Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea
John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien...
John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaisha haraka haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio ilikua higher....
John Terry alikua akimsikia Michael Essien akizungumza Kwa simu na watu wake wengi huku Afrika ambao Michael Essien alikua anawatumia pesa...
John Terry alikua akishangaa sanaa kiasi cha kujiuliza huko afrika wanaishije au waafrika tuna ishije ishije....
Maana wazungu ki kawaida wanaishi Baba,mama, mtoto au watoto..
Ukiwa mtu mzima unajitegemea na unakua hauna burden kubwa ya wategemezi zaidi ya familia yako (nucleated family)
Swali,
Je? na sisi tufike huko au hayatuhusu...
Ni nini maoni yako...