jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
JIBRIL ni messenger. Yeye kazi yake ni kufikisha ujumbe mfano kwa Mitume enzi hizo.
Kwahiyo sahivi hana kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JIBRIL ni messenger. Yeye kazi yake ni kufikisha ujumbe mfano kwa Mitume enzi hizo.
Waislam YANI ISRAEL NYIE MMEMKOPI NA KUMUITA ISRAEL MTOA ROHO [emoji3] MUHAMADI ALAANIWE AISE HII DINI ALIWAINGIZA WATU CHAKA
YANI BABA YETU ISRAEL MNAMUITA ISRAEL MTOA ROHO - KWELI KURANI INAKOPI VITU KUTOKA BIBLIA KITABU CHA MCHONGO HICHO
😂😂😂
Eee lazima ushtuke, nilikuita ujue kwanini Mayahudi a.k.a Israel hapendwi na watoto wa Mamdogo Hajra😂😂😂😂
Hapo pa ostadhat pamenishtua kidogo Mtumishi..!!
Achana na hadithi za kitaahira.Katika Utekelezaji wa Majukumu yake Mwenyezi Mungu muweza wa yote amekasimisha baadhi ya majukumu hayo kwa Malaika wake.
Sasa katika moja ya hao Malaika ndio huyu. Anaitwa ISRAEL A. S... Dah anatisha sana huyu kiumbe. Ndio aliyepewa jukumu la kutoa Uhai /roho na kupaa nazo kuzipeleka kwa Muumba.
Kisa chake hiki nimekikuta mahali nikaona nishare hapa kwa ndugu zangu Waislam na hata wasio waislam wapate Ukumbusho. Karibuni
Aliwahi kuulizwa malakul maut na ALLAH S.W Jee uliwahi kulia au kucheka pindi unapotoa roho za waja wangu?
Akajibu "niliwahi kulia, kucheka na kupatwa na fazaa".
Nilicheka siku moja nilipokwenda kwa mtu mmoja kuchukuwa roho yake nikamkuta anaongea na fundi wa viatu akimuambia nishonee vizuri nivae mwaka mzima, nitanunua vipya mwakani nikacheka na kuichukuwa roho yake kabla hajavivaa.
Na kilichoniliza ni siku Ulinituma kuchukuwa roho ya mwanamke mmoja aliekuwa pangoni peke yake akimnyonyesha mwanawe na hakuna mtu aliekuwa anajua mahali alipo basi nikaitoa roho yake huku mtoto akilia kwa uchungu na mimi nikalia.
Na kilichonipa fazaa ni siku ulionituma nikachukuwe roho ya mcha Mungu sana wakati nilipoingia chumbani mwake nikakuta chumba chake kimegubikwa na nuru nikapata tabu kumfikia nilipokuwa natoa roho yake fazaa kubwa ikanishika.
ALLAH S.W akamuuliza jee unamfahamu mtu huyo?
Akajibu malakul maut: lah simfahamu zaidi ya kuwa ni mwanachuoni.
ALLAH S.W akamuambia huyo ni yule mtoto aliyekuwa akinyonyeshwa na mama yake pangoni na ukaichukuwa roho ya mama yake.
Huyo ndio malakul maut anaewatenganisha wapendanao mama na mtoto wake, mtu na mkewe, mtu na rafiki yake mtu na mzazi wake.
Basi usimsahau malaika huyu hakika yeye hakusahau inapokuja amri kwake kaniitie mja wangu fulani basi hushuka kwa haraka na kutii amri ya ALLAH S.W tukumbuke ipo siku na saa atatutembelea wakati wowote saa yoyote dakika yoyote sekunde yoyote tukae tukilitaffakar hili kwani huenda chochote kile tunachokifanya kikawa ndio tendo letu la mwisho au ikawa ndio kauli ya mwisho
Tumuombe ALLAH S.W atupe khatma njema katika matendo yetu ya mwisho na atujaalie kauli yetu ya mwisho iwe LAAILAHA ILLA LLAH MUHAMMADU RASSULU-LLAH
AMIN.
FADHAKIR FAINNA DHIKRA TANFAUL MUUMININ.
Pongezi kwa atakayeisoma,
akaifahamu na akakimbilia
kuitendea kazi... na Allah
amjaze kheri atakayeituma hii kwa wengine.
