Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

wasaanii wotee waliopata pesa kwenye huu music LAZIMA wafilisike.. why? kwa sababu music ni kazi ya kishetani .. na shetani ni mwongo hatunzi ahadi zakee.. nyiee Wasanii wote ambao mmeingia mkataba na shetani kwa kujua au kutojuaa jiandaenii...
kuna msanii mmoja bongo shetani aliahidi kumfanya tajiri number moja duniani.... ajiangalie sana mienendo yake.
 
Kauli za kipumbavu sana hizi

Endeleeni kununua maji na mifagio ya upako wa kishetani
 
Waafrika wana utu kumbe , nilikua sijui🤣

Waafrika wana utu sana na Afrika ni bara lililojaa upendo Duniani huwezi kufananisha na sehemu nyingine. Ukiona hata tumegongana kidogo ujue influence imetoka nje, mambo ya October 29, what's going in South Africa, tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifano hai.
Naongea kwa experience kwasababu nimeishi ughaibuni miaka nenda rudi sijawahi kukutana na love kama ya nyumbani Tanganyika. Una haki ya kuitazama Dunia kwa macho yako, lakini mimi nachangia hapa jinsi gani mawazo na mtazamo wangu unavyoihukumu Dunia
 
Unajua Wamarekani weusi wana asili ya naija. Na mnaija hana utu

Wamarekani weusi siku hizi wanajiita FBA, yaani ni foundational Black Americans. Wanasema hawana relation yoyote na Africa. Bro go deep, ndio maana nimemwambia min -me Africa imejaa upendo kwasababu ukiwasikia hawa watu wanavyoongeq kuhusu sisi, kama wewe ni Mzaramo ukimuona msukuma utamuona ndugu yako wa damu
 
Africa kilichopo ni unafki na sio upendo cc binti kiziwi
 
Africa kilichopo ni unafki na sio upendo cc binti kiziwi

Africa hakuna unaafiki njaa tu ndio inatusumbua. Wazungu ndio wanaafiki, hata weusi waliokuwa kwenye mazingira yao wanafanana nao bro. Unaafiki wetu Tanganyika ni kwasababu ya bread tu. Lakini don't trust them whites au wautu weusi wa Diaspora. Dem clever bro. Wako na jealous Mungu anajua. They can exploit you for years and years, siku moja watakubomoa wakuweke chini bro utajua. Waache ndugu wazaramo hawana noma
 
Back
Top Bottom