Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Ukisoma vyema kuhusu tafsiri ya neno Hili ugaidi utagundua Russia,us, NATO na hata Rwanda Ni mataifa ya kigaidi.
Ni ajabu kwamba uislamu kwa miaka hasa ya baada ya Vita baridi umenasibishwa na ugaidi.
Basi tuwajumuishe muwe pamoja nao
 
Ni jambo la kustaajabisha kwa kweli. Anakataa kabisa eti hakuna ugaidi. Hakuna sehemu ugaidi unasambaa bila masheikh, maimam na wanazuoni wenye misimamo mikali. Wao ndo wanatumia dini kuwajaza ujinga vijana na kuwasapoti na hii nguvu ya kufanya matukio ya kigaidi.

Sikatai wapo masheikh waliokamatwa kwa kuonewa katika sakata la polisi kusaka intelligence na kutafuta ufumbuzi. Sio tu kwenye ugaidi. Matukio mengi ya uhalifu watu huwa wanakamatwa na wengine wanaachiwa. Na wapo masheikh waliokuwa wanajihusisha. Sasa ni bora kuweka plausibility kuliko kufikia conclusion eti hakuna ugaidi au fulani sio gaidi. Unajuaje?

Narudia hakuna sehemu ugaidi unakuwa bila ya viongozi kama masheikh. Wao ndo wanawabrainwash vijana.
 
Wewe ndiye muislamu sasa!akili uliotumia kuandika ni ya kiislam kabisaa!
 
Hawa mabwana walishatufikisha hapa [emoji1484]


Bila Mwendazake kusimama kidete na kuwashughulikia, leo hii tungekuwa na hali mbaya sana aisee.
Asante sana kwa video yako ambayo ilitoka wakati wa Ugaidi wa MKIRU.
Mimi niliiona wakati huo wakati hao vijana wanafanya mauaji ya Kijihadi MKIRU na Tanga.

Naona wakati huo Mzee wetu alikuwa nje ya nchi.
 
Asante sana kwa video yako ambayo ilitoka wakati wa Ugaidi wa MKIRU.
Mimi niliiona wakati huo wakati hao vijana wanafanya mauaji ya Kijihadi MKIRU na Tanga.

Naona wakati huo Mzee wetu alikuwa nje ya nchi.
Mzee anapeta hiyo๐Ÿ˜‚anajifanya hajui. Uzuri wanajua sana wanachokifanya. Wakiwa in public ndo wanadownplay what they are doing.
 
Mzee anapeta hiyo[emoji23]anajifanya hajui. Uzuri wanajua sana wanachokifanya. Wakiwa in public ndo wanadownplay what they are doing.
Wakifikaga hapo wanajitoa ufahamu kabisa.
Yaani mtu hata awe msomi kiasi gani akifika kwenye maslahi ya kidini Elimu yote inawekwa pembeni.

Msomi hatakiwi kuegemea popote anapo chambua mambo ya kijamiii.

Msomi akifikia hapo ada yote aliyolipiwa kughalimia mafunzo yake inakuwa haina maana tena.
 
"Sheikh Chambuso alikuwa anazugumza na ule mkusanyiko kwa Kiarabu"

Sijaelewa hapo juu
Maana yake ni kwamba.
Kwa mtanzania mwislamu kufikia hatua ya kuijua vizuri lugha ya dini ya kiislamu (Kiarabu) ni kuupenda na kuutekeleza uislamu kwa kiwango cha juu sana cha kufikia hatua ya kuto kufanya kosa lolote katika jamii.
 
Mkuu hao jamaa aya za kitabu chao ndio tatizo,kuna aya zinaruhusu kufanya uhalifu na uhalifu huo huwa kwao ni haki.Tanzania ipo misikiti inayohubiri hayo mambo tena bila kificho ajabu kuna upofu au makusudi fulani hivi ya kujifanya hayaonekani.
 
Mkuu hao jamaa aya za kitabu chao ndio tatizo,kuna aya zinaruhusu kufanya uhalifu na uhalifu huo huwa kwao ni haki.Tanzania ipo misikiti inayohubiri hayo mambo tena bila kificho ajabu kuna upofu au makusudi fulani hivi ya kujifanya hayaonekani.
Hakuna upofu au makusudi.
Ni mkakati kamili kabisa.
Huko Mtwara kunakijiji wakisikia tu jina linaimbwa.
Allahu Akbar... kwa haraka na jazba. wanakimbilia mapangoni kijificha.
Mtu makini angetembelea hayo maeneo kwanza na kujiridhisha.

Ni mkakati kamili kabisa
 
Kama huyu anayejiita Gavana, anaongea kigaidi gaidi tu.
Huyu namtafuta lazima nimtie mkononi.
Nadhani ataisaidia sana Polisi katika mapambano dhidi ya Ugaidi wa kidini.

wewe utakuwa ni wale watu wasiojulikana kwa jina unajiita Che mittoga
 
Baadae...
Hilo nalijua sana.
Nimeandika kitabu cha Abdul Sykes nikaeleza kuwa historia ya TANU ambayo kwa miaka mingi ilikuwa inasomeshwa si historia ya kweli.

Pakawa na mjadala mkali hapa JF.
Leo ukweli umedhihirika na nimepewa nafasi na fursa ya kusomesha historia ya kweli.

Vyombo vya serikali TBC, Habari Leo panoja na vyombo binafsi vinanihoji kutaka kujua historia ya wazalendo ambao walifutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Wanakuja nyumbani kwangu kunihoji niwape historia ya kweli.

Watu leo wanataka kusoma historia ya Kleist Sykes na wanae.

Watu wanataka kujua historia ya wanawake wapigania uhuru akina Titi Mohamed, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande, Halima Selengia na Halima Khamis, Tatu bint Mzee na Sharifa bint Mzee, Amina Kinabo kwa kuwataja wachache

Ukweli umedhihiri na uongo umetoweka.

Haki daima itakuwa juu ya batil.
 

Mzee acha kukwepa hoja kupitia hizo historia zako za kubumba jibu hoja za ugaidi katika uislam
 

Hatukatai๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huenda uko sahihi kwenye hayo ya TANU maana hakukuwa na CCTV. Ila tunaoneshwa footage za magaidi siku hizi. Na zingine wanajirekodi wenyewe kabla ya kwenda kuua watu wasiohusika kwa kisingizio kuwa wanafanya kazi ya allah.

Alafu wewe unakuja kuwatetea hapa. Maswali magumu yakianza unakimbilia kumsingizia Nyerere.

Kubali kuwa magaidi wanatengenezwa na masheikh na viongozi wa dini wenye misimamo mikali.

Usituambie hao wamesingiziwa eti kisa ulikuwa unafahamiana nao. Kuna watu mchana ni wastaarabu na heshima zao lakini usiku ni majambazi wenye roho za kinyama.

Unakamatwa kama unaviashiria vya ugaidi sio kwa vile wewe ni muislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