Kisa cha Malaika JIBRIL. Nimesoma hadi nikapigwa na kibaridi flani

Joined
Jun 22, 2023
Posts
38
Reaction score
64
Katika Utekelezaji wa Majukumu yake Mwenyezi Mungu muweza wa yote amekasimisha baadhi ya majukumu hayo kwa Malaika wake.

Sasa katika moja ya hao Malaika ndio huyu. Anaitwa ISRAEL A. S... Dah anatisha sana huyu kiumbe. Ndio aliyepewa jukumu la kutoa Uhai /roho na kupaa nazo kuzipeleka kwa Muumba.

Kisa chake hiki nimekikuta mahali nikaona nishare hapa kwa ndugu zangu Waislam na hata wasio waislam wapate Ukumbusho. Karibuni

Aliwahi kuulizwa malakul maut na ALLAH S.W Jee uliwahi kulia au kucheka pindi unapotoa roho za waja wangu?
Akajibu "niliwahi kulia, kucheka na kupatwa na fazaa".

Nilicheka siku moja nilipokwenda kwa mtu mmoja kuchukuwa roho yake nikamkuta anaongea na fundi wa viatu akimuambia nishonee vizuri nivae mwaka mzima, nitanunua vipya mwakani nikacheka na kuichukuwa roho yake kabla hajavivaa.

Na kilichoniliza ni siku Ulinituma kuchukuwa roho ya mwanamke mmoja aliekuwa pangoni peke yake akimnyonyesha mwanawe na hakuna mtu aliekuwa anajua mahali alipo basi nikaitoa roho yake huku mtoto akilia kwa uchungu na mimi nikalia.

Na kilichonipa fazaa ni siku ulionituma nikachukuwe roho ya mcha Mungu sana wakati nilipoingia chumbani mwake nikakuta chumba chake kimegubikwa na nuru nikapata tabu kumfikia nilipokuwa natoa roho yake fazaa kubwa ikanishika.

ALLAH S.W akamuuliza jee unamfahamu mtu huyo?
Akajibu malakul maut: lah simfahamu zaidi ya kuwa ni mwanachuoni.
ALLAH S.W akamuambia huyo ni yule mtoto aliyekuwa akinyonyeshwa na mama yake pangoni na ukaichukuwa roho ya mama yake.

Huyo ndio malakul maut anaewatenganisha wapendanao mama na mtoto wake, mtu na mkewe, mtu na rafiki yake mtu na mzazi wake.

Basi usimsahau malaika huyu hakika yeye hakusahau inapokuja amri kwake kaniitie mja wangu fulani basi hushuka kwa haraka na kutii amri ya ALLAH S.W tukumbuke ipo siku na saa atatutembelea wakati wowote saa yoyote dakika yoyote sekunde yoyote tukae tukilitaffakar hili kwani huenda chochote kile tunachokifanya kikawa ndio tendo letu la mwisho au ikawa ndio kauli ya mwisho

Tumuombe ALLAH S.W atupe khatma njema katika matendo yetu ya mwisho na atujaalie kauli yetu ya mwisho iwe LAAILAHA ILLA LLAH MUHAMMADU RASSULU-LLAH

AMIN.

FADHAKIR FAINNA DHIKRA TANFAUL MUUMININ.
Pongezi kwa atakayeisoma,
akaifahamu na akakimbilia
kuitendea kazi... na Allah
amjaze kheri atakayeituma hii kwa wengine.
 
Hizi ni story tuu. ikiwa yeye anajua atamtuma huyo malaika aje aue mtu pangoni, aache na kiumbe kisichokua na hatia kwa nini aliruhusu kije duniani kuteseka ikiwa alijua atafanya hivyo.

Vipi na wanyama tunawaowachinja yeye ndio anatuma tuwatoe uhai, ikiwa tumepewa nguvu ya kuvitawala vipi wale wanaokufa kwa kuchinjwa ni yeye huyo huyo au?
 
Kuna watu ambao hawatakuwa interested na hili bandiko, sio kosa ila kupita kimya kimya watashindwa na waleta kebehi, matusi na unaweza shangaa kukawa na mjadala mkubwa Wa kuambatana na matusi kana kwamba Uzi umeletwa katika Questionnaire oriented kumbe Uzi umeletwa kama habari watu wasome wajue!
 
Hizi ni story tuu. ikiwa yeye anajua atamtuma huyo malaika aje aue mtu pangoni, aache na kiumbe kisichokua na hatia kwa nini aliruhusu kije duniani kuteseka ikiwa alijua atafanya hivyo.

Mwenyezi Mungu ni muweza wa yote. Wala huyo binadamu hatopata tabu kama unavyofikiria kwani yeye anakuwa ameshajua atakuzwa katika mazingira gani baada ya pale.

Vipi na wanyama tunawaowachinja yeye ndio anatuma tuwatoe uhai, ikiwa tumepewa nguvu ya kuvitawala vipi wale wanaokufa kwa kuchinjwa ni yeye huyo huyo au?

Wanyama hawa tumepewa nguvu ya kuwamiliki na kuwatumia katika maisha yetu ya kila siku na katika njia zifaazo.
 
Hizi ni story tuu. ikiwa yeye anajua atamtuma huyo malaika aje aue mtu pangoni, aache na kiumbe kisichokua na hatia kwa nini aliruhusu kije duniani kuteseka ikiwa alijua atafanya hivyo.

