Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Ukisoma vyema kuhusu tafsiri ya neno Hili ugaidi utagundua Russia,us, NATO na hata Rwanda Ni mataifa ya kigaidi.
Ni ajabu kwamba uislamu kwa miaka hasa ya baada ya Vita baridi umenasibishwa na ugaidi.
Basi tuwajumuishe muwe pamoja nao
 
Mzee saidi, sifahamu kuwa kwa kuishi kwake kwingi hafahamu hii habari.
Mzee kwa kuishi kwake kwingi ilibidi ashiriki kati kuzuia hii jamii kufundisha mambo ya Jihadi za kidini
Badala yake angetunia kalamu yake kujenga kizazi chenye ustaarabu kuendana na ustaarabu wa dunia wa karne hii.

Kitendo cha mwislamu kufumbia macho haya matendo na kujificha kwenye baadhi ya waislamu kuonewa ni kuunga mkono hayo matendo.
Ni jambo la kustaajabisha kwa kweli. Anakataa kabisa eti hakuna ugaidi. Hakuna sehemu ugaidi unasambaa bila masheikh, maimam na wanazuoni wenye misimamo mikali. Wao ndo wanatumia dini kuwajaza ujinga vijana na kuwasapoti na hii nguvu ya kufanya matukio ya kigaidi.

Sikatai wapo masheikh waliokamatwa kwa kuonewa katika sakata la polisi kusaka intelligence na kutafuta ufumbuzi. Sio tu kwenye ugaidi. Matukio mengi ya uhalifu watu huwa wanakamatwa na wengine wanaachiwa. Na wapo masheikh waliokuwa wanajihusisha. Sasa ni bora kuweka plausibility kuliko kufikia conclusion eti hakuna ugaidi au fulani sio gaidi. Unajuaje?

Narudia hakuna sehemu ugaidi unakuwa bila ya viongozi kama masheikh. Wao ndo wanawabrainwash vijana.
 
Nchi hii wanaoleta matatizo ni wakristo. Walianza kwa kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu chini ya kinara wao Laanatullahi Nyerere.

Na mpaka leo vita wanaiendeleza kwa kulazimisha kuweka kibaraka wao kila uchaguzi unapofika .

Hivi vita dhidi ya uislamu haviwezi kuisha kwani wakristo wanalazimisha waislamu waingie kwenye dini yao kwa kutumia mbinu badala ya hoja , kwani hawana .
Wewe ndiye muislamu sasa!akili uliotumia kuandika ni ya kiislam kabisaa!
 
Hawa mabwana walishatufikisha hapa [emoji1484]

Bila Mwendazake kusimama kidete na kuwashughulikia, leo hii tungekuwa na hali mbaya sana aisee.
Asante sana kwa video yako ambayo ilitoka wakati wa Ugaidi wa MKIRU.
Mimi niliiona wakati huo wakati hao vijana wanafanya mauaji ya Kijihadi MKIRU na Tanga.

Naona wakati huo Mzee wetu alikuwa nje ya nchi.
 
Mzee anapeta hiyo😂anajifanya hajui. Uzuri wanajua sana wanachokifanya. Wakiwa in public ndo wanadownplay what they are doing.
 
Mzee anapeta hiyo[emoji23]anajifanya hajui. Uzuri wanajua sana wanachokifanya. Wakiwa in public ndo wanadownplay what they are doing.
Wakifikaga hapo wanajitoa ufahamu kabisa.
Yaani mtu hata awe msomi kiasi gani akifika kwenye maslahi ya kidini Elimu yote inawekwa pembeni.

Msomi hatakiwi kuegemea popote anapo chambua mambo ya kijamiii.

Msomi akifikia hapo ada yote aliyolipiwa kughalimia mafunzo yake inakuwa haina maana tena.
 
"Sheikh Chambuso alikuwa anazugumza na ule mkusanyiko kwa Kiarabu"

Sijaelewa hapo juu
Maana yake ni kwamba.
Kwa mtanzania mwislamu kufikia hatua ya kuijua vizuri lugha ya dini ya kiislamu (Kiarabu) ni kuupenda na kuutekeleza uislamu kwa kiwango cha juu sana cha kufikia hatua ya kuto kufanya kosa lolote katika jamii.
 
