dawa yenu,
..kwanini act, chadema, na cuf-maalim wasiungane na kuwa chama kimoja?
..Zitto ni mbunge pekee wa chama chake.
..Maalim Seif na wenzake wameporwa chama chao, kwa maana hiyo hawakuwa na chama.
..Chadema ndiyo wenye wabunge wengi na wamesambaa maeneo mengi kuzidi chama chochote cha upinzani.
..Sasa kwanini Zitto, na Maalim hawakujiunga na Chadema na kuunda chama chenye nguvu kubwa zaidi, badala yake ni kama wameamua kuanza upya na wanataka kuifufua Act?
..Act tayari kina usajili. Lakini practically ni chama kipya kutokana na ukweli kwamba kina mbunge mmoja tu.
..naweza kuwa nimekosea, lakini kwa maoni yangu this was a GOLDEN OPPORTUNITY ya kuwa na chama kikubwa cha upinzani kitakachoi-challenge CCM na hawa ndugu zetu wameiacha nafasi hiyo ipite.
..Maalim Seif, Zitto Kabwe, na Freeman Mbowe, walitengenezewa mazingira, na sababu, za kuunda chama chenye nguvu, lakini hawakuona sababu ya kufanya hivyo.
Cc
tindo,
Nguruvi3,
Mag3,
MTAZAMO