Nikitulia nitasoma kamanda wangu..Eee lazima ushtuke, nilikuita ujue kwanini Mayahudi a.k.a Israel hapendwi na watoto wa Mamdogo Hajra😂
Usiache yaaniNikitulia nitasoma kamanda wangu..
kutompenda Israel ni bure sababu mwisho wa siku roho yako lazima iache mwili
ukiielewa wewe mgalatia inatoshaHivi hata maana ya neno israel huwa manaelezwa kweli humo madrasa,au mana karirishwa tu kwa sababu ya hate kwa wayahudi?
Jibril=malaika Gabriel, huyu ni mpeleka habari.ndugu Jibril na Israel ni malaika wawili tofauti,Jibril kazi yake ni kuleta wahy kwa mtume Muhammad S.A.W huyo Israel yeye kazi ni moya kutoa roho zetu
Nimecheka sana kuona kuna malaika mtoa roho Israel. Hili ni bifu kati ya muisrael na mpalestinaJibril=malaika Gabriel, huyu ni mpeleka habari.
Israel= maana yake mtu aliyeshinda, mshindi.
Hiv Roho kumbe inaweza kulia na kucheka. Mi nilifikiri Roho huwa inafurah na kuhuzunika kinachocheka na kulia ni mwili. Duuh ngoja niachie hapo maana hiz dini nyingine ni mzigo.Katika Utekelezaji wa Majukumu yake Mwenyezi Mungu muweza wa yote amekasimisha baadhi ya majukumu hayo kwa Malaika wake.
Sasa katika moja ya hao Malaika ndio huyu. Anaitwa ISRAEL A. S... Dah anatisha sana huyu kiumbe. Ndio aliyepewa jukumu la kutoa Uhai /roho na kupaa nazo kuzipeleka kwa Muumba.
Kisa chake hiki nimekikuta mahali nikaona nishare hapa kwa ndugu zangu Waislam na hata wasio waislam wapate Ukumbusho. Karibuni
Aliwahi kuulizwa malakul maut na ALLAH S.W Jee uliwahi kulia au kucheka pindi unapotoa roho za waja wangu?
Akajibu "niliwahi kulia, kucheka na kupatwa na fazaa".
Nilicheka siku moja nilipokwenda kwa mtu mmoja kuchukuwa roho yake nikamkuta anaongea na fundi wa viatu akimuambia nishonee vizuri nivae mwaka mzima, nitanunua vipya mwakani nikacheka na kuichukuwa roho yake kabla hajavivaa.
Na kilichoniliza ni siku Ulinituma kuchukuwa roho ya mwanamke mmoja aliekuwa pangoni peke yake akimnyonyesha mwanawe na hakuna mtu aliekuwa anajua mahali alipo basi nikaitoa roho yake huku mtoto akilia kwa uchungu na mimi nikalia.
Na kilichonipa fazaa ni siku ulionituma nikachukuwe roho ya mcha Mungu sana wakati nilipoingia chumbani mwake nikakuta chumba chake kimegubikwa na nuru nikapata tabu kumfikia nilipokuwa natoa roho yake fazaa kubwa ikanishika.
ALLAH S.W akamuuliza jee unamfahamu mtu huyo?
Akajibu malakul maut: lah simfahamu zaidi ya kuwa ni mwanachuoni.
ALLAH S.W akamuambia huyo ni yule mtoto aliyekuwa akinyonyeshwa na mama yake pangoni na ukaichukuwa roho ya mama yake.
Huyo ndio malakul maut anaewatenganisha wapendanao mama na mtoto wake, mtu na mkewe, mtu na rafiki yake mtu na mzazi wake.
Basi usimsahau malaika huyu hakika yeye hakusahau inapokuja amri kwake kaniitie mja wangu fulani basi hushuka kwa haraka na kutii amri ya ALLAH S.W tukumbuke ipo siku na saa atatutembelea wakati wowote saa yoyote dakika yoyote sekunde yoyote tukae tukilitaffakar hili kwani huenda chochote kile tunachokifanya kikawa ndio tendo letu la mwisho au ikawa ndio kauli ya mwisho
Tumuombe ALLAH S.W atupe khatma njema katika matendo yetu ya mwisho na atujaalie kauli yetu ya mwisho iwe LAAILAHA ILLA LLAH MUHAMMADU RASSULU-LLAH
AMIN.
FADHAKIR FAINNA DHIKRA TANFAUL MUUMININ.
Pongezi kwa atakayeisoma,
akaifahamu na akakimbilia
kuitendea kazi... na Allah
amjaze kheri atakayeituma hii kwa wengine.
Hizi ni stories za watu tu, huyo Allah hayupo, huyo malaika hayupo.Katika Utekelezaji wa Majukumu yake Mwenyezi Mungu muweza wa yote amekasimisha baadhi ya majukumu hayo kwa Malaika wake.