Labda uzungumze kuhusu tanzania.
Duniani na Afrika kwa ujumla kote huko baadhi ya waislamu wanakamatwa kwa tuhuma za ugaidi wa kidini.

Unasikia kinacho endelea Nigeria Somalia, Kenya, Msumbiji nk.

Hivi kwa mawazo yako huko kote Waislamu wanaonewa kwa chuki za kidini ?

Abdalah Shakeu kule Nigeria mwislamu anatangaza hadharani kuwa yeye ni kiongozi wa Magaidi wa Boko Haram.
Moja ya tukio alilolifanya ni kuwateka wasichana wa secondari.

Naye anaonewa ?
Alshababu wa Somalia ni Waislamu wenyewe wanasema hivyo nao wanaonewa ?

Muhamedi ghailan mtanzania mwislamu Mahakama za Marekani zilithibitisha kuwa ni Gaidi na kuhusika kuulipua ubarozi wa Marekani naye alionewa ?

Tukio la Garisa Kenya Watanzania Waislamu walikamatwa live wakiwaua wanachuo kwa maslahi ya Al-Shababu nao walionewa ?

Au wanatakiwa wakamatwe nje ya nchi ndio watakuwa wanatendewa haki ?

Nani alikuwa anamjua Hamza Muhammedi (mwislamu) pamoja na upole wake na kuwa mwanachama wa CCM kuwa alikuwa na mafunzo ya Ugaidi hadi alipo amua kuua Polisi hadharani.

Matendo ya kigaidi ya Kibiti, Kilwa, Mkuranga Amboni Tanga, yote yalitokea kwanye Jamii ya Kiislamu. Magaidi wa kiislamu walijificha huko kwa mgongo wa Uislamu.

Ukweli ni kwamba hayo makundi ya kigaidi ya kiislamu yanawafuasi wake hapa Tanzania ambao ni waislamu.

Mwezi wa 10 mwaka 2022, Polisi huko Zanzibar ilitoa onyo la Vijana wa kizanzibari kuto kushawishiwa na vikundi vya kigaidi kwenda kuchukua mafunzo ya ugaidi baada ya vyanzo vya upeleleze kubaini ushawishi huo.

{Waislamu tengenezeni kizazi kinacho tambua kuwa watu wote wana haki sawa ya kuishi hapa duniani. Kama kuna madai ya kisiasa ziko njia sahihi za kudai ama kwa kutumia wawakilishi kama wabunge au kujiunga na vyama hivyo.

Hadi sasa mimi sioni umuhimu wa kauli za kujiandaa na vita vya Jihadi kunakofunshwa na baadhi ya Mashehe wa Kiislamu.
Jihadi dhidi ya nani ?

Hizi kauli za Waislamu kuonewa bila kitoa uonevu wenyewe ni moja ya vyanzo vya vita vya kulinda jamii flani ya kidini isionewe na ndio Ugaidi wenyewe}

Somesheni kizazi chenu kijikwamue na Ujinga wa kufikiria JIHADI katika hii dunia ya sayansi na technolojia.
Mkuu hao jamaa aya za kitabu chao ndio tatizo,kuna aya zinaruhusu kufanya uhalifu na uhalifu huo huwa kwao ni haki.Tanzania ipo misikiti inayohubiri hayo mambo tena bila kificho ajabu kuna upofu au makusudi fulani hivi ya kujifanya hayaonekani.
 
Hakuna upofu au makusudi.
Ni mkakati kamili kabisa.
Huko Mtwara kunakijiji wakisikia tu jina linaimbwa.
Allahu Akbar... kwa haraka na jazba. wanakimbilia mapangoni kijificha.
Mtu makini angetembelea hayo maeneo kwanza na kujiridhisha.

