha mawe kwa wenzao
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo
 
Niliwahi kufika kijiji cha Ziba na ibologero, wale jamaa wanaojenga misikiti nadhani ni waarabu, wanajenga msikiti na kuchimba visima vya maji, sasa ikawapo jumuia kwa mzee mmoja kwenye kuelekea kufunga wakaaswa wawe makini maana magaidi wameanza kuingia pale kijijini habari ilinistua sana maana jamaa kua na ndevu ilikua kosa au uislamu wao ndio kosa halafu wanajenga na kuondoka zao na kuwaachia vitu vyote kijijini, toka hapo nilijifunza sana kuhukumu watu kwa ujumla wao ni kosa kubwa sana unaweza kulifanya kwa kutofahamu
 
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo

Toa mfano wa mafundisho ya uislamu yanayohamasisha ugaidi halafu ujue mimi sio muslim lakini nilipata elimu kubwa na mtambuka ya mambo ya kidunia na kujisomea journals mbali mbali za wanazuoni na kufahamu mengi,
 
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo

Kama magaidi wapo wa dini zote why tuwahukumu waislamu pekee au wale Tamil Tygers wao ni waasi sio magaidi halafu wale wa kenya mungiki ni waasi hawakua magaidi ?
 
Back
Top Bottom