lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Hoja zako ni mwendelezo wa kuipaisha act.Chanzo changu kinaonyesha alikuwa mfalme, ila hebu tuache kubishania rangi ya paka, tujadili uwezo wa paka kukamata panya.... Je unaona jitihada zozote za Chadema katika kuipambania nafasi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Mimi sioni mafanikio ya makubwa ya hicho chama,kama magufuli ataendelea kukaza kuviua hivi vyama.
Labda kama magufuli ana mkono ndani ya act ili kuzidi kuiangamiza chadema. WEKENI URINGO SAWA WA KISIASA MUONE KITAKACHOJIRI
Sent using Jamii Forums mobile app