Kisa cha Michael Essien na John Terry

Kisa cha Michael Essien na John Terry

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
images (74).jpeg
images (73).jpeg

Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea
John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien...

John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaisha haraka haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio ilikua higher....

John Terry alikua akimsikia Michael Essien akizungumza Kwa simu na watu wake wengi huku Afrika ambao Michael Essien alikua anawatumia pesa...

John Terry alikua akishangaa sanaa kiasi cha kujiuliza huko afrika wanaishije au waafrika tuna ishije ishije....
Maana wazungu ki kawaida wanaishi Baba,mama, mtoto au watoto..
Ukiwa mtu mzima unajitegemea na unakua hauna burden kubwa ya wategemezi zaidi ya familia yako (nucleated family)

Swali,
Je? na sisi tufike huko au hayatuhusu...

Ni nini maoni yako...
 
View attachment 2615528View attachment 2615529

Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea
John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien...

John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaishia haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio ilikua higher....

John Terry alikua akimsikia Michael Essien akizungumza Kwa simu na watu wake wengi huku Afrika ambao Michael Essien alikua anawatumia pesa...

John Terry alikua akishangaa sanaa kiasi cha kujiuliza huko afrika wanaishije au waafrika tuna ishije ishije....
Maana wazungu ki kawaida wanaishi Baba,mama, mtoto au watoto..
Ukiwa mtu mzima unajitegemea na unakua hauna burden kubwa ya wategemezi zaidi ya familia yako (nucleated family)

Swali,
Je? na sisi tufike huko au hayatuhusu...

Ni nini maoni yako...
Mbona hta Afrika ipo hivyo, au ulitaka kusemaje
 
Ni kwel tena so hata watoto wa baba mdogo na mkubwa hawasaidiani.....
Watoto wa mjomba na shangazi hawasaidiani...
Na sio kwamba hawapendi.Wanapenda wasaidiane...Hata hao wazungu wanapenda wasaidiane...ila econimic constraints ndio kipengele..Hawana ubavu huo.Ni kama sisi hiv leo nguvubya kusaidia watoto wa baba mkubwa au mjomba ni ndogo...we have a heart but no capacity tondo that...uchumi...uchumi ..tunapata kile tuu kinachotutosheleza sisi na wapendwa wetu..na bado pia hakitoshi sawa sawa
 
Kama walishiriki katika kukusaidia kufanikiwa ni wajibu wako kurudisha wema uliotendewa kwa wahusika na sio swala la kuwaona wasumbufu maana hata wewe kuna wakati uliwasumbua

It's Payback time
Ni muhimu sanaa maana Kuna muda na sisi tulikua kwenye uhitaji......

Mm najionaga kama Sina deni na mtu....
Kipindi tunakua baba etu alipenda kutuambia...
Mimi nawawezesha nyie..at least uweze kusimama mwenyewe...ukinisaidia usipo ni saidia yote ni kheri kikubwa uweze kusimama mwenyewe....baba alipenda sana kutuambia hii falsafa....
 
Na sio kwamba hawapendi.Wanapenda wasaidiane...Hata hao wazungu wanapenda wasaidiane...ila econimic constraints ndio kipengele..Hawana ubavu huo.Ni kama sisi hiv leo nguvubya kusaidia watoto wa baba mkubwa au mjomba ni ndogo...we have a heart but no capacity tondo that...uchumi...uchumi ..tunapata kile tuu kinachotutosheleza sisi na wapendwa wetu..na bado pia hakitoshi sawa sawa
Ni kwel ila waswahili husema kutoa ni moyo sio utajir...kunawatu wanazo pesa..
Wanapika makuku wakishindwa kuyamaliza wanayamwaga....
This world iz not fair.....

Kuna watu wana appetite ya kula Tatizo hawana msosi...the same applied Kuna watu wana chakula Tatizo ni appetite ya kula 🤓🤓🤓

Mnaweza mkaishi na ndugu jirani na msi tembeleane tumekua busy sana huku mujini....
 
Ni kwel kaka.Ila hawa ni wachache tatizo katika mtaa unaweza kuta kadhaa tuu..
 
Back
Top Bottom