Ni mkakati kamili kabisa
 
Kama huyu anayejiita Gavana, anaongea kigaidi gaidi tu.
Huyu namtafuta lazima nimtie mkononi.
Nadhani ataisaidia sana Polisi katika mapambano dhidi ya Ugaidi wa kidini.

wewe utakuwa ni wale watu wasiojulikana kwa jina unajiita Che mittoga
 
Mzee wangu Tutasugua sana kuwaelimisha watu waliomezeshwa sumu ya chuki za kidini alafu wkawa hawajuhi kama wao ni wadini. Ila Tamaa tusikate They have to know how Islaam is so beautiful regardless wanauchafuaje. Ukweli ni kuwa kauli ya waswahili ya: "𝙏𝙚𝙣𝙜𝙚𝙣𝙚𝙯𝙖 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤, 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙚, 𝙝𝙖𝙩𝙞𝙢𝙖𝙮𝙚 𝙪𝙬𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙝𝙪𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙜𝙚𝙪𝙠𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙪𝙠𝙪𝙗𝙖𝙧𝙞" hii inafanya kazi katika vichwa vingi vya jamaa hawa, na ni kwa mbinu hii tu waafrika waliaminishwa na Nyerere kuhusu uovu wa Amin Idd wa Uganda. Hivyo Mzee Said Mohamed, naamini bado utaendelea kutufunza bila kujali wanaelewa au wanapinga tu bila kusoma.

Zingatia maneno ya 𝗣𝗿𝗼𝗳. 𝗔𝗹𝗱𝗼𝘂𝘀 𝗛𝘂𝘅𝗹𝗲𝘆 hapo chini kwenye ichaView attachment 2464096
Baadae...
Hilo nalijua sana.
Nimeandika kitabu cha Abdul Sykes nikaeleza kuwa historia ya TANU ambayo kwa miaka mingi ilikuwa inasomeshwa si historia ya kweli.

Pakawa na mjadala mkali hapa JF.
Leo ukweli umedhihirika na nimepewa nafasi na fursa ya kusomesha historia ya kweli.

Vyombo vya serikali TBC, Habari Leo panoja na vyombo binafsi vinanihoji kutaka kujua historia ya wazalendo ambao walifutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Wanakuja nyumbani kwangu kunihoji niwape historia ya kweli.

Watu leo wanataka kusoma historia ya Kleist Sykes na wanae.

Watu wanataka kujua historia ya wanawake wapigania uhuru akina Titi Mohamed, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande, Halima Selengia na Halima Khamis, Tatu bint Mzee na Sharifa bint Mzee, Amina Kinabo kwa kuwataja wachache

Ukweli umedhihiri na uongo umetoweka.

Haki daima itakuwa juu ya batil.
 
Mzee acha kukwepa hoja kupitia hizo historia zako za kubumba jibu hoja za ugaidi katika uislam
 
Baadae...
Hilo nalijua sana.
Nimeandika kitabu cha Abdul Sykes nikaeleza kuwa historia ya TANU ambayo kwa miaka mingi ilikuwa inasomeshwa si historia ya kweli.

Pakawa na mjadala mkali hapa JF.
Leo ukweli umedhihirika na nimepewa nafasi na fursa ya kusomesha historia ya kweli.

Vyombo vya serikali TBC, Habari Leo panoja na vyombo binafsi vinanihoji kutaka kujua historia ya wazalendo ambao walifutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Wanakuja nyumbani kwangu kunihoji niwape historia ya kweli.

Watu leo wanataka kusoma historia ya Kleist Sykes na wanae.

Watu wanataka kujua historia ya wanawake wapigania uhuru akina Titi Mohamed, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande, Halima Selengia na Halima Khamis, Tatu bint Mzee na Sharifa bint Mzee, Amina Kinabo kwa kuwataja wachache

Ukweli umedhihiri na uongo umetoweka.

Haki daima itakuwa juu ya batil.

Hatukatai😂😂huenda uko sahihi kwenye hayo ya TANU maana hakukuwa na CCTV. Ila tunaoneshwa footage za magaidi siku hizi. Na zingine wanajirekodi wenyewe kabla ya kwenda kuua watu wasiohusika kwa kisingizio kuwa wanafanya kazi ya allah.

Alafu wewe unakuja kuwatetea hapa. Maswali magumu yakianza unakimbilia kumsingizia Nyerere.

Kubali kuwa magaidi wanatengenezwa na masheikh na viongozi wa dini wenye misimamo mikali.

Usituambie hao wamesingiziwa eti kisa ulikuwa unafahamiana nao. Kuna watu mchana ni wastaarabu na heshima zao lakini usiku ni majambazi wenye roho za kinyama.

Unakamatwa kama unaviashiria vya ugaidi sio kwa vile wewe ni muislamu
 
Back
Top Bottom