Kisa cha mfalme Belshaza na yanayofanyika CHADEMA

Kwa hiyo safarii nyie gambas hamtaiba kura wala kupora ushindi kwa msaada wa tiss na police na NEC maana chadema imekuwa, sawa tunasubiri, ila kwanza malizaneni na ACT wazalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda unajisahaulisha kuwa siasa za upinzani zinaangalia mtu kuliko chama kama taasisi.... Leo hii Tundulisu akihama ndio mwisho wa Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chadema ni taasisi imara sana ndg yangu.

Chadema aliondoka Zitto (Naibu Katibu Mkuu) watu wakasema Chadema kusambaratika lakini ikawa kinyume chake.

Aliondoka Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndg Arfi Chadema ikaendelea kusurvive.

Aliondoka Kabour (Katibu Mkuu) wa Chadema watu wakasema Chadema inaenda kufa, lakini ikawa kinyume chake.

Akaondoka Dr Slaa vipofu wakasema mengi sana kuwa Chadema kwishnei, lakini ikawa kinyume chake.

Ndugu yangu Chadema usiijengee hoja kwa hisia.
 
hivi chadema hii ni ile ya akina slaa, zitto na kitila?

haujaona imekufa?
 
Kama sio chama kikuu cha Upinzani, so why are you taking trouble kuandika ujinga wote huu? Kwahio CCM ndio chama kikuaa cha upinzani? Agreed
Hivi umesoma vizuri na kuelewa hicho ulichoki quote? Nimesema CDM sio chama Cha Kwanza Cha upinzani kuwa na nguvu Tanzania. Hapo unachoshindwa kuelewa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyovyote iwavyo ikiwa inahujumiwa au inajimaliza, swali Ni je viongozi wanachukua hatua stahiki kukabiliana na kadhia hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo safarii nyie gambas hamtaiba kura wala kupora ushindi kwa msaada wa tiss na police na NEC maana chadema imekuwa, sawa tunasubiri, ila kwanza malizaneni na ACT wazalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima upinzani uandae mazingira ya kuwa washindani na sio washiriki... Wafuasi wanaoendelea kwenda ACT baadhi ya walikuwa CDM, hivi hii Hamuoni itawafanya wapinzani mgawane kura halafu CCM ishinde kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamekubali kuhujumiwa?

yaani unatongozwa, unakubali. unamlaumu mtongozaji?
 
Lakini ni ukweli uliowazi kuwa kimikakati na kimbinu CDM ya Sasa Ni nyepesi Sana ukilinganisha na ile ya enzi za Dr Slaa.... CDM inaelekea mwisho wa zama zake ikiwa haitoshtuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha

mkuu maalim alikuwa ukawa

maalim ndie haswa wa kuulizwa kwa nini hakwenda chadema?

chadema kuna matatizo, huwa tunayasema bahati mbaya no one cares

zitto hawezi kulaumiwa kwa hili. ni kama cdm mbona ilimbeba EL?
 
Fact

..True.

..Inawezekana malengo ya Maalim ni Zanzibar tu.

..huku Tanganyika wako kwa ajili ya kutimiza masharti ya usajili wa vyama.

..Tuvute muda tuone mwelekeo wao ni upi.
 
Hahahahaha namuona hapa nabii wa uwongo.Acha kutumia maandiko matakatifu kupotosha watu.Mungu hadhihakiwi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo changu kinaonyesha alikuwa mfalme, ila hebu tuache kubishania rangi ya paka, tujadili uwezo wa paka kukamata panya.... Je unaona jitihada zozote za Chadema katika kuipambania nafasi yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitihada gani? Huoni jitihada ya serikali katika apizo la Mkuu kuua upinzani kabla ya 2020?katika hali hiyo unataka jitihada gani zifanyike? CDM ina nguvu hata kabla jitihada hazijafanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo changu kinaonyesha alikuwa mfalme, ila hebu tuache kubishania rangi ya paka, tujadili uwezo wa paka kukamata panya.... Je unaona jitihada zozote za Chadema katika kuipambania nafasi yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Act iko wapi ndugu? act hii inayobebwa na ccm ndiyo unailinganisha na chadema??
 
Lazima upinzani uandae mazingira ya kuwa washindani na sio washiriki... Wafuasi wanaoendelea kwenda ACT baadhi ya walikuwa CDM, hivi hii Hamuoni itawafanya wapinzani mgawane kura halafu CCM ishinde kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Cdm akiungana na act nisawa na kuungana na ccm sasa sijui watakuwa wanafanya nn, halafu aachen kuleta mada za act humu hakuna cha kujadiri bado ni hewa tupu!
 
Wapinzani sijui UKIWA ni mnara wa Babeli,Mbowe anaongea lugha yake,Zitto na Maalim wanaongea lugha yao,Mbatia nae anaongea lugha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…