Vipi na wanyama tunawaowachinja yeye ndio anatuma tuwatoe uhai, ikiwa tumepewa nguvu ya kuvitawala vipi wale wanaokufa kwa kuchinjwa ni yeye huyo huyo au?
Kuna vita ilitokea huko Kosovo
Waliuwawa watu wengi sana na moja ya visa ilikuwa mama aliejificha kwenye pango na mtoto mchanga alipoondoka kutafuta chakula alifariki na mtoto huyo alilelewa na mbwa akiwa ananyonya maziwa ya mbwa akiwa na wanae

Kisa hiki ni kweli na Dunia hii kuna mengi ya kujifunza na Imani ni kwa baadhi
 
Katika Utekelezaji wa Majukumu yake Mwenyezi Mungu muweza wa yote amekasimisha baadhi ya majukumu hayo kwa Malaika wake.

Sasa katika moja ya hao Malaika ndio huyu. Anaitwa ISRAEL A. S... Dah anatisha sana huyu kiumbe. Ndio aliyepewa jukumu la kutoa Uhai /roho na kupaa nazo kuzipeleka kwa Muumba.

Kisa chake hiki nimekikuta mahali nikaona nishare hapa kwa ndugu zangu Waislam na hata wasio waislam wapate Ukumbusho. Karibuni

Aliwahi kuulizwa malakul maut na ALLAH S.W Jee uliwahi kulia au kucheka pindi unapotoa roho za waja wangu?
Akajibu "niliwahi kulia, kucheka na kupatwa na fazaa".
Nilicheka siku moja nilipokwenda kwa mtu mmoja kuchukuwa roho yake nikamkuta anaongea na fundi wa viatu akimuambia nishonee vizuri nivae mwaka mzima, nitanunua vipya mwakani nikacheka na kuichukuwa roho yake kabla hajavivaa.

Na kilichoniliza ni siku Ulinituma kuchukuwa roho ya mwanamke mmoja aliekuwa pangoni peke yake akimnyonyesha mwanawe na hakuna mtu aliekuwa anajua mahali alipo basi nikaitoa roho yake huku mtoto akilia kwa uchungu na mimi nikalia.

Na kilichonipa fazaa ni siku ulionituma nikachukuwe roho ya mcha Mungu sana wakati nilipoingia chumbani mwake nikakuta chumba chake kimegubikwa na nuru nikapata tabu kumfikia nilipokuwa natoa roho yake fazaa kubwa ikanishika.
ALLAH S.W akamuuliza jee unamfahamu mtu huyo?
Akajibu malakul maut: lah simfahamu zaidi ya kuwa ni mwanachuoni.
ALLAH S.W akamuambia huyo ni yule mtoto aliyekuwa akinyonyeshwa na mama yake pangoni na ukaichukuwa roho ya mama yake.

Huyo ndio malakul maut anaewatenganisha wapendanao mama na mtoto wake, mtu na mkewe, mtu na rafiki yake mtu na mzazi wake.
Basi usimsahau malaika huyu hakika yeye hakusahau inapokuja amri kwake kaniitie mja wangu fulani basi hushuka kwa haraka na kutii amri ya ALLAH S.W tukumbuke ipo siku na saa atatutembelea wakati wowote saa yoyote dakika yoyote sekunde yoyote tukae tukilitaffakar hili kwani huenda chochote kile tunachokifanya kikawa ndio tendo letu la mwisho au ikawa ndio kauli ya mwisho
Tumuombe ALLAH S.W atupe khatma njema katika matendo yetu ya mwisho na atujaalie kauli yetu ya mwisho iwe LAAILAHA ILLA LLAH MUHAMMADU RASSULU-LLAH

AMIN.

FADHAKIR FAINNA DHIKRA TANFAUL MUUMININ.
Pongezi kwa atakayeisoma,
akaifahamu na akakimbilia
kuitendea kazi... na Allah
amjaze kheri atakayeituma hii kwa wengine.
Dini la uongo
 
Umesoma andiko la mleta mada ajazungumzia mama wa kosovo wala vita.

Unaweza tupa ushahidi wa maneno, video, sautu au picha kuonesha ukweli wa ilo la kosovo maana umeleta mada nyingine kabisa
 
Kwa hiyo malaika nao wana emotions kama wanadamu. Nilifikiri labda wao hawana emotions kwakuwa ni kama maroboti hawana utashi ni kutekeleza tu.
 
Malaika kimsingi hawana emotions Ndiyo mana hata itokee vipi hawezi kushindwa tekeleza agizo la Mwenyezi Mungu.
 
Kuna vita ilitokea huko Kosovo
Waliuwawa watu wengi sana na moja ya visa ilikuwa mama aliejificha kwenye pango na mtoto mchanga alipoondoka kutafuta chakula alifariki na mtoto huyo alilelewa na mbwa akiwa ananyonya maziwa ya mbwa akiwa na wanae

Kisa hiki ni kweli na Dunia hii kuna mengi ya kujifunza na Imani ni kwa baadhi
Kabisa yani
 
Malaika kimsingi hawana emotions Ndiyo mana hata itokee vipi hawezi kushindwa tekeleza agizo la Mwenyezi Mungu.
Emotions ndio kama hizo hisia za huruma, kucheka n.k. hata contract killers huwa wana emotions lakini huwa wanafanya kazi yao. Ndio maana nimeshangaa. All in all mimi ni fan wa hizi hadithi za Kiislamu nilikuwa hata naenda mskitini Ijumaa baada ya swala kuna sheikha alikuwa anaanza kutupa haya masimulizi
 
Sawa sawa mkuu ni stori nzuri sana zinazotufanya tujitafakari na kufanya mema
 
Back
Top Bottom